Atkins Mendel
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 616
- 755
Hivi ni kweli hujui kuandika au watuigizia?Hasante kaka yagu nirisoma seemu kuwa kukata tamaha ni dhambwi
''Kukerebisha'' huu uzi mzima yataka uache kazi ufanze kazi....ah..ni kurekebisha eeh.!? [emoji23]Mungu wangu! Huu ni mwandikooo au?!?? Hivi yule Kiranja wa kurekebisha lugha cku hizi yupo wapi? Alitekwaaa?!!! Ngoja nimnukuu: "Huko shule mnaenda kujifunza ujinga?"
Alipo haribu igizo lake ni kwenye neno "DHAMBWI" pengine angeandika ZAMBI tungesema haigizi...MUIGIZAJI TU HUYU KAMA KINA WEMA NA WENGINEO[emoji23]Hivi ni kweli hujui kuandika au watuigizia?