mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,943
- 81,605
Hapo kwenye kufoji email hapo, watu mna moyo...
Au ndo "risk taking" yenyewe?
Au ndo "risk taking" yenyewe?
Hongera kwa kuthubutu mkuu.Heshima kwenu wakubwa
Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023
Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker kiasi niseme vile unapenda kusikia lakini the entrepreneurship journey sio rahisi hata kidogo ukizingatia wengi hatuna backup Wala backgroup ya kuwa na biashara zenye maono makubwa
Mwaka juzi ulikuwa mwaka mgumu sana sana kibiashara no marketing budget ni stocks no experienced team, yaani was no no no Kila pahala
Humu jamvini nako nikala za uso vile vile lakini sikukoma
Here is how and where nikafanikiwa kupata $50k grants and 200ml mapato from sales
Nilianza kwa kuuza asset yangu ndogo niliyokuwa nayo (3m) nikaita team yangu nikawakalisha chini na kuwapa somo, nikapunguza mishahara na nikapunguza baadhi ya watu tukabaki staffs 4 (ukijumlisha na Mimi) japo baadae mmoja akatoka tukabaki watatu
Niliomba TEF (Tony Elumelu Foundation) nilikuwa na email tatu moja yangu mbili za watu, moja ya mdogo wangu ingine ya rafiki yangu
Nikaomba biashara tofauti tofauti Ili ikitokea lolote niambulie chochote,
Mungu mkubwa nikapata yangu na ya dogo each $5k (to make $10k) hii ni 2023 November hela zikaingia 2024
Safari ikaendelea Sijakaa sawa TEF wakatangaza alumni walio kwenye green business wanawapa grants ya $5k Tena hii wali partner na GIZ
Nikaomba kwa account moja sikutaka ku cheat Tena maana nilikuwa bize sana tofauti na awali na muda nilikuwa Sina kuweza kusoma na kufanya quiz account zote tatu
Baadae nikaona wame extend deadline hii Huwa ni dalili nzuri kwa applicants maana applications zinakuwa hazijafika idadi wanayo itaka wakaondoa na kigezo Cha u alumni (ilikuwa wanawake tu) so nikaombea Tena nikajipa muda mzuri tu Kila siku natamba na account moja, kwenye YouTube session kwenye attendence nikawa na sign zote tatu
Hapa mbili zilikuwa idea na moja ndo my real business
Hapa bahati ikawa pia upande wangu account zote zikapata kimbembe kikaja kwenye verification huyu rafiki yangu hajui kingereza🤭🤭🤭 ikabidi nimjaze kiziwi (hearing imperfection) ili akiwaya waya waelewe asikii vizuri mambo yasiwe mengi, Huwa verification wanafanya kwa Whatsapp so ikabidi nianze kumpiga pindi na kuuliza maswali kwa ambao wameshafanyiwa verification nikamwelekeza na Mambo yakawa vizuri
Account ya dogo hakuwa na shida akafanya mwenyewe
Hii yangu sasa business
Plan ikarudishwa nimekosea akili ikanivurugika nikamtafuta dada mmoja hivi ambae kanizi kwenye hizi mambo akarekebisha nikapata mwaka huu mwezi wa pili mzigo ukaingia UBA
Hawa wakulungwa wangu nikawakatia Chao maisha yanaendelea
Aysee ku type kazi sana ntarudi Tena
"Don’t wait for perfect start now, grow anyway"
Rejea Uzi huu
![]()
Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi
Heshima kwenu wakuu, Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs, serums nk Biashara imesajiliwa na mamlaka zote na inajiendesha kihalali Thamani ya biashara kwa sasa...www.jamiiforums.com
Sio kazi mbona kufungua email ila unahakikisha una watu waku covor hizo nafasi Incase of anything pia kutokutumia device moja maana unaweza jichanganyaHapo kwenye kufoji email hapo, watu mna moyo...
Au ndo "risk taking" yenyewe?
Doh, maisha haya sio poa kabisaHongera sana Jane.
Form being IT guru to entrepreneur.... kudos mwana NNT
Elimu, Elimu, Elimu! 😁😁😁sijaelewa kitu
Nikupe hongera sana, big Congra!... Kwanini nili delay mpango huu wakati ule!Doh, maisha haya sio poa kabisa
Haikuwa riziki pia kwa Tanzania bado sana kwenye partnership hatupo vizuriNikupe hongera sana, big Congra!... Kwanini nili delay mpango huu wakati ule!
Nataka nilete posa unafaa kuwa wife unapambana sana kwahiyo nitakuwa mwendo wa kitonga tuDoh, maisha haya sio poa kabisa
Karibu sanaNataka nilete posa unafaa kuwa wife unapambana sana kwahiyo nitakuwa mwendo wa kitonga tu
ili unitoe ndukii we msowoya we 🤣Karibu sana
Umseshtuka😀😀😀ili unitoe ndukii we msowoya we 🤣
Dada kama hutojali nipe guidance kadhaa nimejaribu mara kadhaa kufanya applications zote nimefailKaribu sana
Sawa tuchekiane January 2026 maana now ishapita tenaDada kama hutojali nipe guidance kadhaa nimejaribu mara kadhaa kufanya applications zote nimefail
cgs.costech.or.tz
Hili nalo mkalitazame😎Inshort Hawa watu wabinafsi kaweka humu tumsifie ila kukupa connection Sahau .