Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini
Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho
Hakuna guarantee ya KAZI baada ya kuhitimu training...unahitimu na kazi hakuna.
Kula mlo mmoja tu hotelini usiku kula unajisimamia wewe mwenyewe aiseee.....
Kifupi nimepigwa