Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili yangu inagoma kabisa kuiamini hii Paragraph..Huo ndo ukawa mwanzo wa mazungumzo, na safari yangu ilianzia hapo maana Binti alikua anacheka cheka tu, kitu hara akichekeshi😃😃
Mara singida hii apa mara tabora mda ukawa umekwenda sana abiria tuliambiwa safari itaanza saa 11 alfajiri hivyo wenye kulala kwenye gari haya na wenye kulala guest house haya.
Option ilikua ni kwenda guest house.
Kiukweli Binti alikua mtulivu aliniskiza Kila ninachoongea tulienda ku book room na tukalala😁😁
Sema mtoto mtundu yule😍😋😋
Alafu papuchi yake kama champagne ukitikisa tu imooo😋😋
Nikamuuliza anakwenda mwanza kuifanya nn?
Akanambia anaenda kuripoti chuo Cha sauti.
Nikasema freshii hata mimi Nimeomba likizo naenda vacation nitakupa hapo Kwa wiki nzima nikizurura hapa na pale.
Akasema poa kama atafanikiwa ishu zake za kuripoti chuo tutakuja pamoja Kwa Hilo week😋😋
Nikamwambia freshii.
asubuhi tukapeana Cha asubuhi na kurudi kwenye gari.
Stori za hapa na pale mpaka tukafika mwanza tukatafuta room per week
binti akaripoti chuo , nili enjoy kampani yake sana😋😋😋
Mpaka Leo ndiye shemeji yenu
Mkumbushe pia kwamba,Kila mke ni cheap inategemea na gia yako
Nakazia hapa[emoji4]Aisee mna watoto wangapi sasa!?
Badili kichwa cha habari andika Jinsi nilivyokutana na mke wangu. Alafu unainvite wengine wafunguke pia jinsi walivyokutana na wenza wao
Ila wewe Mkuu Santos kamba sana. Basi za Mbeya - Mwanza hata siku moja hazipiti Iringa, Singida sijui, zinakatisha hii njia ya kupitia Chunya! Hapo ndipo katika story za James Hardley Chase unakuta mtu anakamatwa!Basi baada ya kucheka huku kimoyo moyo nikiombe iishe kabisa na maombi yalijibiwa,kufika iringa simu imeshazima🤣🤣🚮
Ilikua ni safari ndefu sana ya kutoboa mikoa kibao kutoka mbeya hadi mwanza. Hua naombea at least nikae na Binti mzuri mrembo kuifanya safari iwe fupi.
It was quite boring, na nilikua disappointed baada ya kuona mzee mmoja ndiye amekaa pembeni yangu. Nikaona isiwe kesi Wacha safari ianze tumefika kituo kingine akapanda Binti mmoja pisi kweli kweli alisogea hadi tulipokaa huku akisoma ticket yake mara mbili asiamini kwamba mzee amekaa kwenye sit yake.
"Eti samahani kaka hii si ndo sit namba j2?" Nikamjibu nadhani maana mimi yangu ni j1. Basi yule mzee ikabidi aangalie vema tiketi yake zote zilisomeja j2 hivyo baada ya kumwelewesha konda yule mzee Kwa busara alikubali kubadili seat😁😁
Apo moyoni nikasema ewaaa mambo SI ndo haya. "Samahan kaka naomba nikae siti yako ya dirishani". Akiongea nami nikaona Haina noma mbona aikatai. Nikampisha akakaa.
Ila toka alivokaa Binti ni hasemi chochote, mda ote anaongea tu na simu🤣🤣
Simu yenyewe iphone six plain ambazo ni tunazijua zile ni pasi zenyen logo ya epo. Kutoka mbeya mpaka mafinga simu tayari Ina 30% akaanza kujisemesha semesha. Simu zingine bana yaani haikai chajii Wala Nini🤣🤣
Apo mimi namchora tu
Nikamjibu "iphone ni pasi " afu nikacheka. Hebu nipate lunch ntakuja kumalizia
Chai ya mdalasini tamu kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili yangu inagoma kabisa kuiamini hii Paragraph..
• Mbeya Mwanza mlilala njiani, ilikuwa mwaka Gani??
• umejua Mwanza anaenda Chuo baada ya kupiga show? Hukumuuliza muda wote ule
Tatu na Mwisho tunashukuru kwa CHAI
Zipo zinazopita huko na zipo zinazopita Iringa mkuuIla wewe Mkuu Santos kamba sana. Basi za Mbeya - Mwanza hata siku moja hazipiti Iringa, Singida sijui, zinakatisha hii njia ya kupitia Chunya! Hapo ndipo katika story za James Hardley Chase unakuta mtu anakamatwa!
Kanafunzi ka MUST slogan yao kwanza ugumu, kuoga hadi siku ya test, chupi kufua hadi awe na UE!Binti ni hasemi chochote, mda ote anaongea tu na simu🤣🤣
Simu yenyewe iphone six plain
Labda siku hizi, lakini sidhani. Unajua sio rahisi abiria apande njia ndefu ya kuzunguka wakati kuna basi inapita njia ya mkato. Halafu kipande kisicho na lami ni kidogo sana kwenye njia ya mkato. Hivyo safari inakuwa fupi sana. Basi ikipita Dodoma, by the time iko Dodoma hi ya mkato inatafuta Tabora. Sasa kwa nini watu wazungukie Dodoma?Zipo zinazopita huko na zipo zinazopita Iringa mkuu