Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Mbingu na nchi zitapita, lakini neno la Mungu litaishi milele.
Wananchi na wana nzengo wenzangu, maisha ya kijana wa kiume ni nusu kuzimu, robo peponi na robo nyingine duniani.
Duniani mnayo dhiki nyingi lakini jipeni moyo.
Maisha yangu ya ujana yalijawa na changamoto nyingi, uchumi duni, kipato duni na uchumi duni, sikujiweza hata theluthi, mahitaji ni mengi na kipato duni hakikidhi mahitaji.
Basi nikapata shilingi elfu kumi back then, ndio mtaji wangu wa kwanza wa biashara. Nikaona fursa iko kwenye viatu vizuri sana vya mtumba.
Meanzoni nilikuwa kijana mtiifu na mwaminifu nazungusha pea zangu mbili na wakati mwingine pea moja, kisha kesho natimba tena mnadani Karume.
Nikaja kugundua kwamba wauzai wako busy sana kiasi kwamba umakini wao ni mdogo.
Baada ya kuwasima vizuri nikasema ngoja nikatungue mtunguo wañgu wa kihalifu .
Alfajiri saa kumi na moja nikatimba mnadani kwenye viatu vizuri vya sagulasagula.
Miguu yaĺngu ni mikubwa namba 11/13 nawateja wangu nilikuwa nimelenga wenye hela hela zao za benki na bandari.
Basi nikawa naenda na begi langu la mgogoni, nikiwa nimevaa ndala zangu.
Nikifika naangalia kiatu kizuri ninakipima kwa kujaribu, kisha fasta nasunda kwenye begi.
Naendelea kuchagua pea nyingine mbili au tatu, ambazo ninazilipia.
Huu mchezo haramu na wa hatari niliufanya kila siku hadi siku moja usiku nikiwa ndotoni, nikaamshwa na sauti za kelele, mwiziiiiii, piga huyo, choma huyooooo, unajua tena maswala ya Uswahilini hamnaga show mbovu wala hamnaga show ndogo.
Mwizi alipigwa sana kiasi cha kufa, wahuni wakasema kabla hajafa lazima wambikiri.
Wakamkokota hadi korongoni, wakamlawiti vya kutosha, kisha wakampiga kiberiti.
Kuanzia hapo sikurudia tena wizi. Nakuonya na kujuasa wewe mwenzangu, mwenye tabia chafu kama niliyokuwa nayo, siku zako zinahesabika, nazo zimepungua sana.
Kipigo, kifiro na kiberiti vinakungojea, navyo vimeshawekwa tayari kwa ajili ya kudhalilisha utu wako na kukuacha ukifa kifo cha aibu.