Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

moja ya Vclip ina onesha 7baya na mlinzi wake waki mshambulia mfanyabiashara kwenye duka lake hiyo nayo una ifafanua vipi mtoa uzi?
 
moja ya Vclip ina onesha 7baya na mlinzi wake waki mshambulia mfanyabiashara kwenye duka lake hiyo nayo una ifafanua vipi mtoa uzi?
Tuwekee hapa tuione.
 
Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.

Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.

Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?

My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Hivi una akili timamu kweli.
 
Kwaiyo ushaidi wa shaidi mmoja ndio unahamua case? na unajuaje Kama huo Ushaidi alioutoa hauna nguvu? Wakati Wana kielelezo pia Cha picha za CCTV,

Mkuu, Sabaya anakwenda jela miaka 15, itunze hii comment yangu itakuja kukusaidia kwa 100%
Mleta mada ni kichaa labda haelew maana ya CCTV camera[emoji3]
 
Nadhani tungeiachia Mahakama ifanye kazi yake! Tusiisemee wala tusiisaidie.
 
Kwanini waingie dukani kujitambulisha wao ni maofisa kutoka serikalini

Kwani dukani ni sehemu ya utambulisho au ya biashara ?
 
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Kuna mbwa moja tu alionekana akimwaga machozi mazito kwa kutojua atapata wapi chakula baada ya kuondokewa na bwanake naye ni huyu hapa!

Hebu shuhudia mwenyewe hiki kilio kama ni cha kawaida!

sabaya.png

Idugunde, hebu nitafutie picha ya mteule yeyote mwingine wa mwendakuzimu aliyemwaga machozi kama huyu jambazi!​
 
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'

Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?

Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.

Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.

My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
Polisi ipi???polisiccm??
 
Sabaya mwenyewe kashapigwa mimba Jela Kisongo,What Goes Around Comes Around,alitutesa sana yule SHOGA hapa Arusha,kweli Maisha haya hakuna aijuaye kesho, yaani saa Tatu hii Sabaya ameshalala tena kwa filimbi
 
Hakuna kitu kibaya kama kupambana na mtu asiye adui yako. CHADEMA inaingiaje katika ishu ya Sabaya?

Aliyeagiza uchunguzi ni Mwenyekiti wa CCM, aliyemsimamisha kazi ni mwenyekiti wa CCM, aliyemuhoji ni TAKUKURU, organ ya Serikali inayoongozwa na CCM, aliyemshtaki ni DPP aliyechaguliwa na mwenyekiti wa CCM sasa CHADEMA inaingia wapi hapa we jamaa.

Kipindi hiki mngetumia sala zenu na nguvu zenu kujisafisha kuliko kupambana na CHADEMA.
ILA MNAOSHANGILIA CHADEMA- NI DHAMBI KUFURAHIA NA KULA JASHO LA WENZAKO
 
Back
Top Bottom