Jinsi nilivyonusurika kung'atwa na nyoka wakati nataka kumuokoa

alishindwa kuvuka kwa sababu ya mwanga wa malori!!!??
kashindwa kuvuka ajili ya mwanga wa maloli yaliyokua yanapita,
sio kwamba alishindwa kuvuka ila alikua akipata joto la barabara na wewe ulitaka umtoe kwenye starehe yake ndo mana alikua mkali ni kama vile wewe uwe kwenye starehe yako kubwa unayoipenda alafu mtu aje akugongee au akubugudhi kwa namna yoyote ile lazima utakasirika.
 
Mkuu mvua ilikua imenyesha mbona joto analitoa wapi lami ina maji
 
Miaka ya nyuma kidogo wakati bado nasoma niliwahi kulala na nyoka mpaka asubuhi Enzi hizo tunalala chini kwenye mkeka asubuhi ilipofika ndipo walipogundua nimelala na nyoka maana niliota nyoka akiwa ananitembelea kwenye mwili. Bahati nzuri walimpata na kumuua.
 
We mondray uko poa?! Habari ya siku mingi hawajambo kigoma?!
 
Mnaona binaadam tulivyo wabaya. Ww umelala nae kakuona na hajakuuma ila wao wamemuona wamemuua
 
Unajua maana ya kuomba radhi? Unaomba samahani halafu unaendelea kurudia kosa sio Sawa!
Umeniambia nikague chini ya mito sijui mashuka wakati fika nimekuambia ninaogopa huyo mdudu kwanini unaleta masihara au unataka nisilale leo?

Story nitasoma kesho....
 
Nimekutag huku ili lengo ujifunze kitu kuhusu hawa nyoka. Naamin ukiwasoma utabadir fikra zako kuwahusu btw mimi mwenyewe kuna vitu naogopa sana. Naogopa vitu virefu.. Kukaa ghorofani, kupanda miti, kupita juu ya madaraja makubwa siwezi kabisa
 

Stories za vijiweni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…