Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwali alikuwa na miaka 29Pia tumia muda kujipanga zaidi ili kutoka kiutu cha Uhakika zaidi.
Unaposema shughuli ilikuwa mwaka 1975 kwenye shughuli ya kumtoa Mwali ambaye alikuwa Dada yako na ambaye sasa ana miaka 75, ina maana wakati wa Shughuli yake ya 'Kumtoa Mwali' alikuwa na miaka 30!
Huyo alikuwa ni Mwali ama Mke wa MTU?
Jipange
Kwanini waleta story mara nyingi huwa wanasumbuliwa na simu au bando?Hata hvyo najitahidi maana simu yenyewe ya wife ,mtoto alidondosha simu kutoka kitandani mpk uvunguni ikavunjika binafsi natumia kitochi kwa ss kwa hiyo naweza nikaandika ghafla wife huyo utasikia naomba simu mara moja hapo inabdi nikatishe story si unajua wanawake boss.
😁siku hizi halotel 1000/= sio GB moja ni 450MB
Pengine hakuwa anajua matumizi ya male na female. Au kakosea kwa bahati mbaya.Ila we babu bwana. Ina maana umedanganya jinsia ulikua unatafuta nini sasa?View attachment 1747041
Endelea..
Tulitembea kama kilometa 30 kwa mguu kutoka kituoni mpaka anapoishi mtaaramu.
Tulilala siku moja kesho yake matibabu yalianza,hapo ilitubidi tukae mwezi mzima maana kuna dawa bado fundi hakuwa nazo alioteshwa usiku kwenda kuzichuma hizo dawa huko Mbarali ila sisi tuliwahi kufika tukakuta hizo dawa bado hajaenda kuzichuma .
Itaendelea...
Nami huwa najiuliza hili swaliKwanini waleta story mara nyingi huwa wanasumbuliwa na simu au bando?
Binadamu cc...hapana kwa kweli, kila kitu tabu, kumfurahisha mwanadamu ni kazi ngumu sana[emoji4]Nine ingia nika smille leo ume andika epsode ndefu kusona nusu story nzima una tumia kumuelezea mganga alaaah ..hujui ata kufupisha story. kutoa vitu visivyo kua na maana..
Inaendelea..Inaisha lini