Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Jinsi nilivyopata $50k Grants & TSH 200ml revenue

Mambo sio rahis kama yanavo hadithiwa hapa, sasa we jichanganye
 
Niseme tu nipo kwenye stage ambayo nina ideas ambazo ni innovative na zinazoweza leta impact kwenye jamii ila tu nilikuwa sijui jinsi ya kuwapata hawa donars aise. If I ever knew hii kitu mapema huenda sasahiv tungeongea diff story I'm sure
Pole, huko linkeid in kila leo wanapost hizo ishu hata uki google zinakuja kaka ni wewe tu kucheza na mtandao na usiwe mvivu wa kusoma na kusaka hizo taarifa mm nikizipata ntazipost hapa kila mtu aone..kama uko linkedin njoo dm nipe username yake niwe nakufowadia..
 
Back
Top Bottom