BARON99
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 4,770
- 5,420
Okay hapo sasa umenipa mwangazaWanaangalia innovation,social impact na business model
Okay hapo sasa umenipa mwangazaWanaangalia innovation,social impact na business model
Wanaangalia innovation,social impact na business model
Niseme tu nipo kwenye stage ambayo nina ideas ambazo ni innovative na zinazoweza leta impact kwenye jamii ila tu nilikuwa sijui jinsi ya kuwapata hawa donars aise. If I ever knew hii kitu mapema huenda sasahiv tungeongea diff story I'm sureOkay hapo sasa umenipa mwangaza
Keep going,Mi natafuta kama mil 200 hivi niongeze ukubwa wa hii biashara yangu halafu niiambie serikali ya CCM na ajira yake BYE BYE.
Niko sehemu napamba na application NIKITOBOAAA LAZIMA NIKALE LUNCH NA FAMILIA YA DEWJI TUONGEE BIASHARA..!!!
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ni WA chache sana wanao fund idea kwa Africa ni TEF pekee kiufupi bongo hakuna Angel investor wote ni ma devil tu😂😂😂😂Niseme tu nipo kwenye stage ambayo nina ideas ambazo ni innovative na zinazoweza leta impact kwenye jamii ila tu nilikuwa sijui jinsi ya kuwapata hawa donars aise. If I ever knew hii kitu mapema huenda sasahiv tungeongea diff story I'm sure
Ulichosema hapa ni kweli 100% Na hii hutokea haswa kwa nchi hii ya Tanzania,,,kwa wenzetu nchi nyingine za kiafrika naamin wanajua namna ya kumuapproach mtu kwa wema ili waokote elimu, ila sio bongo, bongo hii ya uchawi Husda rohombaya nyege,, wanataka tu Kuja kuangalia unafanya biashara Gani ili na wao wakopi na kupesti ama watafute namna wakudondoshe, hii ndio bongo ...ni 1% tu wenye wema wanaotaka kweli kujifunza au hata kukusapot biashara yako ..Yes nimekukumbuka, na ni kweli nilikataa
Vijana tujifunze connection and how to connect
Huwezi mtafuta mtu kumtumia massage Whatsapp kuwa unataka kuja ofisini nikufundishe production haiwi hivyo, lazima ujue namna ya ku connect na kumshawishi mtu akufunze
Ntajuaje kama umetumwa na competitor wangu uje uchunguze ninavyo Fanya?
Uliona wapi nimetangaza Training za kufundisha manufacturing ????
NB: Approach yako ulioanza nayo sikuielewa, pia ukitaka kujua kutengeneza bidhaa kaanze Sido wanatoa mafunzo Mimi ntakufundisha how to do this business
Dunia Haina huruma usifikirie utahurumiwa unatakiwa uendelee kugonga milango untill it's opens yaani gonga gonga sana Leo Cornice Kakukataliwa kwenda kiwandani kwake kujifunza, hutakiwi kukata tamaa kisa Cornice nenda kwenye njia nyingine
OKNi WA chache sana wanao fund idea kwa Africa ni TEF pekee kiufupi bongo hakuna Angel investor wote ni ma devil tu😂😂😂😂
Kwenye hizo idea pambana na moja wapo angalau utengeeze MVP
Umetisha sanaaaKeep going,
Keep pushing
Inawezekana ila Anza kwa kuomba ndogo ndogo Ili uweze ku master kwenye pitching pia make sure finances zipo vizuri,make sure una record Kila kitu
Juzi Kuna application nimeomba nimedaiwa signed documents za miaka ya nyuma huko kama invoices na risiti za miaka ya nyuma Yote hii ni kutaka kujiridhisha umri wa biashara
![]()
Airtable | Everyone's app platform
Airtable is a low-code platform for building collaborative apps. Customize your workflow, collaborate, and achieve ambitious outcomes. Get started for free.airtable.com
Unaweza kuanza na hiyo ni kutoka Crdb Foundation (Imbeju) wame partner na starthub Africa wanatoa UpTo 30m no riba na grace period ya 3 month
A friend amepata hiyo last month
Sijui ni wapi nilisema exactly nataka kujifunza production!!Kama kile ulichokifanya unaona ni rahisi nenda kajaribu kwa biashara Tatu kama zangu ukifanikiwa Kuna 100k mfuko wa Shati
Mwalimu wangu wa production aliwahi niambia formula ni kama sehemu za Siri anaona unaempenda tu
Muone Zagaza Huwa anafundisha
Kwangu utajifunza jinsi ya kufanya biashara sio kuzalisha
Hongera,,Hivi tuliowahi kuwa sales and marketing,tunaweza kujua tukitumia uzoefu wetu?Heshima kwenu wakubwa
Uzi huu ni mrejesho wa Uzi niliopost mwishoni mwa mwaka 2023
Lengo la bandiko hili nikumtia moyo kijana ambae anapambana kutimiza ndoto zake, am not a motivation speaker kiasi niseme vile unapenda kusikia lakini the entrepreneurship journey sio rahisi hata kidogo ukizingatia wengi hatuna backup Wala backgroup ya kuwa na biashara zenye maono makubwa
Mwaka juzi ulikuwa mwaka mgumu sana sana kibiashara no marketing budget ni stocks no experienced team, yaani was no no no Kila pahala
Humu jamvini nako nikala za uso vile vile lakini sikukoma
Here is how and where nikafanikiwa kupata $50k grants and 200ml mapato from sales
Nilianza kwa kuuza asset yangu ndogo niliyokuwa nayo (3m) nikaita team yangu nikawakalisha chini na kuwapa somo, nikapunguza mishahara na nikapunguza baadhi ya watu tukabaki staffs 4 (ukijumlisha na Mimi) japo baadae mmoja akatoka tukabaki watatu
Niliomba TEF (Tony Elumelu Foundation) nilikuwa na email tatu moja yangu mbili za watu, moja ya mdogo wangu ingine ya rafiki yangu
Nikaomba biashara tofauti tofauti Ili ikitokea lolote niambulie chochote,
Mungu mkubwa nikapata yangu na ya dogo each $5k (to make $10k) hii ni 2023 November hela zikaingia 2024
Safari ikaendelea Sijakaa sawa TEF wakatangaza alumni walio kwenye green business wanawapa grants ya $5k Tena hii wali partner na GIZ
Nikaomba kwa account moja sikutaka ku cheat Tena maana nilikuwa bize sana tofauti na awali na muda nilikuwa Sina kuweza kusoma na kufanya quiz account zote tatu
Baadae nikaona wame extend deadline hii Huwa ni dalili nzuri kwa applicants maana applications zinakuwa hazijafika idadi wanayo itaka wakaondoa na kigezo Cha u alumni (ilikuwa wanawake tu) so nikaombea Tena nikajipa muda mzuri tu Kila siku natamba na account moja, kwenye YouTube session kwenye attendence nikawa na sign zote tatu
Hapa mbili zilikuwa idea na moja ndo my real business
Hapa bahati ikawa pia upande wangu account zote zikapata kimbembe kikaja kwenye verification huyu rafiki yangu hajui kingereza🤭🤭🤭 ikabidi nimjaze kiziwi (hearing imperfection) ili akiwaya waya waelewe asikii vizuri mambo yasiwe mengi, Huwa verification wanafanya kwa Whatsapp so ikabidi nianze kumpiga pindi na kuuliza maswali kwa ambao wameshafanyiwa verification nikamwelekeza na Mambo yakawa vizuri
Account ya dogo hakuwa na shida akafanya mwenyewe
Hii yangu sasa business
Plan ikarudishwa nimekosea akili ikanivurugika nikamtafuta dada mmoja hivi ambae kanizi kwenye hizi mambo akarekebisha nikapata mwaka huu mwezi wa pili mzigo ukaingia UBA
Hawa wakulungwa wangu nikawakatia Chao maisha yanaendelea
Aysee ku type kazi sana ntarudi Tena
"Don’t wait for perfect start now, grow anyway"
Rejea Uzi huu
![]()
Ninahitaji Mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi
Heshima kwenu wakuu, Ninahitaji mwekezaji kwenye biashara yangu ya uzalishaji wa vipodozi ni kiwanda kidogo kinachojihusisha na uzalishaji wa bidhaa za urembo Mafuta, sabuni, lotions, scrubs, serums nk Biashara imesajiliwa na mamlaka zote na inajiendesha kihalali Thamani ya biashara kwa sasa...www.jamiiforums.com
Nimelipenda jibu lako. Watu hawajui jinsi ya kuombaYes nimekukumbuka, na ni kweli nilikataa
Vijana tujifunze connection and how to connect
Huwezi mtafuta mtu kumtumia massage Whatsapp kuwa unataka kuja ofisini nikufundishe production haiwi hivyo, lazima ujue namna ya ku connect na kumshawishi mtu akufunze
Ntajuaje kama umetumwa na competitor wangu uje uchunguze ninavyo Fanya?
Uliona wapi nimetangaza Training za kufundisha manufacturing ????
NB: Approach yako ulioanza nayo sikuielewa, pia ukitaka kujua kutengeneza bidhaa kaanze Sido wanatoa mafunzo Mimi ntakufundisha how to do this business
Dunia Haina huruma usifikirie utahurumiwa unatakiwa uendelee kugonga milango untill it's opens yaani gonga gonga sana Leo Cornice Kakukataliwa kwenda kiwandani kwake kujifunza, hutakiwi kukata tamaa kisa Cornice nenda kwenye njia nyingine
Hapo mtu alipaswa kuomba vipi??Nimelipenda jibu lako. Watu hawajui jinsi ya kuomba
Hapo ndipo huwa nawapenda Wachagga na Shikamoo mwanangu.Hapo mtu alipaswa kuomba vipi??
If I may ask
Unamaanisha nilipaswa kusema shikamoo?Hapo ndipo huwa nawapenda Wachagga na Shikamoo mwanangu.
Kaaaazi kweli kweli! Sijasema ulitakiwa kusema shikamoo. Nazungumzia approach ya kichaga 'shikamoo mwanangu'.Unamaanisha nilipaswa kusema shikamoo?
Ungeanza na ku build friendship kwanza, na hivi umesema unani fatilia basi ingekuwa vzr kuingia kwa gia hiyo and some business talks na BLA BLA kibao huku ukisubiri mudaHapo mtu alipaswa kuomba vipi??
If I may ask
Kijana anaonekana Bado mdogo hawezi kukuelewaKaaaazi kweli kweli! Sijasema ulitakiwa kusema shikamoo. Nazungumzia approach ya kichaga 'shikamoo mwanangu'.
Ndio mkuuHongera,,Hivi tuliowahi kuwa sales and marketing,tunaweza kujua tukitumia uzoefu wetu?
Kweli kabisa!Kijana anaonekana Bado mdogo hawezi kukuelewa
Hawa ndo wanaolalamika kwenye vikao kwanini wenye hela ndo Wana final say
Aysee Dunia ndogo 😂😂😂😂😂 kweli nishawahigi uza chupi doh nimeishiwa manenoUlichosema hapa ni kweli 100% Na hii hutokea haswa kwa nchi hii ya Tanzania,,,kwa wenzetu nchi nyingine za kiafrika naamin wanajua namna ya kumuapproach mtu kwa wema ili waokote elimu, ila sio bongo, bongo hii ya uchawi Husda rohombaya nyege,, wanataka tu Kuja kuangalia unafanya biashara Gani ili na wao wakopi na kupesti ama watafute namna wakudondoshe, hii ndio bongo ...ni 1% tu wenye wema wanaotaka kweli kujifunza au hata kukusapot biashara yako ..
NB: Jane hongera sana nimefurahi wewe kuendelea kufanikiwa Hadi Sasa uko hapo, nakufahamu tangu biashara ya kuuza chupi , na ulishawahi kuja kuniuzia chupi za kike nilikua namnunulia mtu zawadi 😂😂 usiniulize nmekujuaje but nakujua nimefurahi umepambana na ndoto yako uliyoniambiaga pale posta tulipokutana imefanikiwa. Ulikua determined sana kufanikiwa. Be blessed