Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi una akili timamu kweli.Nimefuatilia kwa ukaribu jinsi shahidi wa kwanza katika kesi inayomkabili Ole Sabaya, askari mwavuri aliyecheza na Mbowe mpaka akapotea kwenye siasa za wilaya Hai.
Shahidi anadai alipigiwa simu na ndugu zake kuwa Sabaya na wenzake waliingia dukani na kujitambulisha kuwa ni maafisa wa Serikali, shahidi huyo pia anadai aliogopa kwenda dukani baada ya kusikia Sabaya na wenzake wapo dukani. Kwa hiyo ushahidi wake ni kusikia sio wa kuona.
Premafacie evidence inaonyesha kuna mchezo mbaya Ole Sabaya kafanyiwa. Maana ni jambazi gani mwenye siraha ya moto anayeweza kujitambulisha?
My take: Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Mleta mada ni kichaa labda haelew maana ya CCTV camera[emoji3]Kwaiyo ushaidi wa shaidi mmoja ndio unahamua case? na unajuaje Kama huo Ushaidi alioutoa hauna nguvu? Wakati Wana kielelezo pia Cha picha za CCTV,
Mkuu, Sabaya anakwenda jela miaka 15, itunze hii comment yangu itakuja kukusaidia kwa 100%
Sabaya nani kakupa simu sero?
Jambazi poraji linalojiamini, na kutegemea kinga toka juu, hua linajitambulisha!Aliporaje? Mporaji huwa anajitambulisha?
Kuna mbwa moja tu alionekana akimwaga machozi mazito kwa kutojua atapata wapi chakula baada ya kuondokewa na bwanake naye ni huyu hapa!Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Polisi ipi???polisiccm??Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili'
Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa alipigwa biti ili amapatie Sabaya mil 90. Ilikuwa ni mazingira gani mpaka analazimishwa kwa nini hakufungua malalamiko polisi mpaka wanaharakati wa twita ndio wakaweka mbinyo?
Pia wanaodai kuwa waliteswa na kupigwa na Sabaya walikuwa wapi kufungua malalamiko polisi? Hakuna ushahidi wa wazi kuwa walimuona kwa macho yao akwatembezea mateso na kichapo zaidi ya Ansbert Ngurumo anayetumiwa na Chadema kupakaza hizi tuhuma.
Unyag'anyi wa kutumia siraha ni moja ya makosa makubwa kabisa. Jeshi la polisi lilikuwa wapi kumkamata mtuhumiwa maana alikuwa akihatarisha maisha ya watu.
My take: Chadema ni chama cha wakora na mafisadi ukipambana nao wakishindwa kukuua kama Chacha Wangwe wanakufanyia njama mbaya
ILA MNAOSHANGILIA CHADEMA- NI DHAMBI KUFURAHIA NA KULA JASHO LA WENZAKOHakuna kitu kibaya kama kupambana na mtu asiye adui yako. CHADEMA inaingiaje katika ishu ya Sabaya?
Aliyeagiza uchunguzi ni Mwenyekiti wa CCM, aliyemsimamisha kazi ni mwenyekiti wa CCM, aliyemuhoji ni TAKUKURU, organ ya Serikali inayoongozwa na CCM, aliyemshtaki ni DPP aliyechaguliwa na mwenyekiti wa CCM sasa CHADEMA inaingia wapi hapa we jamaa.
Kipindi hiki mngetumia sala zenu na nguvu zenu kujisafisha kuliko kupambana na CHADEMA.