Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Jinsi Premature Ejaculation inavyonitesa

Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Huna tatizo ndugu, kinachokutesa ni hiko chakufukiria kuwa una tatizo.

Suluhisho.
Huyo msichana uliyekuwa nae mwambie kuwa una hiyo shida ikiwezekana mdanganye chanzo chake, mwambie uko kwenye tiba kwahiyo akuvumilie mpaka pale utakapopona, mwambie daktari amekuambia kama utatumia dozi vizuri inaweza isha ndani ya miezi 6.
Akishakielewa ondoa hofu ya dk 2 we jitume tu atajua unaumwa..

Fanya mazoez kula vitu natural na kikubwa ondoa hiyo hofu ndani ya hiyo miez 6 Hilo tatizo litakuwa limeisha kabisa
 
Ila hili suala la kurudia game nadhani inategemea na nyie wawili hapo, mfano mm kuna mtu niko nae sa h game la kwanza ntamaliza vzr ila game la pili siwezi kumwaga bali ntachoka na kuacha game mpaka badae sana.
Ila kuna wengine naweza kwenda nao ht game tano.
Jamaa acheki na demu mwingine. Ulichosema kipo kweli kwa asilimia 100. Kuna wanawake ukiwa nao unaweza twanga hata nusu saa hushushi ila kuna ambao unakuta tu hata hzo 7mnt hufiki ushashusha japo la 2
 
YAani imefikia natamni nitumie hata sildenafil(ila naogopa nisije pata heart complication) ili nirudishe heshima kwa huyu demu, maana kanidharau sana.
Mkuu sildenafil haina uhusiano na premature ejaculation
Hizo dawa kazi yake ni kama uume hausimami inafanya usimame tu
Habari utatumia mudagani kutafuna kitumbua ni issue nyingine

Hapo sasa huwa inatumika dawa ambayo itaupa uume kama ganzi fulani hivi na kuupunguzia ile sensitive yake ili uchelewe kufika kileleni
Hapo sasa ndio Vumbi la Congo linapo ingia na kufanya hiyo kazi

Wewe huitaji Viagra sababu unasimamisha vizuri
Wewe unahitaji namna ya kufanya ili usimalize mchezo mapema

Kabla ya kuanza kutumia dawa nakushauri make google your best friend
Kuna namna nantrick nyingi online za kupambana na changamoto bila kutumia dawa
Wengine zinawasidia sana
It worth a try mkuu
 
Habari Wakuu,

Nimeamua kushusha uzi huu hapa baada ya hiki kilichotekea leo.

Kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimekuwa kwenye mahusiano na binti mmoja mzuri tuu.

Katika kipindi hicho, tumeshakutana kimwili mara tatu, na mara zote hizo sijafanikiwa kuzidi dkk 3.

TAtizo hili limeanza toka siku ya kwanza nilipoanza kusex.

Nilienda nalo.

Baadae sana nikaanza kukwea mnazi.

Nikaendelea nalo. Hadi leo hii.

Nimeamua kuandika haya ili kutoa ya moyoni , maana hii hali inauma sana.

Yaani uko na demu mzuri kitandani, then unapiga chini ya dk 2.

Demu unamuona kabisa hajapenda, unatka kujitetea unashidwa, unabaki kuwa mnyonge tuu.

KUna demu pia alishawahi kuniacha kisa tatizo hili, huyu alinichana kabisa, kwamba hawezi kuendelea na mimi sababu simridhishi, zaidi tuu namuumiza kihisia. Iliniuma ila nitafanyeje sasa.

Hata huyu wa sasa nawaza ni bora nimuache tuu aendelee na maisha yake.

Mimi pingine nijitkite kutafuta tiba.

au kama vipi niachane tuu na swala la mpenzi, sitooa, niwe hata mlevi tu.

Maana kwakweli inauma sana.

Nyongeza.
Umri wangu ni karibu 30
Si mlevi mwili wangu ni mwembamba (kg 57,-59)
Najitahidi kupiga pushups mara kwa mara.

Nakula matunda na mboga za majani mara kwa mara.
Shida yako ni ya kisaikolojia unaogopa madem wakat wa tendo unakuwa na hofu ndomana unawahi kukitupa
 
Pole sana! Hilo ni suala la mfumo wa mwili.Kuna mahali haipo sawa ila hujawahi gundua.Hiyo kukojoa mapema ni reflection ya shida uliyonayi mahali fulani kwenye mfumo wako wa mwili na mara nyingi ni suala la mzungunguko sahihi wa damu.Unaweza kuta hata mishipa ya damu imesinyaa kupita kiasi kitu ambacho kinathiri mzunguko,lakini pia kwenye misuli ya uume kuna udhaifu.
Pamoja na changamoto hiyo usijaribu hata kidogo kutumia booster maana utazidi kujiua zaidi na kuwa tegemezi.Hayo mavumbi ya kongo na viagra yatakuharibu zaidi na utakuja kufeli kila kitu baada ya matumizi kwa muda fulani.Tiba nzuri ni ile inayoweza kutibu hanzo cha tatizo na nguvu za kuperform zikarejea automaticaly.
Kama utahitaji ushauri zaidi au tiba unaweza kuuliza.
 
Back
Top Bottom