kanonb JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 391 Reaction score 328 Jun 5, 2017 #161 Asante sana mkuu mbona mengi tu mabomu ya kutega ardhini nenda Iraq, Syria na nchi ambazo ziko katika vita watakwambia huwa wanayaita mines
Asante sana mkuu mbona mengi tu mabomu ya kutega ardhini nenda Iraq, Syria na nchi ambazo ziko katika vita watakwambia huwa wanayaita mines
Old - Hand JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 2,042 Reaction score 1,917 Jun 7, 2017 #162 Mdimu
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 Jun 9, 2017 #163 Askari Muoga said: sidhani wabuni vitu vingine kama kugundua madawa ya kulevya Click to expand... mbona ipo hiyo mkuu, mbwa wapo waliofundishwa kugundua madawa ya kulevya ya aina mbalimbali
Askari Muoga said: sidhani wabuni vitu vingine kama kugundua madawa ya kulevya Click to expand... mbona ipo hiyo mkuu, mbwa wapo waliofundishwa kugundua madawa ya kulevya ya aina mbalimbali
Askari Muoga JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 6,113 Reaction score 4,658 Jun 10, 2017 #164 ISLETS said: mbona ipo hiyo mkuu, mbwa wapo waliofundishwa kugundua madawa ya kulevya ya aina mbalimbali Click to expand... mbwa ndio panya kwani
ISLETS said: mbona ipo hiyo mkuu, mbwa wapo waliofundishwa kugundua madawa ya kulevya ya aina mbalimbali Click to expand... mbwa ndio panya kwani
PAPA OBAMA JF-Expert Member Joined Dec 27, 2013 Posts 204 Reaction score 86 Jun 10, 2017 #165 Da wabongo hutusomi kabisa na kuelewa thread mleta Mada wala hajazungumzia panya kutegua mabomu Bali Hawa panya hunusa tu nakubaini mabomu yalipo kisha binadamu huja kutegua simple
Da wabongo hutusomi kabisa na kuelewa thread mleta Mada wala hajazungumzia panya kutegua mabomu Bali Hawa panya hunusa tu nakubaini mabomu yalipo kisha binadamu huja kutegua simple