Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Usiku unakula kwa ajili ya nini?kwa ajili ya kulala? Chakula cha mchana kinatoshaKula mlo mmoja tu hotelini usiku kula unajisimamia wewe mwenyewe aiseee.....
πππππ hizo mbinge hotel kubwa kubwa zile five stars, four stars ndio zao. Wao wanajali ule breakfast ya nguvu buffee (chagua kila unachotaka kwa kiwango utakachokula) na buffee ya luch vitu mseto vya kutosha. Ila jioni hakuna kitu.Usiku unakula kwa ajili ya nini?kwa ajili ya kulala? Chakula cha mchana kinatosha
#Usinikumbushe.πππππ hizo mbinge hotel kubwa kubwa zile five stars, four stars ndio zao. Wao wanajali ule breakfast ya nguvu buffee (chagua kila unachotaka kwa kiwango utakachokula) na buffee ya luch vitu mseto vya kutosha. Ila jioni hakuna kitu.
Upigwe tu!Picha linaanza niliambiwa kutakuwa na hostel kwa ajili ya kulala ila cha ajabu kuna chumba chenye magodoro chini na idadi imekamilika kinachofuata ni kulala chini
Kipindi cha training kupewq posho laki moja. Kumbe hakuna cha posho Wala Nini miezi yote mitatu hakuna posho
Hakuna guarantee ya KAZI baada ya kuhitimu training...unahitimu na kazi hakuna.
Kula mlo mmoja tu hotelini usiku kula unajisimamia wewe mwenyewe aiseee.....
Kifupi nimepigwa
Wewe mzito sana kuelewa, amesema kula ni mlo mmoja maana yake mchana hakuna mlo, mlo ni usiku tu.Usiku unakula kwa ajili ya nini?kwa ajili ya kulala? Chakula cha mchana kinatosha