Jinsi nilivyokuza mtaji wangu wa viatu vya mitumba kwa kuiba viatu (Ni hatari sana, usije ukajaribu utauawa kifo kibaya sana)

Hata wewe utakuja kuibiwa na utarudi kwenye ile hali ya ile elfu 10 yako labda uende ulikoiba uwalipe haki yao,

Haki ya mtu kamwe hua haipotei.
Unayoyasema ni kwetu wezi wa viatu tu au na wezi wa rasilimali zetu pia?
 
Pole mkuu kwa kubakwa, ni maisha tu. Ila pia hongera kwa kuacha wizi
 
Naongea na wewe acha kujitoa ufahamu,kwani thd yako si inakuhusu wewe? acha kutafuta njia ya kuhalalisha wizi wako.
Sijahalalisha wizi, wala sijautetea. Umesema kwa dhambi yangu ya wizi na mimi nitaibiwa. Ndio nakuuliza hawa wezi wa rasilimali zetu na wao wanakutwa na malipizi au malipizi ni kwa wezi wadogo tu?
 
Mimi sikuwepo wakati unabakwa so simjui aliyekubaka, nisamehe kwa hilo mkuu. Ningemjua ningekuambia
Unaandamwa na roho ya ushoga ambayo imetamalaki kwenye ukoo wenu
 
Mi naona mzee baba una pepo la ushoga kemea mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…