Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Endelea....
Dada anadithia kwamba

Baada ya mganga kufa tukaamua kurudi dar es salaam kwa shemeji huku tukiwa hatuelew jins ya kufanya ndipo shemej akashaur turud kijijini

kwajil ya kutatua mgogoro ambao uliopo na kuchimbua vitu vilivyochimbwa kwenye kiwanja cha nyumbn na mm nikaamua kwenda kumloga yule alieniloga

siku moja nikaenda kwa bibi yangu nikamnasa vibao kwakuw yeye ndio muhusika wa yote

bhas baada ya kumnasa vibao ndugu zangu walinikimbiza sana yan wee acha tu kwakuw nilikuw nina mbio bhas hawakufanikiwa kunikamata kwa maan mm nilishawai kushiriki marathon kule japan 2002 nikaibuka kidedea

IMEKWISHA....

Pumbavu zako ww mtoa stor nmekumalizia stor yako naona unatukalisha kimandazi hapa na bandle limeshapanda shwaini ww
 
Inaendelea
Baada ya kumnasa vibao bibi yangu ambaye alikuwa anasemekana ndiye aliyenirogea uchawi wa bundi licha ya kukimbia mbio sana ndugu walinikimbiza sana hadi hadi kijiji kimoja kinaitwa Gezaulole,kata ya Mtakuja wilayani Kilosa.Dada ananisimulia kuwa kutokana na maeneo hayo kuwa na mto mkubwa sana unaotenganisha wilaya ya kilosa na Kigamboni mimi bila kujua hatari yoyote ambayo ingenitokea kwa sababu nilikuwa kama bundi basi niliamua kujitosa kwenye mto huo wenye maji yanayotembea kwa kasi tena kuna mamba wengi.Ndugu zangu walibaki vinywa wazi wasijue la kufanya.Baada ya kuwa nimejitosa kwenye maji kaka yangu mkubwa wa dada yangu aliamua kurudi kijijini kutengeza ngalawa ili angalau jioni aweze kurudi kuniokoa.itaendelea
 
[emoji23][emoji23][emoji23]tupe vitu mwanangu
 
umetisha mkuu .. [emoji23][emoji23]
 
Endelea....
Tulikaa mlimani usiku wote tukingoja kuona mtego utakavyonasa hayo majini yaliyofukiwa huko kijijini Morogoro.

Baada ya mganga kumaliza kutega yeye alirudi kijijini akatuacha kule mlimani na wasaidizi wake yeye alirudi nyumbani kwake na kuahidi atarudi kabla hakujakucha kukamilisha zoezi.

Ilipofika asubuhi ya alfajiri ghafla tukaletewa repoti na mtu kutoka kijijini kwamba mganga amefariki dunia,yaani ilikuwa kama maigizo tukaona huyo mganga anataka kuleta mapicha picha hapa hakuna lolote wala si chochote itawezekanaje mtu atoke tu aende nyumbani harafu afariki huu ni utani.
Makubwa haya, steering tena?
 
Endelea...
Dada anaadithia...
Tulipokea wito wa kuitwa serikali ya mtaa ,bila kusita tulifanya hivyo .

Mazungumzo yaliyojiri pale Serikali ya mtaa yalikuwa yanataka tulipe pesa tulizokuwa tumekopa kwa mzee Issa Shaibu ambazo tuliweka dhamana ya nyumba na endapo tutashindwa kufanya hivyo itabidi nyumba yetu uchukuliwe.

Siku zilienda ikafika siku tuliyo ahidi kulipa deni lakini hatukuweza kulipa hivyo ikaamuliwe kwamba mzee Issa Shaibu achukue nyumba yetu.

Dada anaeleza walipinga uamuzi huo ambao ulifanywa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa kipindi hicho ,baadaye walienda kufungua kesi mahakamani kupinga kuchukuliwa kwa nyumba yao.

Mzee Issa Shaibu alikuwa mfanyabiashara na mtu anaye jiweza kipesa kwa mtaani mtu ukikwama vipesa vidogo au hata kubwa ulikuwa unamuona huyu mzee kama una shamba ,kiwanja au nyumba unaweka kama dhamana anakukopesha ukishindwa kulipa ndio mali yako imekwenda .

Hakunaga mtu ambaye aliwahi kukopa harafu akafanikiwa kurejesha rejesho ,huyu mzee inasemekana alikuwa mchawi yaani anakukopesha pesa kidogo unaweka nyumba au kiwanja harafu anakuroga ushindwe kurudisha achukue mali yako.

Tuliporudi kutoka Tanga baada ya mganga kufariki ,mambo mengi ya shemeji yalivurugika sana biashara zilikufa maana Tangu waliponipokea walikuwa wanapoteza hela na muda mwingi sana kunihudumia hali hii ilipelekea wao kuteteleka kiuchumi .

Hivyo ilibidi wakope kiasi cha pesa ambacho kingeweza kusaidia katika matibabu ,kujikimu na kumuwezesha shemeji kufungua biashara nyingine.

Lakini kwa kipindi hicho kama ilikuwa mkosi kwa shemeji ,licha ya kukopa pesa nyingi kutoka kwa mzee Issa Shaibu za kufungua biashara kubwa kila mara msingi ulikuwa unakata yaani kama alikuwa na mkosi baada ya kurudi Tanga.

Tulikaa zaidi ya mwaka tukifuatilia kesi ya kupokonywa nyumba mahakamani.Huku shemeji akifuatilia mambo yake binafsi.

Hapa sasa familia ilikuwa kwenye wimbi la matatizo makubwa maana teyari tuna kesi mahakamani,shemeji mambo yake hayaendi na mimi ni mgonjwa kitandani.

Dada anaadithia kiukweli hakukuwa na kipindi kigumu kama hiki katika maisha yake.Ilibidi ss waanze kuangaika tena kwa waganga ili kusawazisha mambo maana kuna sehemu inaonyesha kama kuna mtu alitutupia mkosi kule kijijini baada ya kutushuku tumehusika na kifo cha mganga,na uenda ikawa mkosi huo ulikuwa mkubwa wenye lengo la kulipiza kisasi kwa kutuua hivyo nasi hatukuwa na budi kupambana kuondoa mkosi huo.

Endelea..
 
Endelea..
Dada anaadithia ..
Kipindi hiki tulishindwa kujua je tuanzie wapi ??tuanze kufuatilia matibabu yako kwa mganga??au tuanze kuondoa mkosi tuliotupiwa au tuanze kuroga kesi iliyopo mahakamani..??

Hatukuwa na jinsi ikabidi turudi kwa jirani yetu aliyetupeleka Tanga maana huyu sasa alikuwa kama ndugu ,hapo tulishauliana kwanza tuanze kuondoa mkosi ili ridhiki zifunguke tupate hela ambazo zitatuwezesha kutatua matatizo mengine.

Safari hii akatuelekeza kwa mganga mwengine naye ni fundi wa kuogopeka kama yule aliyekufa inasemekana huyu ni ndugu na yule aliyekufa.

Ila huyu wa sasa anaishi Tanga Handeni smsituni huko kunaitwa Kwa Baya kama sijakosea .

Lengo la kwenda kwa mganga huyu lilikuwa kwenda kuweka mambo sawa kwanzaa yaani kuondoa mkosi ,una weza kuona ni jambo jepesi sna lakini hakuna kitu kibaya kama mtu akikutupia mkosi.

Hapa kila kitu chako kinakuwa kinavurugika sio biashara,mipango,ajari,kesi n.k hivyo haaka sana mkosi inabidi uondolewe kabla ya kitu chochote.

Safari hii shemeji alienda peke yake mpaka kwa mganga alipofika akafanyiwa tiba akapewa dawa za kuoga za miti shamba za kutosha ambazo unachanganya na maji unapoenda kuoga kwa siku saba ,pia akapewa masharti kwamba pindi atakapomaliza kuoga achukue uchafu wote achanganye na majani ya dawa yaliyobaki wakati dawa inachemshwa aweke kwenye mfuko wa rambo harafu anyee kinyesi kwenye huo mfuko wa rambo wenye mchanganyiko wa mabaki ya dawa kisha anaenda kutupa njia panda.Ila kuna maneno ya kichawi alipashwa kusema kabla ajatupa ambayo ni "Mimo fulani bini fulani naondoa mikosi nuksi mabalaa katika mwili wangu yeyote atakaye kanyaga au kugusa fuko hili la mavi mikosi yangu yoye impate yeye,kisha anaondoka bila kutazama nyuma.

Baada ya kukamilisha zoezi safari hii mambo yalienda barabara ,baada ya mwezi mambo yakaanza kurudi katika ubora wake.

Hapa ikabaki changamoto ya kesi mahakamani .

Itaendelea..
(siku hizi halotel 1000/= sio GB moja ni 450MB)
 
Back
Top Bottom