Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 862
- 2,148
Duuu!
Kulombana ni Sanaa masta unaweza mfikisha mwanamke kunako kwa maneno na miguso ya hapa na pale. Kwa kusema hayo naomba ujifinze Sanaa hiyo kwanza kipindi unatafuta sulihisho la tatizo lako mama.
Kuhusu kuwahi kufika mshindo:
Jambo hili hisababishwa na vitu viwili vikibwa ambavyo ni akili au misuli.
Akili: hapa unatakiwa kujiamini na kujikubali kua unaweza kulombana vizuri, hii hupelekea ubongo kua mwepesi na kutokuhitaji zaidi damu nyingi kutekeleza majukumu yake na kusababisha damu nyingi kupelekea chini kwenye machine kwa ajili ya shughuli yenyewe ya kulombana.
Misuli: hapa hakikisha kua machine inasimama vizuri, kama haisimami vizuri Anza kufanya mazoezi, kula protein kwa wingi na maji pia.
Jambo la mwisho nakushauri usijariku kutumia dawa za kuongeza nguvu maana sio salama kiafya.