DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 12,846
- 28,106
Ilikua ni safari ndefu sana ya kutoboa mikoa kibao kutoka mbeya hadi mwanza. Hua naombea at least nikae na Binti mzuri mrembo kuifanya safari iwe fupi.
It was quite boring, na nilikua disappointed baada ya kuona mzee mmoja ndiye amekaa pembeni yangu. Nikaona isiwe kesi Wacha safari ianze tumefika kituo kingine akapanda Binti mmoja pisi kweli kweli alisogea hadi tulipokaa huku akisoma ticket yake mara mbili asiamini kwamba mzee amekaa kwenye sit yake.
"Eti samahani kaka hii si ndo sit namba j2?" Nikamjibu nadhani maana mimi yangu ni j1. Basi yule mzee ikabidi aangalie vema tiketi yake zote zilisomeja j2 hivyo baada ya kumwelewesha konda yule mzee Kwa busara alikubali kubadili seat😁😁
Apo moyoni nikasema ewaaa mambo SI ndo haya. "Samahan kaka naomba nikae siti yako ya dirishani". Akiongea nami nikaona Haina noma mbona aikatai. Nikampisha akakaa.
Ila toka alivokaa Binti ni hasemi chochote, mda ote anaongea tu na simu🤣🤣
Simu yenyewe iphone six plain ambazo ni tunazijua zile ni pasi zenyen logo ya epo. Kutoka mbeya mpaka mafinga simu tayari Ina 30% akaanza kujisemesha semesha. Simu zingine bana yaani haikai chajii Wala Nini🤣🤣
Apo mimi namchora tu
Nikamjibu "iphone ni pasi " afu nikacheka. Hebu nipate lunch ntakuja kumalizia