Baada ya dikteta kutolewa umma ulipata matakwa yao?Duh,
Ni matokeo ya dikteta kutokubali matakwa ya umma
Kwahiyo unataka watu waogope kuendelea kidai haki zao hapa Tanzania ili dikteta Samia aendelee kuteka watu? No way! Usitutishe! Tarehe 9D ni Bora tukose wote!Baada ya dikteta kutolewa umma ulipata matakwa yao?
Dikteta akisubiri kutolewa kwa kuliwa kichwa ndo husababisha yote hayo. Inafaa madikteta ya Afrika yajifunze kuheshimu matakwa ya ummaBaada ya dikteta kutolewa umma ulipata matakwa yao?
Ungeishi UAE/UK/Saudi bado ungetaka kumpindua mfalme kisa hukumweka?Kwahiyo unataka watu waogope kuendelea kidai haki zao hapa Tanzania ili dikteta Samia aendelee kuteka watu? No way! Usitutishe! Tarehe 9D ni Bora tukose wote!
Unaamini kwenye huu ujinga kwa Libya kweli???Duh,
Ni matokeo ya dikteta kutokubali matakwa ya umma
Ninyi mnakula fedha za Kodi zetu kwa wizi bila jasho, halafu sisi unatushauri tupambane. Mbona wewe hupambani, unaiba fedha za umma? Tarehe 9D utatutambua.Ungeishi UAE/UK/Saudi bado ungetaka kumpindua mfalme kisa hukumweka?
Kama jibu ni hapana basi shida sio aina ya kiongozi bali yale yatakaokupa maisha bora ndio unataka.
Pambana kijana hakuna mwanasiasa anakuja kubadili maisha yako
sawaWalianza na kauli moja. Tunaingiza vikosi kulinda wananchi wasionewe na kuumizwa na serikali yao.
Hapa ndipo walipo December hii.
View attachment 3511331
Kwa hiyo wewe unaijua Libya kuliko Walibya wenyewe?Unaamini kwenye huu ujinga kwa Libya kweli???
Ni kweli kabisa vipi kuhusu kutekana kuliko kithiri,mauaji ya kinyama,ubakaji na ulawiti? Vyombo vya dola kandamizi hapo inakuaje hapoPambana kijana hakuna mwanasiasa anakuja kubadili maisha yako
Umeisikiliza au kuangalia hiyo video kwanza au nabishana na mpuuzi flani anae save data.Kwa hiyo wewe unaijua Libya kuliko Walibya wenyewe?
Watapata tu inshallah hata kama sio leo keshoBaada ya dikteta kutolewa umma ulipata matakwa yao?
Wewe ni mbwa na mpumbavu.... unafananisha maisha ya wazawa wa UAE na Tanzania???Ungeishi UAE/UK/Saudi bado ungetaka kumpindua mfalme kisa hukumweka?
Kama jibu ni hapana basi shida sio aina ya kiongozi bali yale yatakaokupa maisha bora ndio unataka.
Pambana kijana hakuna mwanasiasa anakuja kubadili maisha yako
Huyo jamaa mleta mada ni hamnazo. Uwezo wake wakufikiri umefungwa na giza la ujinga, uoga au uchawa.Wewe ni mbwa na mpumbavu.... unafananisha maisha ya wazawa wa UAE na Tanzania???
China tu hapo hakuna uhuru wala nini, lakini namna wachina wanaishi na namna serikali yao inapambania maisha bora kwa wananchi, unadhani hao wachina wanawaza hata kuandamana????
Wapumbavu kama nyie ndo mtaji wa majambazi ya CCM, miaka 60+ ya uhuru nchi inarudi nyuma badala ya kwenda mbele mnataka watu wakae kimya.
Unajua kuna zaidi ya vijana na watoto milioni 30 ambao miaka michache ijayo wanakua watu wazima, mnataka hao wote wawe boda boda na mawinga????
Mbwa wewe na akili yako nukta.
Mfalme anateka na kuuwa raia wake?Ungeishi UAE/UK/Saudi bado ungetaka kumpindua mfalme kisa hukumweka?
Kama jibu ni hapana basi shida sio aina ya kiongozi bali yale yatakaokupa maisha bora ndio unataka.
Pambana kijana hakuna mwanasiasa anakuja kubadili maisha yako