Jinsi nilivyothibitisha Uchawi, hutoamini nakwambia!

Jinsi nilivyothibitisha Uchawi, hutoamini nakwambia!

Mkuu unaogopa jamaa kasema free ukajionee...Tunajua upo abroad....Ila welcome back uje ujionee mwenyewe watu wanaroga mpaka JENERETA linashindwa kufanya kazi 😊😊
🤣.

Nije nijionee mara ngapi?

Sehemu zote zinazosifika kwa uchawi Tanzania nimeshafika.

Sehemu zote hizo hazina lolote la maana zaidi ya ujinga na umaskini tu.

Nimeshawaambia watu waniroge.

Na ili kuwapa sababu, nimeshawatukana sana hao ‘wachawi’. Nimeshawakebehi sana.

Hadi dau la pesa nimeshawahi kutoa kwa yeyote atayenithibitishia kuwa uchawi upo kwa kuniroga.

Mpaka leo nadunda tu hata mafua Sijawahi kupata.

Ngoja na wewe nikutukane nikupe sababu ya kuniroga. Sawa?

Wewe ni mcenge fala tu. K@&$!?ko. Ma#%^*zi ya bibi yako.

Haya nishakupa sababu ya kuniroga.

Nasubiri ufanye vitu vyako.

Na kama unataka hela ya kwenda kumlipa mganga wako au mchawi wako, sema. Nayo nitakupa.

Imagine najitolea hadi hela ya wewe kwenda kumlipa mchawi wa kuniroga mimi.

This is too good an offer to pass up.
 
Mkuu unaogopa jamaa kasema free ukajionee...Tunajua upo abroad....Ila welcome back uje ujionee mwenyewe watu wanaroga mpaka JENERETA linashindwa kufanya kazi 😊😊
Ni anko flani wa kisukuma anaepajua hadi gamboshi ya ndani ndani kwa hiyo Sio mtu from Royal Family kiasi cha kuogopa story za kishirikina.
 
Ndugu zangu wa JamiiForums, napenda kushiriki nanyi tukio la kushangaza lililotokea maishani mwangu, ambalo lilinionyesha wazi kuwa uchawi upo! Mpaka leo nikikumbuka usiku ule, mwili hunisisimka na maswali hayaishi kichwani mwangu.

Usiku wa Ajabu

Ilikuwa ni usiku wa manane, saa nane hivi. Nyumba ilikuwa kimya kabisa, kila mtu amelala, lakini ghafla niliamka nikiwa na hisia ngeni. Kulikuwa na ukimya wa ajabu, ukimya ambao hukufanya usikie hata sauti ya mapigo ya moyo wako. Nilihisi kama kuna mtu au kitu ndani ya chumba changu, ingawa mlango ulikuwa umefungwa na madirisha yakiwa salama.

Niliinama kidogo nikatazama chini ya kitanda—hakukuwa na kitu. Nikanyanyuka taratibu na kuwasha taa ya simu yangu, kisha nikapeleka macho dirishani. Ndipo nikamuona mtu akisimama nje ya nyumba yangu, umbali wa kama mita tano, akiwa hana kiatu na amevalia mavazi meupe yaliyochafuka. Uso wake haukuwa wazi, lakini mwili wake ulikuwa umetulia kimya bila hata kusogea.

Nilihisi hofu ikianza kunizidia, lakini nikajipa ujasiri. “Labda ni mwizi,” nilijiambia, nikachukua fimbo yangu ndogo niliyokuwa nayo chumbani. Nikaamua kumfuata taratibu ili nione kama kweli ni mtu wa kawaida au kuna jambo lingine.

Tukio Lisiloeleweka

Nilipofungua mlango na kutoka nje, cha kushangaza ni kuwa mtu yule alionekana kama vile anateleza ardhini badala ya kutembea! Hakutembea kwa miguu kama binadamu wa kawaida. Niliendelea kumfuata kwa tahadhari, lakini kila nilipomsogelea, alionekana kusogea mbali zaidi bila hata kukimbia.

Nilipojaribu kupiga kelele ili majirani wasikie, sauti yangu haikutoka! Nilihisi kama koo langu limefungwa ghafla, kama mtu aliyebanwa na mkono wa ajabu! Hofu ilinizidi, nikaanza kurudi nyuma haraka kuelekea ndani. Nilipofika mlangoni na kugeuka kutazama tena, yule mtu alikuwa ametoweka ghafla—kana kwamba hakuwahi kuwepo!

Ushahidi wa Ajabu

Siku iliyofuata asubuhi, nilipowaeleza majirani kuhusu tukio hilo, baadhi yao waliniambia kuwa jirani yetu mmoja alifariki usiku huo huo nikiwa napambana na kiumbe kisichoeleweka! Inasemekana mtu huyo alikuwa anahusishwa na vitendo vya ushirikina na alishawahi kushukiwa kuwa mchawi wa mtaa.

Kwa hakika, tangu siku hiyo, niliamini kuwa kuna vitu ambavyo akili ya kawaida haiwezi kuelewa. Mpaka leo, sijui yule mtu alikuwa nani hasa, wala alitowekaje bila hata kusikika. Uchawi upo ndugu zangu, na mimi nimeshuhudia kwa macho yangu!

Je, umewahi kukutana na tukio kama hili? Niambie!
Mazingira ya namna hiii yalishawahi nitokea... nikaeleza wana jamii forum.. cha ajabu wakanikaripia sana na kunieleza wazi kuwa, nimeshiba maharage yaliyo chacha maana hakuna vitu vya namna hiyo....
 
Hakuna kitu kama hicho.

Ulinganisho wako kati ya huo unaoitwa uchawi na hicho ulichokotolea mfano ni sawa na kulinganisha chungwa na kabila la wagagagigikoko.

Halafu maneno mengi ya nini? Malaria ina kanuni na taratibu zake za kiithibati. Inathibitishika.

Narudi zangu kulala. Ukiwa kuthibitisha uchawi kwa namna yoyote ile, niamshe.
Kuna bwana mmoja anaitwa mkali malela... mtafute huyo mwambie nitrogen ili niamini kama uchawi upo kweli..... kisha tulee mrejesho..(ila wengi huwa wanarudigi kimyakimya)
 
🤣.

Nije nijionee mara ngapi?

Sehemu zote zinazosifika kwa uchawi Tanzania nimeshafika.

Sehemu zote hizo hazina lolote la maana zaidi ya ujinga na umaskini tu.

Nimeshawaambia watu waniroge.

Na ili kuwapa sababu, nimeshawatukana sana hao ‘wachawi’. Nimeshawakebehi sana.

Hadi dau la pesa nimeshawahi kutoa kwa yeyote atayenithibitishia kuwa uchawi upo kwa kuniroga.

Mpaka leo nadunda tu hata mafua Sijawahi kupata.

Ngoja na wewe nikutukane nikupe sababu ya kuniroga. Sawa?

Wewe ni mcenge fala tu. K@&$!?ko. Ma#%^*zi ya bibi yako.

Haya nishakupa sababu ya kuniroga.

Nasubiri ufanye vitu vyako.

Na kama unataka hela ya kwenda kumlipa mganga wako au mchawi wako, sema. Nayo nitakupa.

Imagine najitolea hadi hela ya wewe kwenda kumlipa mchawi wa kuniroga mimi.

This is too good an offer to pass up.
Mtafute daktari mkali malela... anapatika a kunduchi mtongani... mwambie Dr niroge nakupa ruhusa.... kisha tuletee mrejesho...
 
Acha kula makande usiku Kabla ya kulala.

Hizi hearsay stories zinaaminiwa na watu wajinga tu. Mimi nimewahi kwenda Zanzibar kwa mguu toka DSM ukiwa zwazwa utaamini na siwezi kukupa proof.
Mfano wako Kwa kwenda Zanzibar kwa miguu, unadhihirisha wee ni mjinga.
 
Kuna mwaka nilikuwa Dodoma.. nililala na mtoto mdogo wa mwaka 1… sasa nikawa Kama nipo ndotoni Naona Watu wametuzunguka haswa upande wa mtoto wanatuzomea nilikaanza kuomba halafu nikashtuka bado naomba yaani nakemea kwa Jina la Yesu.. niliendelea kuomba kama dakika 10.. sasa kumbe wakati nafanya yote hayo kuna wenzangu chumba cha pili walishtuka nikasikia wananiuliza Kadogo2 mbona unakemea kwa sauti kubwa umeonaa nini.. nikawaambia nilisinzia nikawa kama naota sasa sina uhakika kama ilikuwa ndoto au live

Asubuhi yake saa 12 kuna jirani akaja kusalimia ni mama mtu Mzima.. wenyeji wangu wakasema hajawai kuja kwao kusalimia na inasemekana ni mchawi

Kwakweli tangu nizaliwe hilo ndio tukio ambalo nimewahi kuli expirience nikahusisha na nguvu za Giza japo sina uhakika
 
Exactly yes. Yan eti mtu uijue miti yote na kazi zake.uijue mimea yooote na blaablaah, uijue michoro ...Dah! Kweli ni blah blah blah kibao.
Acha kuwa keyboard warrior. Kama unataka kuthibitisha kitu sharti ujitoe ili ufahamu zaidi.

No research no right to speak.
 
Naam,au watakwambia wazungu ni hatari wanakinga zakutosha,ooh uwawezi bhana!!,, ooh unawaona wale Manchester ni wachawi balaa,hakuna lolote wala.
Uchawi upo popote, Kama upo tayari kujifunza ingia playstore pakua app inaitwa KAYSA.
Hii app ni maalum kwa ajili ya kutabiri mambo ya mtu ya mbeleni.. Nilishaitumia Ila baadaye niiliifuta maana niliona ingeniletea mtafaruko.
 
Nanukuu: "Naamini wewe ni Msomi na unaweza kutenga mda wako kujifunza kitu kipya. No research no right to speak".
Sawa kabisa. Sasa ww unayetusemesha hapa (comment) tuanzie kwako. Leta Research findings zako hapa ili tuweze kukusikiliza. Tofauti na hapo; U have no right to speak.
Sipo hapa kulazimisha mtu akubali kama kuna uchawi. Acha maisha yaendeleee.
 
Back
Top Bottom