Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Sasa kwenye hili hao chadema wameingiaje? Kahojiwa na Takukuru ya Chadema? Kakamatwa na polisi wa chadema? Kafikishwa mahakama ya chadema? Au hata Kisongo ni gereza la chadema?
Itakuwa hata wale Manyapara aliotaka kumuogesha ni Chadema
 
Acha propaganda Leta balance report tuelewe mkuu. Kama hana kosa atarudi home kama Kuna kosa sheria itachukua mkondo wake nakuhakikishia yupo Salama na kaamka na amepiga mswaki na kupata breakfast kama watu wengine
Nani ataweza kuthibitisha bila shaka hizi tuhuma?
Kweli maisha yanaenda kwa kasi ya 5g
Yaani eti mataga leo wamekua ni watu wa kuilaumu takukuru na mahakama kua hazitendi haki!!?
 
Acha genye, Chadema hawana jeshi, hawana serikali, hawana chochote zaidi ya kujaaliwa akili nzuri na Mungu, unawezaje kusema Ujinga kama huo wewe mbuzi??
We kahaba tokea lini una akili timamu?
 
Ameshitakiwa na chadema au serikali?
 
Kuna muda mkimbiwa hamna akili mnaona mnatukanwa, sasa haya maswali uliyouliza umejipa muda kuuliza kuwa hao watu hawajawahi kuripoti hayo matendo?
Hizo shutuma zilizopelekea Sabaya kunaswa zilipelekwa kwa nani kama sio huko polisi?
Kwa taarifa yako matukio yote yaliripotiwa kwenye mamlaka husika ila wao ndio waliyakalia kimya na huwezi kuwalazimisha Polisi wakamkamate Sabaya kama wao wenyewe hawataki. Halafu nyinyi wajinga mjifunze kuwa Jinai haina kikomo, na hao wanaomtuhumu hawawezi kuulizwa maswali ya kijinga kama hayo kwani wakitoa ushahidi wa kutishiwa maisha yao kama watajaribu kusema popote?
 
We kahaba tokea lini una akili timamu?
Hahahaha Kahaba tena? Sina akili timamu ndio maana Namtetea Sabaya! Mwendawazimu tu kama wewe ndio atamtetea huyo muuwaji, saa hizi Anakula lunch akaoge kisha apakwe mafuta
 
Unamatatizo

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Basi yawezakuwa mnufaika wa matendo yake,au moja ya waliokuwa bounsers.
 
Nasikia kakataa kuoga, vichaa wanataka kupima oil 😉

Chanzo mwananchi:
"Hizi taarifa kuwa amepigwa na mahabusu wenzake baada ya kukataa kuoga sio za kweli, "amesema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…