TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
- Thread starter
-
- #181
Tumtangulize Mungu na tumtegemee yeye peke yake Mkuu!Usimtegemee binanamu mwenzio
Mungu anafanya kazi kupitia watu lakini, tukumbuke. Hainui mawe yakusaidie, anatuma watu.Usimtegemee binanamu mwenzio
Kwahiyo tuseme mungu nambio?Mungu anafanya kazi kupitia watu lakini, tukumbuke. Hainui mawe yakusaidie, anatuma watu.
Mungu=mungu?; nambio?Kwahiyo tuseme mungu nambio?
story yako ni nzuri ila inaiharibu mwenyewe, kwanza paragraph zenyewe fupi fupi tiu zenye sentesi mbili. pili kila unapokuja ulipoishia inarudia story zile zile za nyuma, kwani unakimbizwa???? huwezi kutulia ukaandika kitu kikaeleweka???>Endelea....
Tulikaa mlimani usiku wote tukingoja kuona mtego utakavyonasa hayo majini yaliyofukiwa huko kijijini Morogoro.
Baada ya mganga kumaliza kutega yeye alirudi kijijini akatuacha kule mlimani na wasaidizi wake yeye alirudi nyumbani kwake na kuahidi atarudi kabla hakujakucha kukamilisha zoezi.
Ilipofika asubuhi ya alfajiri ghafla tukaletewa repoti na mtu kutoka kijijini kwamba mganga amefariki dunia,yaani ilikuwa kama maigizo tukaona huyo mganga anataka kuleta mapicha picha hapa hakuna lolote wala si chochote itawezekanaje mtu atoke tu aende nyumbani harafu afariki huu ni utani.
Mi napajuaLete vitu Mzee, Hivi unapafahamu Mandela au Makuyu?
Huenda sio mfatiliaji mzuri, mbona hilo la paragraph fupifupi alishalitolea majibu kuwa sababu ni Nini.story yako ni nzuri ila inaiharibu mwenyewe, kwanza paragraph zenyewe fupi fupi tiu zenye sentesi mbili. pili kila unapokuja ulipoishia inarudia story zile zile za nyuma, kwani unakimbizwa???? huwezi kutulia ukaandika kitu kikaeleweka???>
Lete mambo haya andika kwa ziwe ndefuEndelea...
Dada anaadithia kwamba:
Baada ya kupata taarifa za msiba wa mganga pale mlimani ghafla kulizuka mzozano kati ya wasaidizi wa mganga na sisi kwamba wametutapeli na kutupotezea mda wetu baada ya kuona kazi imewashinda wanasingizia mganga kafa.Mabishano hayo yaliendelea kwa mda huku tukiendelea na safari ya kushuka kutoka mlimani kuelekea kijijini nyumbani kwa mganga.
Tulipofika nyumbani pale kijijini tulikuta kundi kubwa la wanakijiji wakiwa wameizunguka nyumba huku vilio vikiwa vimetawala.Tulikimbia moja kwa moja mpaka ndani chumba ambacho kimeweka maiti kiukweli sote tulipigwa na butwaa kuona mganga amelala macho akiwa ameyambua akiwa teyari amekwisha kata kauli.
Kiukweli kila mmoja wetu aliumia sana moyoni mwake kwani kilikuwa kifo cha ghafla sana ,cha mtu ambaye alikuwa ndio tumaini letu lililotufanya tosafiri toka Dar tuje Tanga kupata ufumbuzi wa tatizo letu.
Mara ghafla mzozo ukaanza miongoni mwa wana ndugu wakitushutumu kwamba sisi tukishirikiana na yule dada yake mganga wa Dar kumuua kwa kumroga mganga.
Kiukweli mzozano ulokiwa mkubwa sana mpaka ndugu wakaamulu maiti isizikwe mpaka hapo mwili utakapofanyiwa uchunguzina wazee wa ukoo kuchunguza tuhuma kwamba mganga alikufa kwa kurogwa au ni siku zake zilikuwa zimetimia.
Endelea...