Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

Unafoka kama vile unalipa... Hahaa ukiona chai au haikuvutii unaachana nayo
 

Mkui hapo mbona ID iliyojibu kiakili ni hiyo sayoda? Na the dreamer ame quote hiyo comment kwa kujibu kikawaida tu.

Bado hujatengeza hoja strong.

Jipange
 
Bhana eee sawa sisi tunataka story tu awe mtu mzima awe kaishi la saba shauri yake
Mbona tunakesha kuangalia ma series ya uongo kabisa unajua kabisa hii haiwezekani lakini tunatoa macho
 

Punguza mchecheto hii story bado haijaisha.
Maybe baada ya kupona shemeji alimrudisha shuleni.
Tusubiri mwendelezo.
 

Huko umeenda mbali sana, hata huu mwandiko na mpangilio wa tory sio wa darasa lasaba.

By the way kwenye story hakuna sehemu aliosema kaishia lasaba. Usimjaji mtu mapema hivo, tulia soma story bila kiswaswadu.

Mwisho tutajua kama ni chai au real.
 
Tuko tayari kukununulia simu taja namba yako hapa tukitumie pesa ya simu

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Fuatilia story bro maana ndio kwanza inaanza ,uenda maswali yako yote yakajibiwa kwenye episode zinazofuata
 
Sasa mbona huendelea na story, au ndio safari ya kutupeleka Telegram imeanza?
 

Mkuu naona kama una miksi sana mitaa ya Dar, jaribu kuliweka sawa hilo kadiri uandikavyo...

Pale juu umeandika habari za Keko Magurumbasi kuwa Kariakoo...

Baadaye tena umeandika miaka hiyo mji ulikuwa wafika hadi Mbagala, halafu Ubungo ilikuwa pori...(mmhhh!!)

Hapa tena naona waandika shule ya Zanaki kuwa mtaa wa India karibu na Hindu Mandal, wakati hii shule ipo Upanga na hospitali iliyo karibu ni ya Regency...

Kitu pekee cha karibu na hiyo shule kiitwacho Hindu Mandal ni zile flats za Kumbharwada ambazo zipo mtaa wa Olimpio ile barabara ambayo mbele inakutana na Bibi Titi Rd.
 
Magurumbasi kulikuwa na mtaa unaitwa kariakoo au kariakoo ndogo ni mtaa wa watu mafukara sana kulikuwaga na virabu vya pombe ya kienyeji vingi sana ndio maana paliitwa kariakoo kutokana na pilikapilika za hicho kitongoji.

Unaweza ukaulizia kwa wenyeji wa Dar km huo mtaa bado upo,maana ni miaka mingi sana.
 
Soma kwa umakini kupata utamu wa simulizi ,usisome kwa kutafuta makosa ya kiuandishi .Ni sawa na kumchunguza bata japo ni mtamu lakini ukimchunguza hautoweza kumla.
 
Soma kwa umakini kupata utamu wa simulizi ,usisome kwa kutafuta makosa ya kiuandishi .Ni sawa na kumchunguza bata japo ni mtamu lakini ukimchunguza hautoweza kumla.
Wewe endelea na stori yako mkuu...

Lakini sasa kwa wale wanaoifahamu Dar es Salaam miaka nenda rudi, hiyo mikanganyiko inakuwa inavuruga uhalisia...

Rekebisha hilo basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…