Jinsi nilivyothibitisha Uchawi, hutoamini nakwambia!

Dah! Masharti mengine hayatekelezeki. Mtu na akili yako timamu eti unaenda kulala porini - unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na wanyama wakali e.g. fisi., mbwamwitu, nyoka, wadudu warukao na watambaao, baridi n.k. kisa ni ili kuuona uchawi ambao HAUPO. Ni kwanini huo uchawi ukae maporini ilhali huku mtaani na mahotelini/guest bado kuna nafasi? Uchawi wa mchongo huo- Tupa kule.
Hahahahahah

Ila uchawi upo Hilo hata usikatae
 
Hahahaaa!

Blah blah nyiiingi lakini uthibitisho hakuna.

Wengine walisema niende Gambosi nikajionee mwenyewe. Nikaenda na sikuona chochote zaidi ya ujinga na umaskini tu.

Tanga nimefika. Nimelala sana Mkonge hotel enzi hizo. Sikuona uchawi wala nini.

Uchawi haupo.
Utajuaje kama uchawi upo kama hu-, practice uchawi wenyewe?

Ili ujue uchawi upo anza kuufanya na kuusoma vizuri.
Ujue miti yote na kazi zake,
Ujue mimea yote na kazi zake,
Ujue baadhi ya michoro ya kichawi na kazi zake,

Na pia ikiwezekana nenda kwa Mganga ukafanye utafiti ili ujue kama uchawi upo na unafanya kazi ama laa.

Hapo nitakuona umefanya la maana na unastahili kuwa na hiyo BLUE TICK.

Ushuhuda wangu kuhusu uchawi.

Alikuwepo Bamdogo wangu hakuwa amezaliwa na kifafa ila cha kushangaza alipofikisha miaka 31 alianza kudondoka kifafa.
Tulimpeleka hospitali kwa ajili ya matibabu lakini hali yake iliendelea kuwa mbaya.

Hapo Mzee ilibidi ajiongeze kujaribu upande wa asili Ili kunusuru uhai wa Bamdogo, Nakuambia haikupita hata siku 3 mgonjwa wetu alipona kabisa na mpaka leo ana miaka 44 hajawahi kuanguka tena, Na kwa maneno ya Mganga alitupiwa kifafa ( Sijui hii teknolojia inavyofanya Kazi).

Naamini wewe ni Msomi na unaweza kutenga mda wako kujifunza kitu kipya. No research no right to speak.

Lakini ukiwa mtu wa keyboard tu. Mpaka unafariki unaweza usishuhudie hii teknolojia ya asili inavyofanya kazi.
 
Blah blah blah.
 
Nanukuu: "Naamini wewe ni Msomi na unaweza kutenga mda wako kujifunza kitu kipya. No research no right to speak".
Sawa kabisa. Sasa ww unayetusemesha hapa (comment) tuanzie kwako. Leta Research findings zako hapa ili tuweze kukusikiliza. Tofauti na hapo; U have no right to speak.
 
Utajuaje kama uchawi upo kama hu-, practice uchawi wenyewe?

Ili ujue uchawi upo anza kuufanya na kuusoma vizuri.
Ujue miti yote na kazi zake,
Ujue mimea yote na kazi zake,
Ujue baadhi ya michoro ya kichawi na kazi zake,

Na pia ikiwezekana nenda kwa Mganga ukafanye utafiti ili ujue kama uchawi upo na unafanya kazi ama laa.

Hapo nitakuona umefanya la maana na unastahili kuwa na hiyo BLUE TICK.

Ushuhuda wangu kuhusu uchawi.

Alikuwepo Bamdogo wangu hakuwa amezaliwa na kifafa ila cha kushangaza alipofikisha miaka 31 alianza kudondoka kifafa.
Tulimpeleka hospitali kwa ajili ya matibabu lakini hali yake iliendelea kuwa mbaya.

Hapo Mzee ilibidi ajiongeze kujaribu upande wa asili Ili kunusuru uhai wa Bamdogo, Nakuambia haikupita hata siku 3 mgonjwa wetu alipona kabisa na mpaka leo ana miaka 44 hajawahi kuanguka tena, Na kwa maneno ya Mganga alitupiwa kifafa ( Sijui hii teknolojia inavyofanya Kazi).

Naamini wewe ni Msomi na unaweza kutenga mda wako kujifunza kitu kipya. No research no right to speak.

Lakini ukiwa mtu wa keyboard tu. Mpaka unafariki unaweza usishuhudie hii teknolojia ya asili inavyofanya kazi.
Huwa najiuliza hivi hizo tekinolojia kwanini zisitumike kutuletea maendeleo, au zikawa kama silaha dhidi ya mataifa makubwa hayo yenye dhuluma na ushenzi wa kila aina?
 
Back
Top Bottom