Jinsi nilivyookoa simba asiuwawe na wananchi

Ningekuwa mwalimu wako ningekuchapa kwanza viboko kabla kujajiunga na JF.
Endelea kujifunza kusoma na kuandika
 
🙄🙄"Natamani kutaja kabila la huyu mpendwa ila naogopa kusemwa na wapendwa kuwa nawaonea wivu wasukuma na Elim yao maridhawa"
 
Aisee umenifanya nicheke sana mchana huu
 
Write your reply...jukwaa lizingatiwe ni joking jukwaa na hii ni mojawapo ya utani
😤😤😤hii itumike pahara husika
 
Kwani Huyu Jamaa Ni Jamii Ya Wahutu Au Mndorobo!! Mbona Kiswahili Chake Kina Matege? Huyu Sio Jamii Ya Nyerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…