Kama tarehe za marejesho hazijafika labda, zikikaribia utajionea mengi san😂 Acha kufananisha madeni na vitu vya kijinga, me mbona nina madeni ila sijawahi ona watu waki Float usiku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tarehe za marejesho hazijafika labda, zikikaribia utajionea mengi san😂 Acha kufananisha madeni na vitu vya kijinga, me mbona nina madeni ila sijawahi ona watu waki Float usiku
Nyinyi mmezaliwa mjini kwaio Kuna mambo yamewapita Ila sisi ambao tumekulia bush vijijini tumeona mengi Sanaa.Nanukuu: "Naamini wewe ni Msomi na unaweza kutenga mda wako kujifunza kitu kipya. No research no right to speak".
Sawa kabisa. Sasa ww unayetusemesha hapa (comment) tuanzie kwako. Leta Research findings zako hapa ili tuweze kukusikiliza. Tofauti na hapo; U have no right to speak.
Unataka ku prove uchawi upo?
Ulipaa na ungo kwani kwenye pantoni na zile boti za Azam unapanda kwa matako si unatumia miguu?
Hakuna kitu kama hicho.
Ulinganisho wako kati ya huo unaoitwa uchawi na hicho ulichokotolea mfano ni sawa na kulinganisha chungwa na kabila la wagagagigikoko.
Halafu maneno mengi ya nini? Malaria ina kanuni na taratibu zake za kiithibati. Inathibitishika.
Narudi zangu kulala. Ukiwa kuthibitisha uchawi kwa namna yoyote ile, niamshe.
Mkuu amka unakaribia kukojoa kitandani, amka chapuNdugu zangu wa JamiiForums, napenda kushiriki nanyi tukio la kushangaza lililotokea maishani mwangu, ambalo lilinionyesha wazi kuwa uchawi upo! Mpaka leo nikikumbuka usiku ule, mwili hunisisimka na maswali hayaishi kichwani mwangu.
Usiku wa Ajabu
Ilikuwa ni usiku wa manane, saa nane hivi. Nyumba ilikuwa kimya kabisa, kila mtu amelala, lakini ghafla niliamka nikiwa na hisia ngeni. Kulikuwa na ukimya wa ajabu, ukimya ambao hukufanya usikie hata sauti ya mapigo ya moyo wako. Nilihisi kama kuna mtu au kitu ndani ya chumba changu, ingawa mlango ulikuwa umefungwa na madirisha yakiwa salama.
Niliinama kidogo nikatazama chini ya kitanda—hakukuwa na kitu. Nikanyanyuka taratibu na kuwasha taa ya simu yangu, kisha nikapeleka macho dirishani. Ndipo nikamuona mtu akisimama nje ya nyumba yangu, umbali wa kama mita tano, akiwa hana kiatu na amevalia mavazi meupe yaliyochafuka. Uso wake haukuwa wazi, lakini mwili wake ulikuwa umetulia kimya bila hata kusogea.
Nilihisi hofu ikianza kunizidia, lakini nikajipa ujasiri. “Labda ni mwizi,” nilijiambia, nikachukua fimbo yangu ndogo niliyokuwa nayo chumbani. Nikaamua kumfuata taratibu ili nione kama kweli ni mtu wa kawaida au kuna jambo lingine.
Tukio Lisiloeleweka
Nilipofungua mlango na kutoka nje, cha kushangaza ni kuwa mtu yule alionekana kama vile anateleza ardhini badala ya kutembea! Hakutembea kwa miguu kama binadamu wa kawaida. Niliendelea kumfuata kwa tahadhari, lakini kila nilipomsogelea, alionekana kusogea mbali zaidi bila hata kukimbia.
Nilipojaribu kupiga kelele ili majirani wasikie, sauti yangu haikutoka! Nilihisi kama koo langu limefungwa ghafla, kama mtu aliyebanwa na mkono wa ajabu! Hofu ilinizidi, nikaanza kurudi nyuma haraka kuelekea ndani. Nilipofika mlangoni na kugeuka kutazama tena, yule mtu alikuwa ametoweka ghafla—kana kwamba hakuwahi kuwepo!
Ushahidi wa Ajabu
Siku iliyofuata asubuhi, nilipowaeleza majirani kuhusu tukio hilo, baadhi yao waliniambia kuwa jirani yetu mmoja alifariki usiku huo huo nikiwa napambana na kiumbe kisichoeleweka! Inasemekana mtu huyo alikuwa anahusishwa na vitendo vya ushirikina na alishawahi kushukiwa kuwa mchawi wa mtaa.
Kwa hakika, tangu siku hiyo, niliamini kuwa kuna vitu ambavyo akili ya kawaida haiwezi kuelewa. Mpaka leo, sijui yule mtu alikuwa nani hasa, wala alitowekaje bila hata kusikika. Uchawi upo ndugu zangu, na mimi nimeshuhudia kwa macho yangu!
Je, umewahi kukutana na tukio kama hili? Niambie!
Nyinyi mmezaliwa mjini kwaio Kuna mambo yamewapita Ila sisi ambao tumekulia bush vijijini tumeona mengi Sanaa.
Kinachukuliwa kioo kile/vile vya kujitazama unatakiwa uweke noti/ pesa ya noti.
Utaambiwa mpaka Yale yaliyo jificha moyoni mwako/ yaan mtu anaona mpaka mwisho wako/wazazi elimu/ yaani hizi sio hekaya congo DRC hapo.
Kuna dawa za kuzindika mashamba ukiiba / ukichuma embe ,chungwa, Pera, kitu chochote UMECHUMA ROHO YAKO..
KUNA VIDONO, KUNA VINGUTI, KUNA WATU WANA DAWA WAKIGONGWA NA NYOKA HAWAPATI TATIZO LOLOTE UNALIJUA HILI?
Kuna mti UNAITWA MZIMA ukichuma Jani lake ukaweka MFUKONI utakatiza sehemu ya hatari/ balaa mfano NYOKA, fisi, chatu, Simba, wanyama wote wata ku ignore unafika nyumbani salama... negative side hilo Jani ukiwa nalo linafunga bahati / unaweza pesa ikawa mbele yako usiione..
Wamasai huwa wanamafuta yao wakipaka wanyama wote hatari wanawakimbia kwa kusikia Ile harufu unalijua Hilo...Simba 🦁 mwenyewe akisikia Ile harufu ANATOKA nduki
Una jua Kuna mizimu,majini,wachawi, waganga, misukule?
UNALIJUA kaburi la MARTINE KIYEYUU?
Hapo UDSM Kuna maprofesa wamewai kufanya tafiti za WITCHCRAFT IN TANGANYIKA usha soma findings ZAO.
Bullshit.Kama ambavyo huwa unahitaji uthibitisho wa daktari na si mwanasheria katika kujua hali yako kiafya. Ndivyo vivyo hivyo huwezi kupata uthibitisho wa ulozi kwa mtu asiye mlozi tena kupitia jf "speciality".
Ila kama upo bongo na upo radhi kuwekeza kwa ajili ya kuuthibitisha uwepo wa huo ushirikina. Nipo tayari kukutafutia, hizo contacts "free of charge".
Nyinyi mmezaliwa mjini kwaio Kuna mambo yamewapita Ila sisi ambao tumekulia bush vijijini tumeona mengi Sanaa.
Kinachukuliwa kioo kile/vile vya kujitazama unatakiwa uweke noti/ pesa ya noti.
Utaambiwa mpaka Yale yaliyo jificha moyoni mwako/ yaan mtu anaona mpaka mwisho wako/wazazi elimu/ yaani hizi sio hekaya congo DRC hapo.
Kuna dawa za kuzindika mashamba ukiiba / ukichuma embe ,chungwa, Pera, kitu chochote UMECHUMA ROHO YAKO..
KUNA VIDONO, KUNA VINGUTI, KUNA WATU WANA DAWA WAKIGONGWA NA NYOKA HAWAPATI TATIZO LOLOTE UNALIJUA HILI?
Kuna mti UNAITWA MZIMA ukichuma Jani lake ukaweka MFUKONI utakatiza sehemu ya hatari/ balaa mfano NYOKA, fisi, chatu, Simba, wanyama wote wata ku ignore unafika nyumbani salama... negative side hilo Jani ukiwa nalo linafunga bahati / unaweza pesa ikawa mbele yako usiione..
Wamasai huwa wanamafuta yao wakipaka wanyama wote hatari wanawakimbia kwa kusikia Ile harufu unalijua Hilo...Simba 🦁 mwenyewe akisikia Ile harufu ANATOKA nduki
Una jua Kuna mizimu,majini,wachawi, waganga, misukule?
UNALIJUA kaburi la MARTINE KIYEYUU?
Hapo UDSM Kuna maprofesa wamewai kufanya tafiti za WITCHCRAFT IN TANGANYIKA usha soma findings ZAO.
N
Ngoja baadae nita andika Uzi mwingine apa wa jamaa yangu mmoja alikutana na jini porini
Kwenye kutoa KAFARA huwa anaitajika kiumbe. Mfano kuku..Wengi husema hawaujui uchawi, aidha hawana experience nao haswa waliokuzwa ushuani ama ughaibuni na kuna wengine wanajua ila hawawezi kukubali mbele za watu ili waoneka wemestaarabika.
Mimi binafsi nishasema, kama watu wataniona barbaric kwa kuamini uchawi upo na iwe hivyo. Ila siwezi kusema uongo ili nionekane civilized
Asante kwa kejeli maneno ya ovyo ovyo.Ishu ya kaburi la Kiyeuyeu ishajibiwa mara nyingi sana na tanesco online na humu. Ilikua ishu ya fidia.
Utafiti wa UDSM uliishia kusema hakuna uthibitisho.
Ukitaka kumficha muafrika muwekee maarifa kwenye vitabu. Mngekuwa mnasoma mngekuwa mmeshayajua haya kitambo ila mmejazwa ujinga na kila siku mnasimuliana ujinga huo huo kama hizi story za mleta uzi. Mazwazwa mnaamini na nyie mnaenda kusimulia.
Mtakua mazwazwa hadi lini nyie mitanganyika kuamini vitu kwa kuambiwa tu?
![]()
WALIOFUKUA KABURI LA KIYEUYEU IRINGA WAILILIA TANRODS
SIKU chache baada ya kung’olewa kwa kaburi la kihistoria la Martine Kiyeyeu na mengine 21 ya ukoo huo, Kitongoji cha Isimila, Kijiji cha ...richard-mwaikenda.blogspot.com
Asante kwa kejeli maneno ya ovyo ovyo.
Maneno tupu yasiyo na maana yeyote.
Hayati MAGUFURI aliwai kukutana na tukio la bulldozer kushindwa kung'oa mti ili barabara ipite ikabidi waongee na wazee wa pale ndipo likafanyika tambiko mambo yakaenda sawa ingia kwenye you tube utajionea.
LIKUD aliwai kusimulia visa vya BIBI FISI alie kua mchawi Sana maeneo ya bugando mwanza..kwa walio wai kufika pale bara bara ya bugando wataona barabara imepinda ni kwa ajir ya kumpisha BIBI FISI huyu bibi alikua hatari mpaka Nyerere physically alienda kuongea nae kumwomba apishe ujenzi wa barabara.
Inasemwa ma engineer walishindwa kubomoa nyumba ya udongo ya bibi FISI
Jitahidi kujielimisha punguza matusi na jazba zisizo na sababu wewe still ni mchanga Sana kwenye hii fani ya sorcerer,witch, power 🗣️
Jitahidi kujielimisha pia nakushaur uwe na pure drinking water hapo pembeni mkuu.
Upande wako vipi mkuuBasi mororooooooo!
Dunia Ina mengi ila sio mengi wa ITV
Mkuu unaogopa jamaa kasema free ukajionee...Tunajua upo abroad....Ila welcome back uje ujionee mwenyewe watu wanaroga mpaka JENERETA linashindwa kufanya kazi 😊😊Bullshit.
Kuhusu Nini Mkuu? Za ma siku mengiUpande wako vipi mkuu
Ulitembelea mataako?Nilitembea kwenye maji. Nyie mazwazwa si mnaamini kila kitu.