Jinsi nilivyomuoa mke wangu

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji119]
 
Wewe mpumbavu tu
kwanini ulitaka kutoa mimba? usirudie tena kenge wewe. Acha mawazo ya kishetani wee mwanamke, kwanini uwaze kutoa mimba?

Na ukijaribu tuu, utakufa wewe umuache mtoto hai, eti unajifanya mtoto wa mchungaji, kumbe kanaliwa kisiri, mpaka umepigwa mimba, ili usimwaibishe babaako wakakufungashia ndoa, mwanamke kicheche sana wewe.
 
Yani umejikuta tu umeingia sehemu bila kujua umeingiaje[emoji1][emoji1]. Haya mambo haya.....
Na kutoka ni ngumu ...hata Kama ulikua unajiona mtoto itabidi tu ufanye maamuzi magumu ya kuwa mtu mzima [emoji1]
 

Duuuhh kuna watu wamevurugwa na maisha
 
Hongera sanaaa brother
 
By the way njia yako uliyopitia ni ngumu kidogo ila hongera sana na zaidi ni kwa mzee wako aliyetambua misingi ya familia katika ndoa.
Lakini pia mpeleka ubuyu pongezi kwake maana bila huyo ulikwa unajuta na hata kama ungesema ile tv uuze kwa 50000 bado usingepata mteja
 
Utofauti baina yangu na wewe ni kwamba alikuwa demu wangu ambae sikuwa na malengo nae na alikuja kunitembelea nyanda za juu kusini baada ya kumaliza chuo huwezi amini amefika hela ndani imeisha bila kujua ikabd akae mpaka nipate nauli kilichofuata mpaka sasa tumepata mtoto wa pili huyu alifika April 2018
 
Kwa kweli aisee nisingeuza maana watu unawafuata unawaambia unauza tv wanavyo kuangalia sijui utafikiri unewaambia nini...! Ila kwa mapito Yale Mungu yupo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…