Jinsi nimwonavyo NILHAM RASHED . . . .

Jinsi nimwonavyo NILHAM RASHED . . . .

usjali kaka. niliwahi kuongea hapa kwamba magreti thinkaz tupo wachache na wewe sasa umeingia kwenye list. wengi wao hawakukuelewa. dah! u r a genius mkuu

Ndio maana nasemaga siku zote hapa
Kuna watu kwa busara zao tu, hata wakikuripoti ABYUZI haisaidii
Busara zako hadi Invisible anazijua
:clap2:
 
Kuna heshima za aina mbili ktk uhusiano
1/ Heshima unayoweza kumpa mtu ambaye ni mzazi wako, dada/kaka yako, au ndugu yako/jirani yako yeyote. Hao unakuwa nao ktk uhusiano wa UPENDO
2/ Heshima unayoweza kumpa mtu ambaye ni mwenzi wako. Huyo unakuwa nae KIMAPENZI, KIUPENDO, KIURAFIKI na uhusiano wowote ule ulio mwema

3/Heshima ya mtu alie juu sanaaa, ambako huwezi kufika!!!!!!!!!!
 
i love you too my brother as u do may allah protect us inshallah..kula pop hizo nimekuletea kutoka huuko nimekula nikaona nikuekee na wewe nikuleteee nyumbani heheeheh..
she is my lovely sister . . . . .
I love her
i love you my lovely sister nilham
 
i love you too my brother as u do may allah protect us inshallah..kula pop hizo nimekuletea kutoka huuko nimekula nikaona nikuekee na wewe nikuleteee nyumbani heheeheh..

Subal khair mpenzi?.................................
 
Hapa napata picha mr.shossi nawe unalako jambo kwa nilham kuna kitu unataka toka kwa nilham ila kwavile wewe nimalenga hupitii main road unapita kichochoroni ili wale wasio na weledi katika kiswahili wasikugundue dhamirayako,
 
Nyumbani anafaa, hana haja ya taa
Kila kitu anafaa, sio vyote hukataa
Karata nampa shwufaa, mizungu kukataa
Kweli binti kaumbika, hapo sina ubishi.
 
Back
Top Bottom