Jinsi nilivyomuoa mke wangu

Jinsi nilivyomuoa mke wangu

Dumuzii

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2019
Posts
3,593
Reaction score
8,595
Back then na uhuni wangu full kubadirisha mboga Kuna huyo mdada nilimchukulia poa saaana yani japo yeye alitokea kunipenda na kujitunza kwa ajiri yangu kwa maelezo yake.

Basi nilikua Sina hata idea ya kuja kumla ila nilitongoza tu bahati mbaya akanikubalia muhuni wa watu mtoto wa baba mchungaji Alie kulia kwenye maadili ileile na mpole na mtaratibu Sana aisee. Kutokana na upole wake nikaona hii ngoma sio type yangu japo kua ni mzuri wa kawaida tu.

Basi Kuna siku kumkatisha tamaa na Mimi nikamuambia nirushie picha zake za uchi Kama kweli ananipenda....aisee alinitumia video akilia Sana kwa Nini namfanyia hivyo sikujibu chochote na nilimuomba vile ili kumfukuza anione Nina tabia mbaya simfai [emoji1][emoji1]

Mzee naamka asubuhi nakuna mtoto wa watu kanitumia picha akiwa uchi bafuni ...picha zilikua mbaya kidogo kutoka na Giza Giza Basi nikamuambia picha gani unanitumia mbaya hivi wewe inaonesha hata nikikuoa huta nijali ....alilia Sana Tena nikamuambia hunipendi kila mtu afanye yake....nikazima data mameseji yakaanza kumiminika nilikua siyasomi cos yalikua ya mwanamke flani hivi nisie mpenda na hata kuwa Kuna siku labda nitamla sijawahi kuwa na Hilo wazo.

Basi mtoto wa watu akajirekodi Hadi mavideo akanitumia ....aisee hapa nilipo ona ka private sector kake ndio tuhisia kidogo twa kumla tukaniingia ...na wakati huo tulikua mikoa tofauti ...Basi tukaendelea kuchati chati lkn lengo hapa likawa ni kumpitia na kusepa .

Mungu ni fundi jaman siku ya siku mtoto akaja nilipo na kukutana nae nikampokea marafiki wakawa wanasifia mwanangu manzi kisu ila Mimi kutokana na ambao nilikua nao nilikua namuona wa kawaida sna. Basi haoo Hadi magetoni akaoga pale akapumnzika cos ni safari ndefu kafanya Basi mida ya usiku nikamvunja bikira yake kwa shida Sana ila ilitoka .

Basi kesho yake asubuhi akawa anajisikia maumivu nikamtonesha Tena hapa utamu aliusikia ...alipanga tukae wiki moja tu bila kuzidi nami nikawa nasubiri siku ziishe nimsindikize [emoji38][emoji38][emoji38] niendeleze gurudumu langu la uchakataji huyu Mungu muacheni tu hashindwi kitu aisee huwezi amini nilifulia gafla na sijui nilipigikaje na hata yeye alikua na emergency ya nauli kurudia ila tukajikuta hatuna hela Ila kula tuna kula vizuri ila elfu hamsini tu ya kurudisha kwao ilitushinda ongea na jamaa wotee wanipe wanikopeshe kila mshikaji ninae mcheki Hana na nikiwaangalia hawana nikabuni mbinu ya kuuza tv hamuwezi amini tv nchi 32 ndio zinabamba nilishusha Hadi laki na nusu sikumpata mteja zunguka kote kwa madalali wote hawakuwa na hiyo hela [emoji38][emoji38][emoji38]

Pigana huku na huku ngoma ikadunda kabisa ..wiki tatu mbele mtoto wa watu anajiona yupo tofauti hajijui hata Kama ni mjamzito Basi nikachanganyikiwa naanzaje hapa na Sina hela na mtoto wa watu alikua ananitazama Mimi tu hakuna mtu Wala mahali anapo pajua zaidi ya hapa geto na Mimi tu .

Nikavhekecha pale Kuna li ex langu moja ni Ness ni ex lakini hatuja wahi achana na hatuna wivu baina yetu Basi nikamueleza Hali zote anazo zisikia mtoto wa watu akanijibu Kama ulivyo kuwa unafurahia kumwagia ndani na kubana matako furahia hivo hivo hiyo ni mimba we boya...du nikamgeukia mtoto wa watu nikamuambia unamimba alistuka na kushangaa Sana na kutetemeka na kuanza kulia kwa majuto .....[emoji21][emoji21]

Akalia wee akamaliza nikamuuliza unampango gani kwa hofu ya wazazi wake akasema tuitoe ....lkn haya majibu aliyatoa kwa kuropoka tu kwa sababu ya hofu nikamuuliza kwa nn akasema kwao walivyo atamdharirisha baba yake na mama yake ....Kama mnavyo jua familia zinazo fata utaratibu wa maisha ya ndoa.

Ikumbukwe hapo pote bado hela ya nauli bado ni kisanga.

Basi kutoka na hizo ups and downs nikaanza kujikuta nampenda mtoto wa watu na kuvutiwa nae siku ya siku dogo akaja kunitembelea ghafla bila taarifa ilikua jpili si akamkuta ndio anakaangiza kaangiza pale hapo mimba inakama miezi mnne hivi ...wakati huo huyu mrembo alikua amesha wasiliana na mama yake na kumuelezea hali ilivyo ..mama yake alitaka kumtumia nauli ila alivyosikia habari za mimba tu akasitisha na kumuambia abaki hukuhuku mengine yatafataga so akawa anaendelea kutupiga kampani bila baba mkwe kujua .

Basi huyu dogo langu ni wakike ananikubali kichizi bro ake Basi kaja pale nikamtambulisha akajikuta anaitwa wifi mwenyewe japo mdogo wangu alikua alikua mdogo ana miaka Kama 13 hivi Basi akala Kama kawaida ukifika muda wa kuondoka tukamsindikiza Hadi stendi akaenda nyumbani akawapa ubuyu kuwa kaka miles ameoa anaishi na mwanamke ... Mzee akajam kwa Nini naishi na mtoto wa watu bila taarifa akinifia humo ndani ..nikaomba radhi pale yakaisha ...ila mzee aliniambia tu "Upende usipende huyu ndio mkeo kesho zianze taratibu bila kuchelewa" akasepa wakati huo ndio nimetoka toka tu chuo sijui hata hizo taratibu zinaanzia wapi na zinamalizikia wapi nikawa nimebaki tu nashangaa shangaa.

Basi jioni yake tukapigiwa simu kesho twende home kwa mzee kufika kesho kumbe mzee amesha andaa mshenga na amesha wapa taarifa baadhi ya ndugu na kufanya tukakaa pale na kufanya mawasiliano na upande wa pili Basi mama mtu upande wa pili alifurahi Sana na kuniaminia kwa kumuheshimisha mwanae Basi mahali zikalipwa bila kusahau faini ya uchafuzi wa ukoo wao kwa kumpa mimba binti yao bila ridhaa yao [emoji1][emoji1] Basi zikaguata taratibu zoote hapo milango ya vipesa ndio ikaanza kufunguka upya .... Na tukapata mtoto wetu wa kwanza bonge la mtoto dume lenyewe ...ila naomba arithi vyote ila uchakataji wangu asirithi maana vya kurithi vinazidi awe wa kawaida tu.

Basi mwenzenu hapo Hadi habari za uchakatiji ndio zilipo Anza kupungua maana kila nikimkumbuka wife tu hamu ya kuchakata inapungua kabisa maana namuona Hana hatia ya Mimi kumfanyia hicho na hastahili kabisa kufanyiwa hayo so naumia na nikifanya najutia Sana baada ya bao la kwanza.

NB
Wanawake mwanaume anatekwa kwa ukarimu/hekima wako na ucheshi wako ndio utamnasa hapa nakuambia hata pochi yake utakua unamshikia na yeye ndio atakupa bila kumuomba utapewa kila kitu bila kuomba. Na akitaka kuchepuka utakua unampa kazi Sana maana hivyo vitu vitakua vinamkataza asifanye na akifanya anakosa Raha na majuto makubwa Sana .

Kwa mfano Mimi najiona kabisa huyu mke nimependelewa sio wa hadhi yangu kabisa cos yupo vizuri kichwani , kimaadili, usafi, kumcha Mungu ndio usiseme yaani nafurahi kuona mtoto wangu yupo katika Mikono salama na imara ....kwanza mtoto tu kanyonya miaka miwili yote bila hiyana Wala buguza kwa kipimo hicho tu mtakua mnajua naongelea mwanamke wa Aina gani. Kifupi najivunia kuwa nae japo binadamu hatujakamilika.

Hivyo ndivyo nilivyo oa mwenzenu.
 
Nanukuu; Akalia wee akamaliza nikamuuliza unampango gani kwa hofu ya wazazi wake akasema tuitoe.

duh; mwanamke gani huyo, muuaji tuu kama wauaji wengine. Vp huyo mtoto wa kiume atajiskiaje akiwa mtu mzima, na kugundua mawazo ya kipuuzi aliyokuwa nayo mama yake?
 
Hz mambo hz hatar,

Umenifurahsha ulivyosema pesa iligoma hata tv 32 kwa 150,000 bado ilikosa mteja
 
Nanukuu; Akalia wee akamaliza nikamuuliza unampango gani kwa hofu ya wazazi wake akasema tuitoe.

duh; mwanamke gani huyo, muuaji tuu kama wauaji wengine. Vp huyo mtoto wa kiume atajiskiaje akiwa mtu mzima, na kugundua mawazo ya kipuuzi aliyokuwa nayo mama yake?
Kwa jinsi malezi aliyo patiwa toka mimba Hadi hapo atakapo zisikia hizo habari hata elewa .

Na pili mwanamke aliongea tu cos hata idea ya kutoa alikua anasikia tu [emoji1][emoji1] na yalipita
 
Back
Top Bottom