Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

Jinsi panya wanavyofundishwa kugundua mabomu SUA Morogoro kitengo cha APOPO

Asante sana mkuu mbona mengi tu mabomu ya kutega ardhini nenda Iraq, Syria na nchi ambazo ziko katika vita watakwambia huwa wanayaita mines
 
Da wabongo hutusomi kabisa na kuelewa thread mleta Mada wala hajazungumzia panya kutegua mabomu Bali Hawa panya hunusa tu nakubaini mabomu yalipo kisha binadamu huja kutegua simple
 
Back
Top Bottom