Jinsi nilivyothibitisha Uchawi, hutoamini nakwambia!

Nyinyi mmezaliwa mjini kwaio Kuna mambo yamewapita Ila sisi ambao tumekulia bush vijijini tumeona mengi Sanaa.

Kinachukuliwa kioo kile/vile vya kujitazama unatakiwa uweke noti/ pesa ya noti.

Utaambiwa mpaka Yale yaliyo jificha moyoni mwako/ yaan mtu anaona mpaka mwisho wako/wazazi elimu/ yaani hizi sio hekaya congo DRC hapo.

Kuna dawa za kuzindika mashamba ukiiba / ukichuma embe ,chungwa, Pera, kitu chochote UMECHUMA ROHO YAKO..

KUNA VIDONO, KUNA VINGUTI, KUNA WATU WANA DAWA WAKIGONGWA NA NYOKA HAWAPATI TATIZO LOLOTE UNALIJUA HILI?

Kuna mti UNAITWA MZIMA ukichuma Jani lake ukaweka MFUKONI utakatiza sehemu ya hatari/ balaa mfano NYOKA, fisi, chatu, Simba, wanyama wote wata ku ignore unafika nyumbani salama... negative side hilo Jani ukiwa nalo linafunga bahati / unaweza pesa ikawa mbele yako usiione..

Wamasai huwa wanamafuta yao wakipaka wanyama wote hatari wanawakimbia kwa kusikia Ile harufu unalijua Hilo...Simba 🦁 mwenyewe akisikia Ile harufu ANATOKA nduki

Una jua Kuna mizimu,majini,wachawi, waganga, misukule?

UNALIJUA kaburi la MARTINE KIYEYUU?

Hapo UDSM Kuna maprofesa wamewai kufanya tafiti za WITCHCRAFT IN TANGANYIKA usha soma findings ZAO.
 

Kama ambavyo huwa unahitaji uthibitisho wa daktari na si mwanasheria katika kujua hali yako kiafya. Ndivyo vivyo hivyo huwezi kupata uthibitisho wa ulozi kwa mtu asiye mlozi tena kupitia jf "speciality".

Ila kama upo bongo na upo radhi kuwekeza kwa ajili ya kuuthibitisha uwepo wa huo ushirikina. Nipo tayari kukutafutia, hizo contacts "free of charge".
 
Mkuu amka unakaribia kukojoa kitandani, amka chapu
 

Wengi husema hawaujui uchawi, aidha hawana experience nao haswa waliokuzwa ushuani ama ughaibuni na kuna wengine wanajua ila hawawezi kukubali mbele za watu ili waoneka wemestaarabika.


Mimi binafsi nishasema, kama watu wataniona barbaric kwa kuamini uchawi upo na iwe hivyo. Ila siwezi kusema uongo ili nionekane civilized
 
Bullshit.
 

Ishu ya kaburi la Kiyeuyeu ishajibiwa mara nyingi sana na tanesco online na humu. Ilikua ishu ya fidia.

Utafiti wa UDSM uliishia kusema hakuna uthibitisho.

Ukitaka kumficha muafrika muwekee maarifa kwenye vitabu. Mngekuwa mnasoma mngekuwa mmeshayajua haya kitambo ila mmejazwa ujinga na kila siku mnasimuliana ujinga huo huo kama hizi story za mleta uzi. Mazwazwa mnaamini na nyie mnaenda kusimulia.

Mtakua mazwazwa hadi lini nyie mitanganyika kuamini vitu kwa kuambiwa tu?

 
N

Ngoja baadae nita andika Uzi mwingine apa wa jamaa yangu mmoja alikutana na jini porini

Hearsay stories again. Kisa umesimuliwa umeamini na wewe unasimulia kwamba ndo tutakuamini? Labda mazwazwa wenzio.

Hata useme umeenda chini ya bahari at Bermuda triangle na kurudi kichawi bila proof ni story za kijinga tu.

Kwa hizi story zenu nagundua tatizo la TZ sio CCM bali wananchi wengi bado wana upeo finyu sana.
 
Kwenye kutoa KAFARA huwa anaitajika kiumbe. Mfano kuku..

Ukimchukua kuku ukamkata kichwa GAFLA na kumuachilia yule kuku atahangaika huku na kule mwisho atakata ROHO.

Sasa ni nadra Sana kuku kufa akiwa Chali nakwambia ni nadra Sanaa...Katika uislamu Kuna vitabu vipo vya uganga.

Kwaio ukitoa kafara ya kuku ukamkata kichwa GAFLA na kumuachilia ATAKAPO KUFA KUNA STILI MBALI MBALI ATAKAZO KUA AMELALA NA MAANA ZAKE.

HII DUNIA SIO KWA JINSI UNAVYO IONA..INA MAMBO MENGI SANAA..WANABISHA TU ILA UCHAWI UPO NA UNAFANYA KAZI.

 
Asante kwa kejeli maneno ya ovyo ovyo.
Maneno tupu yasiyo na maana yeyote.
Hayati MAGUFURI aliwai kukutana na tukio la bulldozer kushindwa kung'oa mti ili barabara ipite ikabidi waongee na wazee wa pale ndipo likafanyika tambiko mambo yakaenda sawa ingia kwenye you tube utajionea.

LIKUD aliwai kusimulia visa vya BIBI FISI alie kua mchawi Sana maeneo ya bugando mwanza..kwa walio wai kufika pale bara bara ya bugando wataona barabara imepinda ni kwa ajir ya kumpisha BIBI FISI huyu bibi alikua hatari mpaka Nyerere physically alienda kuongea nae kumwomba apishe ujenzi wa barabara.
Inasemwa ma engineer walishindwa kubomoa nyumba ya udongo ya bibi FISI

Jitahidi kujielimisha punguza matusi na jazba zisizo na sababu wewe still ni mchanga Sana kwenye hii fani ya sorcerer,witch, power 🗣️

Jitahidi kujielimisha pia nakushaur uwe na pure drinking water hapo pembeni mkuu.
 

Itakua unaamini pia excavator ilishindwa kubeba fimbo ya Nyerere. Wajinga hawaishi hakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…