Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusingemuua angeleta madhara kwenye uhai wetu sasa usiku unalala nae ukijichanganya ukamlalia wakati unajigeuza ndo umekwisha Mzee! Kuna viumbe havisaidiki Kwa sababu ya tabia zake mfano Simba ukimkuta kanaswa na mtego unafikiri utamnasua??Ni ukweli na uhakika mzee. Fight and flight ndio adui wa nyoka. Ila huyo nyoka mlimuonea, yeye kaishi na yie siku zote hajawadhuru ila nyie kumuona tu mumemuua. Sio vyema
Kuna mawe maalumu ya kunyonya sumu ya nyoka pale anapokung'ata! Unalipachika sehemu ya mwili ulipong'atwa!Nini fast aid ukiumwa na nyoka na hospital ni mbali?
Kuna baadhi ya sumu hayo mawe hayawezi mpaka linapasukaKuna mawe maalumu ya kunyonya sumu ya nyoka pale anapokung'ata! Unalipachika sehemu ya mwili ulipong'atwa!
Hakikisha unalo ndani ya nyumba au kama shughuli zako ni za porini tembea nalo.
Kuna baadhi ya sumu hayo mawe hayawezi mpaka linapasuka
Hayo mawe yanafanya kazi kwenye nyoka wa africa tu kwakua wengi hawana sumu. Ila kwa nyoka wa nchi zingine hayo mawe hayafanyi kazi ndio maana madaktari hawashauri kuyatumia. Wewe unang'atwa na nyoka hawa wa nyumbani unasema jiwe limekusaidi. Hapana si kweli.Kuna mawe maalumu ya kunyonya sumu ya nyoka pale anapokung'ata! Unalipachika sehemu ya mwili ulipong'atwa!
Hakikisha unalo ndani ya nyumba au kama shughuli zako ni za porini tembea nalo.
Mngembeba mkamtupa au mngemfukuza tu angeondoka. Nyie roho mbaya zenu mkamuuaTusingemuua angeleta madhara kwenye uhai wetu sasa usiku unalala nae ukijichanganya ukamlalia wakati unajigeuza ndo umekwisha Mzee! Kuna viumbe havisaidiki Kwa sababu ya tabia zake mfano Simba ukimkuta kanaswa na mtego unafikiri utamnasua??
Da'Vinci hello brother,
My bad , i didn't notice sirBut I mentioned 3 peoples. Besides I really trust my instincts
Night to you too Sir🙏
Truth is one.
Ni sifa nzuri kufananishwa na wengine Companion🙏
Mkuu umetumia akili kubwa kujibu jambo dogo🤔Truth is one.
We can only present it, it belongs to no one. It is one.
People have a tendency to associate the presenter with the truth he is presenting. Even identify him/her with it. It normal for humans. That i because we know a man to be what he thinks therefore he is. Mtu ni mawazo yake.
However, I am interested to see what my other fellows have commented.
And careful, with that line of thinking you may find yourself associated with all these Id's as one!!. Mmmh the thought of it is amaizing. Imagine someone creating four Ids with different pseudonyms just to keep delivering different (and same) angles of truth🤯🤯😳🤔🤔. Actually sounds like a great idea. Isn't it?
Hua sikoseagi my instincts😎My bad , i didn't notice sir
Well now i can say I'm none of the other two
As is if i am the third one😅.
Upo kinyume kidogo.Flying Dutchman ni naodha aliekua cursed to sail the see forever untill the judgement day.
Say it, wanna connect with R. HolidayItafahamika pia kwann nmeichukua kama pseudo name yangu
Ni sifa nzuri kufananishwa na wengine Companion🙏
Kwangu nalikubali na kulipokea kwa mikono miwili, lakini ni watu watatu tofauti.
Nafikiri ingependeza kwa kuelezea mfanano wetu Mate.
Kutokana maandiko yetu humu kila mmoja kuna jinsi anavyosound, You n Dutchman mnafanana the way you soundBut you can saw it, with your own eyes.
Those two replies by use international language "The language of Queen Elizabeth" but I'm bit far away from them by use Bantu language "Kiswahili" Compatriot.
One of the distinction.
Je, FlyingDutchman unakubaliana na Da'Vinci juu ya hili?Kutokana maandiko yetu humu kila mmoja kuna jinsi anavyosound, You n Dutchman mnafanana the way you sound