Ohooo, samahani kama kuna sehemu nimewakwaza lakini naomba tusivuke mipaka sasa. Sijui mnafanya ili kuchangansha genge au mnanifahamu.Kijana anaonekana Bado mdogo hawezi kukuelewa
Hawa ndo wanaolalamika kwenye vikao kwanini wenye hela ndo Wana final say
😀😀😀 Haina neno Jane .ntakuchek pm kwa ajili ya mafuta na sabuni.Aysee Dunia ndogo 😂😂😂😂😂 kweli nishawahigi uza chupi doh nimeishiwa maneno
Nashukuru sana mteja wangu karibu mafuta sasa na sabuni
Nina uhakika Mimi pia nakaribia kulamba 30m soft loan, a friend keshalamba 30m wewe jaza hiyo fomu utatafutwa na utatembelewa na watakagua Kila kitu kwenye biashara zakoJane Msowoya una uhakika na hii kitu:
Uni Launch and Scale Program
Uni Launch and Scale Program is an initiative by CRDB Bank Foundation and StartHub Africa for university student–led startups and established ventures.We’re seeking high-performing, post-revenue businesses - both tech-enabled ventures and manufacturing SMEs - to join our established-business pipeline. Fill out this form, and we’ll reach out to learn more.Have questions or need clarification? Contact us at +255 622 387 189 or [email protected].
Mbona jamaa aliyepokea hiyo simu ameonesha kama hajui hiyo kituNina uhakika Mimi pia nakaribia kulamba 30m soft loan, a friend keshalamba 30m wewe jaza hiyo fomu utatafutwa na utatembelewa na watakagua Kila kitu kwenye biashara zako
NB: unatakiwa uwe na documents zote halali za biashara na ukiwa na audited financial report ni added advantage
Usipige simu jaza fomu online tulia watakutafuta wenyewe wakiona una qualifyMbona jamaa aliyepokea hiyo simu ameonesha kama hajui hiyo kitu
Nimesoma hii comment yako kwa umakini kiasi nimepata mwanga kidogo najaribu kueelewa zaidi tafadhali Kama unaweza pata nafasi...Hongera sana madam kwa mapambano, hizi hustles zipo sema wabongo bado tupo nyuma sana kwenye mambo ya kufungua startups, NGO,s, biashara za kushirikiana.
Graduates wanakuwa wajinga hawataki kuunganisha mawazo wanajadili upuuzi, udaku, mpira, wasaniii......
Mwaka huu TEF wametoa 5000$ kwa watanzania 84, Nigeria wamepata kama 1500 katiya watu 3000 waliobahatika mwaka huu.
Binafsi nimepata saivi tunaendelea na training mpaka mwezi wa 8 ndio pesa zitaanza kuingia.
Hii program imeanza tokea 2015 so ukisikia usizani ni ishu mpya kinachotakiwa ni kujipanga uone namna ya kutoboa na zipo kama hizo nyingi ishu ni kuwa rea, ujielewe unataka nini na utawekeza nini hakuna pesa ya rahisi lazima uonyeshe utofauti.
Nimewahi kuandika hapa kuhusu Upwork watu wanakuja inbox unawaelekeza then wanapotelea njiani unakuta mtu anakufuata kwa mihemuko akizani kuna kazi zimejaa ni kujiunga akikutana na process sijui kufungua account, kujifunza skills namna ya kuandika proposals nk. Anakimbia akija kuona tena mtu anatoa ushuhuda anakutafuta tena mda huna mda wa kupoteza bure inabidi umcharge gali ili aone thamani ya anachotaka.
Ushauri wa bure vijana tujenge tabia ya uaminifu, tufanye kazi kama temu au kikundi ni rahisi kufanikiwa tofauti na ukiwa peke yako.
Kuwa na ndoto na zipambanie, mwanzo ni mgumu unaruhusiwa kupumzika na kurudi kwenye game ila usikate tamaa.
Kuna jamaa namjua ameshasaidia watu kibao kupata hizo pesa tokea 2022 na ameshapata funds mbalimbali kama grants but the hustles is very tough, mtu akikuelezea unaweza kuhisi ni simple kuzipata la hasha lazima ujitoe sana ndio ufanikiwe.
Tupambane tutumie internet vizuri digital economy kuna mambo mengi sana, pia kuna utapeli ukiwa na tamaa na taarifa zisizo sahii.
Hizi mambo unatakiwa kupambana ata miaka mitatu ndio unakuwa na uzoefu wa kutosha, unajaribu mara kadhaa bila kukata tamaa inafika mahali inakuwa rahisi kama kumsukuma mlevi. Inafika mahali ukiambiwa 5k usd unaona sio levo za kampuni yako unaanza kupambania bilions.
Ni vizuri kuwa na ndoto kubwa hata kama hujui utazitimiza vipi anza taratibu. Nimeandika kwa taratibu najua anaweza kusoma mtu ata 2027 ikamsaidia. Mungu ibariki Africa na watu wake, wabariki vijana wanaojitafuta wasichoke kupambania ndoto zao. Amen
Natumaini one day you will make it 💪🏽Sido nimepita tangu mwaka jana. Kuhusu kutuma ujumbe ukiwa na salamu, utambulisho mfupi pamoja na dhumuni la kukutafuta sioni kama ni approach mbaya, ukizingatia pia ulitoa mawasiliano yako katika thread ya 2023.
Competitors wako wakihitaji chochote kutoka kwako hawatohitaji kunitumia Mimi pangu pakavu tokea huku Bagamoyo, they don't need to beat around the bush. Nadhani hapo ulitumia hisia zaidi
Yote kwa yote nisiwe mchoyo wa fadhila, nashukuru nimekua mnufaika wa maarifa kupitia thread zako tangu 2023, nimejifunza kua Kila kitu kinawezekana ukiwa na nia na ukawekeza nguvu na maarifa.
Well saidOhooo, samahani kama kuna sehemu nimewakwaza lakini naomba tusivuke mipaka sasa. Sijui mnafanya ili kuchangansha genge au mnanifahamu.
MImi ni mtu mzima mwenye familia, career pamoja na biashara kadhaa ambazo zinajiendesha kwa sasa.
Sidhani kama ni sahihi kutoa kauli kama "Kijana anaonekana Bado mdogo hawezi kukuelewa
Hawa ndo wanaolalamika kwenye vikao kwanini wenye hela ndo Wana final say"
Tunaweza kushea ideas bila kutweza utu wala kudharauliana ilihali hatujuani
Nipo nasubiri icho kipengele za revenue....Usipige simu jaza fomu online tulia watakutafuta wenyewe wakiona una qualify
Upo sahihi sana mkuu, vijana hawana subra wanadhani funds nikulala na kuamka,Hongera sana madam kwa mapambano, hizi hustles zipo sema wabongo bado tupo nyuma sana kwenye mambo ya kufungua startups, NGO,s, biashara za kushirikiana.