sijasema MUNGU ni mchawi,,,ila MUNGU ndio muumba wkila ki2 anaweza kufanya lolote kwa kutamka tu,,,ata wanyama,ndege,samakiwadudu dunia na kila ki2 ameumba yeye,,so MUNGU ni eternal,,sasa wachawi wanashirikiana na mashetani na majini kuharibu wa2,,,ujue shetani alikua kwa MBINGU hapo kale,,MUNGU akamwambia amsujudie adam shetani akakataa MUNGU akamuuliza kwa nini? shetani akamjibu mimi umeniumba kwa moto na upepo ila huyu umemuumba kwa udongo na maji,ndo MUNGU kamfukuza shetani,,,,,shetani akamwomba MUNGU ili amjaribu binadam na MUNGU akamruhusu shetani, shetani akamwahidi MUNGU hakika nitawapa vishawishi,juu yao,juu yao,kulia kwao,kushoto kwao na chini yao,,napo ndipo balaa lilipoanza,,,so shetani anajua mambo mengi sana ya siri kwani anao uwezo mkubwa,sana na maagent wake ndo hao wachawi,wapiga ramli.nk,na maagent wa MUNGU mapadre,wachungaji,mashehe,,,na wote wanaofanya kazi kwa uwazi kupitia vitabu vitakatifu,maagent wa shetani kazi zao wanazifanya kwa siri sana wanatupia vitu vya ajabu,,,mfano mtu wa MUNGU hana haja ya kuvaa hirizi wala kwenda kupiga ramli,bali anaishi kwa neno kumtemea MUNGU peke yake,,,m2 wa MUNGU hana haja ya kuvunja nazi njia panda wala kulala makaburini,kulikuwa