Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi huyo dada ana miaka kama 75, ina maana ametolewa mwali akiwa na miaka 30 [emoji849]. Kwa kawaida mwali wanatolewa na miaka 13-18
Halafu huu mtindo wa itaendelea mmeutoa wapi? Bongo movie?
Kuna yule jamaa wa "Visa Mikasa vya Kusaka Utajiri", hajaendelea mpaka leo ... Ni Chizi Maarifa sijui
Huyu jamaa anacheza na akili zenu, kwanza sio mzee, pili sio mjinga kama anavyo wahadithia kwamba hakumaliza darasa la saba, tatu hata jinsi anavyoandika anajikosesha makusudi kwenye baadhi ya maneno.
Hebu muangalie hapa akiwa anachangia mada kwa kutumia akili zake timamu bila kujifanya kichaa, halafu fananisha na anavyoandika kwenye huu uzi wake.View attachment 1736354
Bhana eee sawa sisi tunataka story tu awe mtu mzima awe kaishi la saba shauri yakeMzee baba, hatupo bungeni kulumbana lumbana. Kama akili zako zina charge vizuri, ukisoma kipengele alichoandika The Dreamer hapo chini kuuliza maswala ya recruitment, halafu ukafanya comparison na jinsi anavyoandika na kuwaaminisha watu humu kwenye hii story.
Majibu utakuwa nayo.
Mzee baba, hatupo bungeni kulumbana lumbana. Kama akili zako zina charge vizuri, ukisoma kipengele alichoandika The Dreamer hapo chini kuuliza maswala ya recruitment, halafu ukafanya comparison na jinsi anavyoandika na kuwaaminisha watu humu kwenye hii story.

Tuko tayari kukununulia simu taja namba yako hapa tukitumie pesa ya simuHata hvyo najitahidi maana simu yenyewe ya wife ,mtoto alidondosha simu kutoka kitandani mpk uvunguni ikavunjika binafsi natumia kitochi kwa ss kwa hiyo naweza nikaandika ghafla wife huyo utasikia naomba simu mara moja hapo inabdi nikatishe story si unajua wanawake boss.
Fuatilia story bro maana ndio kwanza inaanza ,uenda maswali yako yote yakajibiwa kwenye episode zinazofuataHuyu jamaa anacheza na akili zenu, kwanza sio mzee, pili sio mjinga kama anavyo wahadithia kwamba hakumaliza darasa la saba, tatu hata jinsi anavyoandika anajikosesha makusudi kwenye baadhi ya maneno.
Hebu muangalie hapa akiwa anachangia mada kwa kutumia akili zake timamu bila kujifanya kichaa, halafu fananisha na anavyoandika kwenye huu uzi wake.View attachment 1736354
Acha kujibu wapuuzi shusha vitu, alosto itapoteaFuatilia story bro maana ndio kwanza inaanza ,uenda maswali yako yote yakajibiwa kwenye episode zinazofuata
Endelea...
Walivyonifikisha Dar shemeji na dada hawakukawia walikaa siku mbili maandalizi yakafanyika nikapelekwa hospital ya binafsi maarufu kama Hindu Mandal ,siku hizi mmezoea kuiita Shree Hindu Mandal hospital maarufu sana kwa kipindi hicho katika jiji la Dar Es Salaam .
Endelea..
Sina kumbukumbu sahihi kwa kipindi hicho maana sasa hivi jiji limejengeka sana nasikia mpaka kuna barabara zinazopisha juu kwa juu,enzi hizo barabara nyingi zilikuwa vumbi hata kariakoo nyumba nyingi zilikuwa za udongo hakukuwa na maghorofa kama kipindi hiki lakini nafikiri hospital hii ilikuwa karibu na mtaa wa India kama unaenda shule ya Zanaki.
Magurumbasi kulikuwa na mtaa unaitwa kariakoo au kariakoo ndogo ni mtaa wa watu mafukara sana kulikuwaga na virabu vya pombe ya kienyeji vingi sana ndio maana paliitwa kariakoo kutokana na pilikapilika za hicho kitongoji.Mkuu naona kama una miksi sana mitaa ya Dar, jaribu kuliweka sawa hilo kadiri uandikavyo...
Pale juu umeandika habari za Keko Magurumbasi kuwa Kariakoo...
Baadaye tena umeandika miaka hiyo mji ulikuwa wafika hadi Mbagala, halafu Ubungo ilikuwa pori...(mmhhh!!)
Hapa tena naona waandika shule ya Zanaki kuwa mtaa wa India karibu na Hindu Mandal, wakati hii shule ipo Upanga na hospitali iliyo karibu ni ya Regency...
Kitu pekee cha karibu na hiyo shule kiitwacho Hindu Mandal ni zile flats za Kumbharwada ambazo zipo mtaa wa Olimpio ile barabara ambayo mbele inakutana na Bibi Titi Rd.
Soma kwa umakini kupata utamu wa simulizi ,usisome kwa kutafuta makosa ya kiuandishi .Ni sawa na kumchunguza bata japo ni mtamu lakini ukimchunguza hautoweza kumla.Mkuu naona kama una miksi sana mitaa ya Dar, jaribu kuliweka sawa hilo kadiri uandikavyo...
Pale juu umeandika habari za Keko Magurumbasi kuwa Kariakoo...
Baadaye tena umeandika miaka hiyo mji ulikuwa wafika hadi Mbagala, halafu Ubungo ilikuwa pori...(mmhhh!!)
Hapa tena naona waandika shule ya Zanaki kuwa mtaa wa India karibu na Hindu Mandal, wakati hii shule ipo Upanga na hospitali iliyo karibu ni ya Regency...
Kitu pekee cha karibu na hiyo shule kiitwacho Hindu Mandal ni zile flats za Kumbharwada ambazo zipo mtaa wa Olimpio ile barabara ambayo mbele inakutana na Bibi Titi Rd.
Wewe endelea na stori yako mkuu...Soma kwa umakini kupata utamu wa simulizi ,usisome kwa kutafuta makosa ya kiuandishi .Ni sawa na kumchunguza bata japo ni mtamu lakini ukimchunguza hautoweza kumla.