Jinsi Profesa Lipumba alivyowatosa CUF na UKAWA kumnusuru rafiki yake Ramadhani Dau asifungwe jela na Hayati Magufuli

Jinsi Profesa Lipumba alivyowatosa CUF na UKAWA kumnusuru rafiki yake Ramadhani Dau asifungwe jela na Hayati Magufuli

Uongea utumbo na uozo tu kiufupi taarifa yako ni rubbish kwa sababuya

1.Dr Dau alipewa ubalozi mwezi mmoja tu baada ya hayati magufuli kuwa rais yaani mwezi December 2015 na sio 16 April 2016.kwa hoja yako wewe ni mzandiki

2.Mtoa mada unataka kusema kwamba Hayati magufuli alipokea rushwa kwa kuahidi kwamba Dr Dau aende kumshawishi Lipumba ajitoe UKAWA ili chadema na lowasa kuwapunguzia nguvu?

3.Riport zote za CIG hakuna siku ziliitumu NSSF chini ya Dr Dau kwamba imefuja pesa. Labda magazeti ya mchongo na uchwara.

4.Mradi wa kigamboni umeshindikana katika utawala wa awamu ya tano ambako Dr Dau alikuwa hayupo.

N.B Mtoa mada umejawa na chuki za kidini,kikabila,kikanda na kisiasa.
Mkuu, mbona kama umethibitisha tu hoja za mleta uzi!
 
Back
Top Bottom