Jinsi Ninavyopambana na Gharama za Usafi wa Nyumba na Mwili

Tuwekee na gharama ya kiasi cha pesa unachotumia kwenye manunuzi ya hivyo vifaa vya usafi kwa wastani wa siku au wiki.
 
Ndio namaliza muda huu kusafisha maliwato yangu na nimetumia dakika 30,dakika 10 ni kuyaacha madawa na sabuni yanyonye uchafu sakafu na masinki na vyoo na dakika 20 ni kusugua,kusafisha na kukausha.Pametakata na sote mie na mke wangu tumefurahi.Yeye anajiandaa kwenda job mimi leo na darasa la tution.Sasa kuna kuna kitu sikukueleza kwenye maandishi ya yangu ya awali juu ya somo hili,nacho ni:
Usafi wa masikio
Natilia mkazo sana usafinwa masikio na huu siwezi kuufanya mimi ni lazima nimpe mke wangu,aufanye,anatumia earbuds ambazo huichovya kwenye spirit na kusafisha uchafu fulani hivi ambao hutokea kwenye masikio na akimaliza,kuchukua mkasi na kutoa nywele zinazoota kwenye masikio na huwa anatumia mashine fulani hivi,ambayo huja kwenye set,unanyoa ndevu,sharubu na nywele za kwenye pua na masikio,baada ya hapo ndio naoga,navaa na kuangalia kazi za siku
 
Usafi uwe kwa kiasi, maana muda unaotumika kwenye usafi usizidi ule wa mambo mengine, kila jambo kwenye routine zetu tulipe muda......
 
Hongera sana kwa usafi. Ni kinga thabiti ya magonjwa mengi, hususan ya tumbo, ngozi na UTI
 
Unaijua kazi ya hivyo vinywele unavyovitoa ndani ya pua? Kwa kuvinyoa mzee wangu
 
Nywele za pua na masikio zina kazi maalum.

Nywele za pua ni kusafisha hewa unayovuta
Nywele masikio ni kunasa vumbi na wadudu watakao ingia masikioni

Kamasi na Nta za masikio vyote vipo kwa ajili ya kazi maalum uvitoe kwa kiasi
 
Hahah aisee sijawahi kuwa busy na maisha kiasi hiko.

Hongera mzee wetu mstaafu maisha ni kuchagua na wewe umechagua fungu lako uliloliona jema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…