Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Uli sema mtaji tu kipengele, hizo international event ulizo safiri uli paa na ungo ehh?

We leta hizo product tuone ka Zina faa mkuu.
Hapa Kuna majibu mawili jibu la kwanza
Ile pesa ya TEF ya Kwanza Ili ni boost sana ilikuwa 20m+ kumbuka wakati nalalamika mtaji sio kwamba sikuwa na mtaji kabisa au Sina wateja kabisa ni down ambayo Kila mfanya biashara anaweza nielewa

Pili sio Kila international event nalipa mwenyewe zingine unalipiwa go and return plus accommodation

Hapo nilipo bold sijaleta Uzi huu Ili uone kama products zinafaa au la
 

Attachments

  • IMG-20250323-WA0010.jpg
    79.5 KB · Views: 23
Product Zina vutia, jitahidi ufanye matangazo katika kurasa za mitandao ya kijamii.

Hasa fb Ina namba kubwa ya watu kibongo bongo, na una pewa hadi nafasi ya kuchagua aina, sehemu ya wateja unao taka kuwa fikia.
 
Kwan mnaongelea nn
 
Natafuta kazi naweza pata hata kitengo cha sales kwa biashara yako bosi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…