Jinsi Ninavyopambana na Gharama za Usafi wa Nyumba na Mwili

Hongera sana. Hivyo viwango vya usafi ni vya hali ya juu. Kuna maarifa nimeongeza hapa.
Je, unaweza kutudokeza kuhusu uvaaji wako, mafuta unayojipaka na manukato unayojipulizia?
 
Natumia dedorant za kupulizia aina 2,ambazo ni old spice na brut,pia natumia roll on zake,pafyumu nayotumia ni one man,ambavyo sio ghali sana show,japo mara nyingi natumiwa na wanangu ambao wanaishi nje ya nchi.Kuhusu mavazi nikiwa nyumbani navaa tshirts na kaptura au track suit tu,ambazo hutumia uzi kutaitibkiunoni,sivainkabisa nguo zinazotumia mkanda,na viatu ni sandals,napotoka kwenda maybe pub,pia navaa kaptura na suruali ambazo zina tumia mkanda,tshirts na rana na soksi fupi,napoenda kufundisha au kwa mtoko maalumu navaa suruali,mashati ya mikono mifupi au mirefu,suruali ama zq cadets au za vitambaa ambazo ni specials,na viatu vya ngozi,hivyo vitu vyote ama huvinunua napokuwa safari nje ya nchi kutembelea wayoto ama wao wananitumia,suti pia navaa sana na zipo nazisonesha hapa mwanza au dar na mara nyingi huwa namfuatilia sana yule jamaa kwenye tiktok rhodes ndie role model wangu kwenye kuvaa
 
Asante sana kwa ushirikiano wako. Sisi wastaafu watarajiwa tunajifunza mengi kutoka kwenu mliotutangulia.
 
Tumekujua ila uho ni ufahari wa jf ila tukija haoo choo ni cha kulenga
 
Asante sana kwa ushirikiano wako. Sisi wastaafu watarajiwa tunajifunza mengi kutoka kwenu mliotutangulia.
unajua rafiki,mimi ni zao la tamaduni mbili,mama yangu ambae ni marehemu alikuwa mtanzania ila baba ambae nae ni marehemu alitokea nchi moja ya ulaya magharibu,sasa tamaduni zote mbili mimi ziliniathiri,na usafi nimerithi kwa mama ingawa attention to details on any matter,nimerithi kwa baba
 
Wana bodi najua wengine mnafanya mzaha,wengine hamuelewi mnaandika nini,lakini ukweli ni kwamba huo ndio uhalisia wangu,na nina furaha jinsi nilivyo,na wmotional intelligence yangu ni kubwa sana naweza kuhimili,matusi,kejeli,karaha na vituko vya kila aina
 
Mstaafu limbukeni ngoja yaishe hayo maokoto utaacha kuleta thread zisizo na kichwa wala miguu..
 
Bwana fimbo Mimi nina kuamini Wala usiniweke kwenye kundi la wasiokuamini.
 
Mstaafu limbukeni ngoja yaishe hayo maokoto utaacha kuleta thread zisizo na kichwa wala miguu..
dua la kuku,au tamaa ya fisi akiusubiri mkono wa binadamu,subiri sana ukichoka nenda ukajambe mbele ya safari
 
Back
Top Bottom