Jinsi nilivyookoa simba asiuwawe na wananchi

Jinsi nilivyookoa simba asiuwawe na wananchi

Imebidi nicheke hata kabla ya kumalizia kusoma, hii ndiyo dunia tunayoishi na hawa ndio watu tunaotegemea wakemee ufisadi, utawala wa mabavu na ndio hawa hawa tunaowategemea kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika nchi yetu.

Mungu na akusaidie ndugu, bado hujachelewa unaweza ukajifunza ukawa nguli zaidi
 
Dogo nimekufuatilia kwenye comments nyingi sana. Kama kweli una tatizo la uandishi pole sana ila jitahidi kujifunza uandishi mzuri ndio uanze kuposti. Ila kama unafanya kusudi unazingua sana.

It's real bored kusoma comments zako na mabandiko yako. Utanisamehe kwa hilo.
 
Mungu wangu! Huu ni mwandikooo au?!?? Hivi yule Kiranja wa kurekebisha lugha cku hizi yupo wapi? Alitekwaaa?!!! Ngoja nimnukuu: "Huko shule mnaenda kujifunza ujinga?"
''Kukerebisha'' huu uzi mzima yataka uache kazi ufanze kazi....ah..ni kurekebisha eeh.!? [emoji23]
 
Back
Top Bottom