Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulikuwa tunasikilizia upepo wa bando ila leo kama kawaida itaendelea maana walikuwa wananipa 200Mb kwa buku.Tuliambiwa kila siku saa5 anapost lakini hola mpaka sasa
UnazinguaTulikuwa tunasikilizia upepo wa bando ila leo kama kawaida itaendelea maana walikuwa wananipa 200Mb kwa buku.
Ila leo naona wameanza kuwasha mitambo maana tisiaraei wanasema itawachukua siku nne kuturudishia MB zetu.
Leo wamenipa 420MB kwa buku ,lazima tuuwashe moto.
Tumtimue!Unazingua
Rafiki unapenda simulizi kuliko urojo!😄😄😄Hazingui. Inaeleweka.
Tujitahidi kuwa waelewa.
Tulikuwa tunasikilizia upepo wa bando ila leo kama kawaida itaendelea maana walikuwa wananipa 200Mb kwa buku.Tuliambiwa kila siku saa5 anapost lakini hola mpaka sasa
Nimecheka hii ndio jf bans khaaaInaendelea
Baada ya kumnasa vibao bibi yangu ambaye alikuwa anasemekana ndiye aliyenirogea uchawi wa bundi licha ya kukimbia mbio sana ndugu walinikimbiza sana hadi hadi kijiji kimoja kinaitwa Gezaulole,kata ya Mtakuja wilayani Kilosa.Dada ananisimulia kuwa kutokana na maeneo hayo kuwa na mto mkubwa sana unaotenganisha wilaya ya kilosa na Kigamboni mimi bila kujua hatari yoyote ambayo ingenitokea kwa sababu nilikuwa kama bundi basi niliamua kujitosa kwenye mto huo wenye maji yanayotembea kwa kasi tena kuna mamba wengi.Ndugu zangu walibaki vinywa wazi wasijue la kufanya.Baada ya kuwa nimejitosa kwenye maji kaka yangu mkubwa wa dada yangu aliamua kurudi kijijini kutengeza ngalawa ili angalau jioni aweze kurudi kuniokoa.itaendelea
Hakuna chenye sura ambacho hakina kisogoBujibuji biashara yako inaingia doa huku.
🙏🙏🙏Hakuna chenye sura ambacho hakina kisogo