Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,540
Ningekuwa mwalimu wako ningekuchapa kwanza viboko kabla kujajiunga na JF.
Endelea kujifunza kusoma na kuandika
Endelea kujifunza kusoma na kuandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaah aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka kama mwehu.Niriwahi kurara na mbuzi sema kweri kaka yagu hila bahada ya kupata mafuzo ya biburia nilihacha.
Pembe za ndevu oooh samahani Pembe za Panzi unaonaje nikikuletea mwalimu wa kukufundisha kiswahiliHusicheke kaka yagu
Aisee umenifanya nicheke sana mchana huujamani naomba kuwasarimia tena wote umu ndani niende moja kwa mmoja kwenye mada yagu namuna nilivyoko simba asihuwawe na wanainchi kipindi niko kwa bibi yagu ngudu. Nakumbuka irikuwa muaka 209 bahada ya kumariza kazi za kuvuna mpunga bibi ariniita nihende kumsarimia nyumbani kwake NGudu na kweri nirienda. Bahada ya kufika bibi arifurahi sana na kunichinjiya kuku arikuwa na wajunkuu zake pare na tukawanza kuwa tunahenda wote kuchunga kondo wa bibi na mbuz kira siku. Irikuwa siku ya halihamisi bibi arisema nihende kuchunga kondo mwenyew mahana ware wengine watahenda shure na niriamka na kwenda kuchunga kondo na mbuz wa bibi.
Iripofika sa sita nirikutana na simba wakati nachunga alikuwa simba mwanamuke yure simba halipita na kwenda kunywa manji kwenye muto mmoja na nikamuwona anarudi na kurara kwenye manyasi. Sa saba wanainchi wakaja na mishare na malungu wakaniuriza umewona apa simba anapita nikawaambia sijamuwona simba apa basi kurikuwa na mubaba mumoja mkumbwa akauriza tena umewona apa simba nikamwabia hapana sijawona simba mimi. Bahada ya kukagua na kuwona akuna simba wakaenda mbere kidogo nikakwimbiya kwenda kure aliporara simba na kumtupiya mawe iri aamke akimbiye wasije wakamuwa. Yure simba arikimbiya sana na kupoteya niriporudi nyumbani nikamuwambia bibi akasema huo simba huwa anakura mbuzi ndiyo mahana wanamtafuta wamuhue.
Mkuu, Hongera utajua kuandika[emoji38][emoji28] vizuri mbeleni, ujumbe tumeupata, Tanapa wangekuwa karibu wangekuzawadia kwa kazi nzuri ya kumwokoa "Simba"Hasanteni kwa mantusi yenu wote?
umesoma hadi ra ngapi muraPore sana kama hunapata tabu kusoma.
Pore sana kama hunapata tabu kusoma.
Mhhh (simba mwanamuke)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 931402
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasanteni kwa mantusi yenu wote?