MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ulitaka kuandika nini?Miaka hiyo nikiwa nimepigika vibaya mno kiuchumi nilibahatika kukutana uso kwa uso na takrima toka kwa Lema wa CHADEMA. Enzi hizo ilikuwa kawaida sana kutembea kwa mguu toka Mianzini hadi Kerai kutokana na hali ya kiuchumi kutokuwa rafiki. Ilikuwa nikikata kona pale round about ya Florida kuitafuta Levolosi kisha Ngarenaro ndani ya muda mchache najikuta kona Mbauda, JR mwisho Kerai. Kiafya nilikuwa fit mno.
Siku moja nikiwa kwenye matembezi yangu nikaona nipite shortcut fulani inayoanzia stendi ya Mirongo.. nikiwa ndo nimekunja tu kona ndanindani nje ya kibaa fulani nikakuta Lema yuko na watu wengine wamemzunguka akiwaelezea mambo ya siasa. Nikasimama nisikilize. Enzi hizo alikuwa TLP.
Mara ghafla Lema akaagiza mhudumu wa kile kibaa atupe maji ya kunywa wote tuliokuwa pale. Ikumbukwe hiyo siku nilikuwa nimetembea kwa mguu kutoka Kona Ilboru na kulikuwa na jua kali. Kiukweli ile chupa ya maji baridi ilikuwa na maana kubwa sana kwangu. Ninamshukuru sana Lema kwa ile takrima.
Ninamshauri Lema arudi TLP kwa sababu ndo nyota yake iling'aa sana akiwa huko. Huku CHADEMA anachonganishwa mno na wapiga kura wake. Lema ni mwanasiasa mzuri akiwa TLP. Mimi kwenye ukuaji wangu nilikuwa sijui mwanasiasa mwingine wa upinzani zaidi ya Lema kwenye jimbo la Arusha. CHADEMA inaharibu mno wanasiasa.
Dah umenikumbusha mbali sana. Kwa Loning'o kupanda juu hadi Ilkiding'a.... kuhusu kunijua endelea kuotea otea.Kupitia uzi wako huu nimekujua vyema... Unapandishaga na kigari chako hapa kwa loning'o matofalini kumbe ndio wewe jitu zima unaandika utumbo humu 😁
Dr Hayawani relax.Ulitaka kuandika nini?
Mara takrima , Mara TLP Mara chadema ? ndo maana mnapewa baiskeli kwakuwa mnababaika Sana hata kujieleza tu hamuwezi.
Masisiemu tafafhali kaombeni bongo zenu kwa mwenyekitiMiaka hiyo nikiwa nimepigika vibaya mno kiuchumi nilibahatika kukutana uso kwa uso na takrima toka kwa Lema wa CHADEMA. Enzi hizo ilikuwa kawaida sana kutembea kwa mguu toka Mianzini hadi Kerai kutokana na hali ya kiuchumi kutokuwa rafiki. Ilikuwa nikikata kona pale round about ya Florida kuitafuta Levolosi kisha Ngarenaro ndani ya muda mchache najikuta kona Mbauda, JR mwisho Kerai. Kiafya nilikuwa fit mno.
Siku moja nikiwa kwenye matembezi yangu nikaona nipite shortcut fulani inayoanzia stendi ya Mirongo.. nikiwa ndo nimekunja tu kona ndanindani nje ya kibaa fulani nikakuta Lema yuko na watu wengine wamemzunguka akiwaelezea mambo ya siasa. Nikasimama nisikilize. Enzi hizo alikuwa TLP.
Mara ghafla Lema akaagiza mhudumu wa kile kibaa atupe maji ya kunywa wote tuliokuwa pale. Ikumbukwe hiyo siku nilikuwa nimetembea kwa mguu kutoka Kona Ilboru na kulikuwa na jua kali. Kiukweli ile chupa ya maji baridi ilikuwa na maana kubwa sana kwangu. Ninamshukuru sana Lema kwa ile takrima.
Ninamshauri Lema arudi TLP kwa sababu ndo nyota yake iling'aa sana akiwa huko. Huku CHADEMA anachonganishwa mno na wapiga kura wake. Lema ni mwanasiasa mzuri akiwa TLP. Mimi kwenye ukuaji wangu nilikuwa sijui mwanasiasa mwingine wa upinzani zaidi ya Lema kwenye jimbo la Arusha. CHADEMA inaharibu mno wanasiasa.
Mbona hii ni mitaa yanguKupitia uzi wako huu nimekujua vyema... Unapandishaga na kigari chako hapa kwa loning'o matofalini kumbe ndio wewe jitu zima unaandika utumbo humu 😁
Basi tunajuana maana ninachofanya hapa lazima nifikie familia zaid ya 20 kila siku ukiwemo wewe 😊Mbona hii ni mitaa yangu
Mimi jioni jioni utanikuta hapa La PizBasi tunajuana maana ninachofanya hapa lazima nifikie familia zaid ya 20 kila siku ukiwemo wewe 😊
Kumbe wewe ndiye yule Changudoaaaa mzoefu!😂😂😂😂Miaka hiyo nikiwa nimepigika vibaya mno kiuchumi nilibahatika kukutana uso kwa uso na takrima toka kwa Lema wa CHADEMA. Enzi hizo ilikuwa kawaida sana kutembea kwa mguu toka Mianzini hadi Kerai kutokana na hali ya kiuchumi kutokuwa rafiki. Ilikuwa nikikata kona pale round about ya Florida kuitafuta Levolosi kisha Ngarenaro ndani ya muda mchache najikuta kona Mbauda, JR mwisho Kerai. Kiafya nilikuwa fit mno.
Siku moja nikiwa kwenye matembezi yangu nikaona nipite shortcut fulani inayoanzia stendi ya Mirongo.. nikiwa ndo nimekunja tu kona ndanindani nje ya kibaa fulani nikakuta Lema yuko na watu wengine wamemzunguka akiwaelezea mambo ya siasa. Nikasimama nisikilize. Enzi hizo alikuwa TLP.
Mara ghafla Lema akaagiza mhudumu wa kile kibaa atupe maji ya kunywa wote tuliokuwa pale. Ikumbukwe hiyo siku nilikuwa nimetembea kwa mguu kutoka Kona Ilboru na kulikuwa na jua kali. Kiukweli ile chupa ya maji baridi ilikuwa na maana kubwa sana kwangu. Ninamshukuru sana Lema kwa ile takrima.
Ninamshauri Lema arudi TLP kwa sababu ndo nyota yake iling'aa sana akiwa huko. Huku CHADEMA anachonganishwa mno na wapiga kura wake. Lema ni mwanasiasa mzuri akiwa TLP. Mimi kwenye ukuaji wangu nilikuwa sijui mwanasiasa mwingine wa upinzani zaidi ya Lema kwenye jimbo la Arusha. CHADEMA inaharibu mno wanasiasa.
Utakuwa ulikuwa na njaa kali vibaya, hadi chupa ya maji unaita kutafuna takrima! Ungepewa pia mbili na nyama na mzigo si ungeliwa chooni kabisa.Miaka hiyo nikiwa nimepigika vibaya mno kiuchumi nilibahatika kukutana uso kwa uso na takrima toka kwa Lema wa CHADEMA. Enzi hizo ilikuwa kawaida sana kutembea kwa mguu toka Mianzini hadi Kerai kutokana na hali ya kiuchumi kutokuwa rafiki. Ilikuwa nikikata kona pale round about ya Florida kuitafuta Levolosi kisha Ngarenaro ndani ya muda mchache najikuta kona Mbauda, JR mwisho Kerai. Kiafya nilikuwa fit mno.
Siku moja nikiwa kwenye matembezi yangu nikaona nipite shortcut fulani inayoanzia stendi ya Mirongo.. nikiwa ndo nimekunja tu kona ndanindani nje ya kibaa fulani nikakuta Lema yuko na watu wengine wamemzunguka akiwaelezea mambo ya siasa. Nikasimama nisikilize. Enzi hizo alikuwa TLP.
Mara ghafla Lema akaagiza mhudumu wa kile kibaa atupe maji ya kunywa wote tuliokuwa pale. Ikumbukwe hiyo siku nilikuwa nimetembea kwa mguu kutoka Kona Ilboru na kulikuwa na jua kali. Kiukweli ile chupa ya maji baridi ilikuwa na maana kubwa sana kwangu. Ninamshukuru sana Lema kwa ile takrima.
Ninamshauri Lema arudi TLP kwa sababu ndo nyota yake iling'aa sana akiwa huko. Huku CHADEMA anachonganishwa mno na wapiga kura wake. Lema ni mwanasiasa mzuri akiwa TLP. Mimi kwenye ukuaji wangu nilikuwa sijui mwanasiasa mwingine wa upinzani zaidi ya Lema kwenye jimbo la Arusha. CHADEMA inaharibu mno wanasiasa.
Tuishie hapahapa mkuu...Mimi jioni jioni utanikuta hapa La Piz
Hizo mada unazotaka andika weweJamani mbona tuna mada nyingi sana za kuandika!
Sasa hii mada na mambo tunayoyapitia then wengine mnatuletea story za njaa/kupigika, Du mbingu tutaisikia tu kwa majirani
Sema komredi ile takrima ilinisaidia maana nilikuwa na kiu hatari. Lema wa TLP hakuwa na siasa za kijinga....Jamaa alitoa rushwa sana
Sio lazima uamini.Angeandika mwingine ningeweza kuamini, lakini sio chawa kama wewe anayetumia makalio kufikiria