Jinsi power bank ilivonipea utelezi

Jinsi power bank ilivonipea utelezi

Huo ndo ukawa mwanzo wa mazungumzo, na safari yangu ilianzia hapo maana Binti alikua anacheka cheka tu, kitu hara akichekeshi😃😃
Mara singida hii apa mara tabora mda ukawa umekwenda sana abiria tuliambiwa safari itaanza saa 11 alfajiri hivyo wenye kulala kwenye gari haya na wenye kulala guest house haya.
Option ilikua ni kwenda guest house.
Kiukweli Binti alikua mtulivu aliniskiza Kila ninachoongea tulienda ku book room na tukalala😁😁
Sema mtoto mtundu yule😍😋😋
Alafu papuchi yake kama champagne ukitikisa tu imooo😋😋
Nikamuuliza anakwenda mwanza kuifanya nn?
Akanambia anaenda kuripoti chuo Cha sauti.
Nikasema freshii hata mimi Nimeomba likizo naenda vacation nitakupa hapo Kwa wiki nzima nikizurura hapa na pale.
Akasema poa kama atafanikiwa ishu zake za kuripoti chuo tutakuja pamoja Kwa Hilo week😋😋
Nikamwambia freshii.
asubuhi tukapeana Cha asubuhi na kurudi kwenye gari.
Stori za hapa na pale mpaka tukafika mwanza tukatafuta room per week
binti akaripoti chuo , nili enjoy kampani yake sana😋😋😋
Mpaka Leo ndiye shemeji yenu
Aisee mna watoto wangapi sasa!?
Badili kichwa cha habari andika Jinsi nilivyokutana na mke wangu. Alafu unainvite wengine wafunguke pia jinsi walivyokutana na wenza wao
 
Huo ndo ukawa mwanzo wa mazungumzo, na safari yangu ilianzia hapo maana Binti alikua anacheka cheka tu, kitu hara akichekeshi[emoji2][emoji2]
Mara singida hii apa mara tabora mda ukawa umekwenda sana abiria tuliambiwa safari itaanza saa 11 alfajiri hivyo wenye kulala kwenye gari haya na wenye kulala guest house haya.
Option ilikua ni kwenda guest house.
Kiukweli Binti alikua mtulivu aliniskiza Kila ninachoongea tulienda ku book room na tukalala[emoji16][emoji16]
Sema mtoto mtundu yule[emoji7][emoji39][emoji39]
Alafu papuchi yake kama champagne ukitikisa tu imooo[emoji39][emoji39]
Nikamuuliza anakwenda mwanza kuifanya nn?
Akanambia anaenda kuripoti chuo Cha sauti.
Nikasema freshii hata mimi Nimeomba likizo naenda vacation nitakupa hapo Kwa wiki nzima nikizurura hapa na pale.
Akasema poa kama atafanikiwa ishu zake za kuripoti chuo tutakuja pamoja Kwa Hilo week[emoji39][emoji39]
Nikamwambia freshii.
asubuhi tukapeana Cha asubuhi na kurudi kwenye gari.
Stori za hapa na pale mpaka tukafika mwanza tukatafuta room per week
binti akaripoti chuo , nili enjoy kampani yake sana[emoji39][emoji39][emoji39]
Mpaka Leo ndiye shemeji yenu

Kaka kuna gono sikuiz limepamba moto nakushauri acha kula vyakula vya kuokota njiani
 
Nipo makini Sanaa baada ya kukutana nacho
Ila nakupa tahadhar kwa wengine
 
Mpaka Leo ndiye shemeji yenu
Hivi ulikuja kumuoa yule dada? Tulikuwa wote hiyo safari. Nilikuwa siti ya mbele yenu nawasikiliza mnavychombezana. Halafu namfahamu sana yule dada, changu sana yule mtoto, yaani hakuwa mvivu kabisaa kutoa. Chips dume tu anakupa, wala hukuwa na haja ya kununua kuku!

Natumaini hutazaa mtoto akaiga tabia za mama yake
 
Hivi kumbe wewe ndo yule mzee ulokaa kwenye siti ya shemeji yako?🤔
Asante sana, maana bila wewe na busara zako nisingepata mke🙏🙏🤣🤣
 
Wewe si umeambiwa usirudi?

Kwanini una kichwa kigumu kuelewa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji2223][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
 
Back
Top Bottom