Nilikuwa na shangaa maboya yatafune pesa za Abdul kirahisi vileWaliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
2. Umma umelipotezea kundi la G55.
Kiufupi, Umma umekataa katakata kukubaliana na hoja za G55. Jinsi G55 wanavyojenga hoja zao za kushiriki uchaguzi chini ya sheria hizihizi za kimagumashi umetafsiriwa na umma kama namna ya kuhalalisha wizi wa kura na kuipa legitimacy CCM kupitia uchaguzi feki. Kiufupi Umma umeitafsiri G55 kama watu walionunuliwa, watu ambao ni losers, ambao wako bitter baada ya kushindwa uchaguzi, na watu ambao wamezoea siasa za dili. Kwa hiyo hili kundi linaonekana kundi la kitapeli kupitia siasa
3. Kampeni ya no reforms no election ya kanda kwa kanda, mkoa kwa mkoa imeusogeza umma karibu na CHADEMA kama ilivyokuwa operesheni Sangara.
Umma umeonyesha kuunga mkono mno uongozi wa Lissu na Heche na umeonekana kuielewa na kuikubali mno ajenda ya no reforms no election. Kila mzungumzaji kwenye hii mikutano ya CHADEMA ana kitu unique chenye kuclick na wananachi. Ajenda za kiuchumi za Heche, Mifano ya tume isiyo fair ya Lema, Energy ya kijana Mahinyila, Wito wa mama Susan Lyimo na Mama Sharifa, Nondo za John Mnyika vimeufanya umma uelewe sana hii ajenda ya no reforms no election. Na matokeo yake pia CHADEMA imeendelea kukubalika sana mbele ya wananchi. Wananchi wanayaona madai ya CHADEMA kuwa ni madai ya haki.
4. Kazi nzuri ya Makamu mwenyekiti Heche.
CCM walidhani wakimpiga mchungaji (Lissu) basi CHADEMA itasambaratika, wakasahau kuwa "Wanamtengenezea Lissu huruma na sympathy ya umma". Kiufupi mtaji wa kisiasa wa Lissu leo ni mkubwa zaidi kuliko kabla hawajamkamata. Yaani wamemuongezea CV. Pamoja na hayo, hili lijamaa li John Heche linapiga mzigo aisee. Tena linaongea mambo ambayo yanagusa mtu wa chini moja kwa moja. Lissu huwa anaongea kwa ushawishi, lakini huwa anaongelea zaidi mambo ya sheria, haki za binadamu, historia ya utawala ambayo wasomi ndo huyaelewa zaidi. Hili lijamaa li John Heche linaongelea habari za rasilimali za nchi zinavyotapanywa, umasikini wa watu, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa dawa mahospitalini, Yaani kiufupi hili li John Heche linawapiga kwenye mshono panapouma zaidi. Halafu uzuri wake ni kuwa limeanzia chini kabisa kwenye chama likapanda ranks, kwa hiyo linaaminika mno na wanaCHADEMA na wananchi.
5. Uungaji mkono wa taasisi za kiraia ziikiwemo za kidini wa kutaka mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili kuufanya uwe huru na haki umelifanya kundi la G55 lionekane kituko mbele ya wananchi.
Maaskofu wanasema yawepo mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi halafu Benson Kigaila, Salum Mwalimu na John Mrema wanasema kuwa hilo siyo priority kabla ya uchaguzi, kwamba waingie kwenye uchaguzi kwanza halafu madai hayo ya sheria yaje baadae. Yaani hawa jamaa badala ya kuhimiza chanjo kabla ya maradhi, wao wanasema subiri mgonjwa aumwe kwanza akishapona ndo apewe chanjo!. Logic ya kiuwendawazimu hii.
mbowe naye alikuwa njiani kwenda, naona amesoma majira na ramani akaona anaenda kuwa kama alivyoishia lyatonga mrema (b).Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
2. Umma umelipotezea kundi la G55.
Kiufupi, Umma umekataa katakata kukubaliana na hoja za G55. Jinsi G55 wanavyojenga hoja zao za kushiriki uchaguzi chini ya sheria hizihizi za kimagumashi umetafsiriwa na umma kama namna ya kuhalalisha wizi wa kura na kuipa legitimacy CCM kupitia uchaguzi feki. Kiufupi Umma umeitafsiri G55 kama watu walionunuliwa, watu ambao ni losers, ambao wako bitter baada ya kushindwa uchaguzi, na watu ambao wamezoea siasa za dili. Kwa hiyo hili kundi linaonekana kundi la kitapeli kupitia siasa
3. Kampeni ya no reforms no election ya kanda kwa kanda, mkoa kwa mkoa imeusogeza umma karibu na CHADEMA kama ilivyokuwa operesheni Sangara.
Umma umeonyesha kuunga mkono mno uongozi wa Lissu na Heche na umeonekana kuielewa na kuikubali mno ajenda ya no reforms no election. Kila mzungumzaji kwenye hii mikutano ya CHADEMA ana kitu unique chenye kuclick na wananachi. Ajenda za kiuchumi za Heche, Mifano ya tume isiyo fair ya Lema, Energy ya kijana Mahinyila, Wito wa mama Susan Lyimo na Mama Sharifa, Nondo za John Mnyika vimeufanya umma uelewe sana hii ajenda ya no reforms no election. Na matokeo yake pia CHADEMA imeendelea kukubalika sana mbele ya wananchi. Wananchi wanayaona madai ya CHADEMA kuwa ni madai ya haki.
4. Kazi nzuri ya Makamu mwenyekiti Heche.
CCM walidhani wakimpiga mchungaji (Lissu) basi CHADEMA itasambaratika, wakasahau kuwa "Wanamtengenezea Lissu huruma na sympathy ya umma". Kiufupi mtaji wa kisiasa wa Lissu leo ni mkubwa zaidi kuliko kabla hawajamkamata. Yaani wamemuongezea CV. Pamoja na hayo, hili lijamaa li John Heche linapiga mzigo aisee. Tena linaongea mambo ambayo yanagusa mtu wa chini moja kwa moja. Lissu huwa anaongea kwa ushawishi, lakini huwa anaongelea zaidi mambo ya sheria, haki za binadamu, historia ya utawala ambayo wasomi ndo huyaelewa zaidi. Hili lijamaa li John Heche linaongelea habari za rasilimali za nchi zinavyotapanywa, umasikini wa watu, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa dawa mahospitalini, Yaani kiufupi hili li John Heche linawapiga kwenye mshono panapouma zaidi. Halafu uzuri wake ni kuwa limeanzia chini kabisa kwenye chama likapanda ranks, kwa hiyo linaaminika mno na wanaCHADEMA na wananchi.
5. Uungaji mkono wa taasisi za kiraia ziikiwemo za kidini wa kutaka mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili kuufanya uwe huru na haki umelifanya kundi la G55 lionekane kituko mbele ya wananchi.
Maaskofu wanasema yawepo mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi halafu Benson Kigaila, Salum Mwalimu na John Mrema wanasema kuwa hilo siyo priority kabla ya uchaguzi, kwamba waingie kwenye uchaguzi kwanza halafu madai hayo ya sheria yaje baadae. Yaani hawa jamaa badala ya kuhimiza chanjo kabla ya maradhi, wao wanasema subiri mgonjwa aumwe kwanza akishapona ndo apewe chanjo!. Logic ya kiuwendawazimu hii.
Bahati mbaya kiongozi wa G55 anaitwa Mrema, direct correlation na Mrema yule wa kiraracha.Huku mtaani G55 linaonekana kama ni kundi la kitapeli la kisiasa.Watu hawalielewi kundi hilo
We poyoyo nenda kaharishe huo uvundo wako.Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
2. Umma umelipotezea kundi la G55.
Kiufupi, Umma umekataa katakata kukubaliana na hoja za G55. Jinsi G55 wanavyojenga hoja zao za kushiriki uchaguzi chini ya sheria hizihizi za kimagumashi umetafsiriwa na umma kama namna ya kuhalalisha wizi wa kura na kuipa legitimacy CCM kupitia uchaguzi feki. Kiufupi Umma umeitafsiri G55 kama watu walionunuliwa, watu ambao ni losers, ambao wako bitter baada ya kushindwa uchaguzi, na watu ambao wamezoea siasa za dili. Kwa hiyo hili kundi linaonekana kundi la kitapeli kupitia siasa
3. Kampeni ya no reforms no election ya kanda kwa kanda, mkoa kwa mkoa imeusogeza umma karibu na CHADEMA kama ilivyokuwa operesheni Sangara.
Umma umeonyesha kuunga mkono mno uongozi wa Lissu na Heche na umeonekana kuielewa na kuikubali mno ajenda ya no reforms no election. Kila mzungumzaji kwenye hii mikutano ya CHADEMA ana kitu unique chenye kuclick na wananachi. Ajenda za kiuchumi za Heche, Mifano ya tume isiyo fair ya Lema, Energy ya kijana Mahinyila, Wito wa mama Susan Lyimo na Mama Sharifa, Nondo za John Mnyika vimeufanya umma uelewe sana hii ajenda ya no reforms no election. Na matokeo yake pia CHADEMA imeendelea kukubalika sana mbele ya wananchi. Wananchi wanayaona madai ya CHADEMA kuwa ni madai ya haki.
4. Kazi nzuri ya Makamu mwenyekiti Heche.
CCM walidhani wakimpiga mchungaji (Lissu) basi CHADEMA itasambaratika, wakasahau kuwa "Wanamtengenezea Lissu huruma na sympathy ya umma". Kiufupi mtaji wa kisiasa wa Lissu leo ni mkubwa zaidi kuliko kabla hawajamkamata. Yaani wamemuongezea CV. Pamoja na hayo, hili lijamaa li John Heche linapiga mzigo aisee. Tena linaongea mambo ambayo yanagusa mtu wa chini moja kwa moja. Lissu huwa anaongea kwa ushawishi, lakini huwa anaongelea zaidi mambo ya sheria, haki za binadamu, historia ya utawala ambayo wasomi ndo huyaelewa zaidi. Hili lijamaa li John Heche linaongelea habari za rasilimali za nchi zinavyotapanywa, umasikini wa watu, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa dawa mahospitalini, Yaani kiufupi hili li John Heche linawapiga kwenye mshono panapouma zaidi. Halafu uzuri wake ni kuwa limeanzia chini kabisa kwenye chama likapanda ranks, kwa hiyo linaaminika mno na wanaCHADEMA na wananchi.
5. Uungaji mkono wa taasisi za kiraia ziikiwemo za kidini wa kutaka mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili kuufanya uwe huru na haki umelifanya kundi la G55 lionekane kituko mbele ya wananchi.
Maaskofu wanasema yawepo mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi halafu Benson Kigaila, Salum Mwalimu na John Mrema wanasema kuwa hilo siyo priority kabla ya uchaguzi, kwamba waingie kwenye uchaguzi kwanza halafu madai hayo ya sheria yaje baadae. Yaani hawa jamaa badala ya kuhimiza chanjo kabla ya maradhi, wao wanasema subiri mgonjwa aumwe kwanza akishapona ndo apewe chanjo!. Logic ya kiuwendawazimu hii.
Wamejipotezaje wakati wanaanza kukata anga mwezi huu. Nyie ni km mazuzu yamejifungia sehemu yakijidanganya. Hiyo chadomo yenu kwishnet imebaki kujifuta kwenye vitabu vya historiaG55 kama haikuwa project ya CCM, basi wamejidanganya vibaya sana. Wamejipoteza wenyewe kwenye ulimwengu wa kisiasa
Ng'ombeWamejipotezaje wakati wanaanza kukata anga mwezi huu. Nyie ni km mazuzu yamejifungia sehemu yakijidanganya. Hiyo chadomo yenu kwishnet imebaki kujifuta kwenye vitabu vya historia
Kuanzisha chama cha siasa siyo sawa na kuanzisha kikundi cha upatu cha kinamamaG55 kama haikuwa project ya CCM, basi wamejidanganya vibaya sana. Wamejipoteza wenyewe kwenye ulimwengu wa kisiasa
Hasa John Mrema limekaa kitapeli sana. Wakamuingiza Mzee wa watu chaka( Kigaila)Huku mtaani G55 linaonekana kama ni kundi la kitapeli la kisiasa.Watu hawalielewi kundi hilo
CHADEMA KAZENI KAMBA NINYI MMEBEBA MATUMAINI MAKUBWA KWA WATANZANIA.Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
2. Umma umelipotezea kundi la G55.
Kiufupi, Umma umekataa katakata kukubaliana na hoja za G55. Jinsi G55 wanavyojenga hoja zao za kushiriki uchaguzi chini ya sheria hizihizi za kimagumashi umetafsiriwa na umma kama namna ya kuhalalisha wizi wa kura na kuipa legitimacy CCM kupitia uchaguzi feki. Kiufupi Umma umeitafsiri G55 kama watu walionunuliwa, watu ambao ni losers, ambao wako bitter baada ya kushindwa uchaguzi, na watu ambao wamezoea siasa za dili. Kwa hiyo hili kundi linaonekana kundi la kitapeli kupitia siasa
3. Kampeni ya no reforms no election ya kanda kwa kanda, mkoa kwa mkoa imeusogeza umma karibu na CHADEMA kama ilivyokuwa operesheni Sangara.
Umma umeonyesha kuunga mkono mno uongozi wa Lissu na Heche na umeonekana kuielewa na kuikubali mno ajenda ya no reforms no election. Kila mzungumzaji kwenye hii mikutano ya CHADEMA ana kitu unique chenye kuclick na wananachi. Ajenda za kiuchumi za Heche, Mifano ya tume isiyo fair ya Lema, Energy ya kijana Mahinyila, Wito wa mama Susan Lyimo na Mama Sharifa, Nondo za John Mnyika vimeufanya umma uelewe sana hii ajenda ya no reforms no election. Na matokeo yake pia CHADEMA imeendelea kukubalika sana mbele ya wananchi. Wananchi wanayaona madai ya CHADEMA kuwa ni madai ya haki.
4. Kazi nzuri ya Makamu mwenyekiti Heche.
CCM walidhani wakimpiga mchungaji (Lissu) basi CHADEMA itasambaratika, wakasahau kuwa "Wanamtengenezea Lissu huruma na sympathy ya umma". Kiufupi mtaji wa kisiasa wa Lissu leo ni mkubwa zaidi kuliko kabla hawajamkamata. Yaani wamemuongezea CV. Pamoja na hayo, hili lijamaa li John Heche linapiga mzigo aisee. Tena linaongea mambo ambayo yanagusa mtu wa chini moja kwa moja. Lissu huwa anaongea kwa ushawishi, lakini huwa anaongelea zaidi mambo ya sheria, haki za binadamu, historia ya utawala ambayo wasomi ndo huyaelewa zaidi. Hili lijamaa li John Heche linaongelea habari za rasilimali za nchi zinavyotapanywa, umasikini wa watu, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa dawa mahospitalini, Yaani kiufupi hili li John Heche linawapiga kwenye mshono panapouma zaidi. Halafu uzuri wake ni kuwa limeanzia chini kabisa kwenye chama likapanda ranks, kwa hiyo linaaminika mno na wanaCHADEMA na wananchi.
5. Uungaji mkono wa taasisi za kiraia ziikiwemo za kidini wa kutaka mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili kuufanya uwe huru na haki umelifanya kundi la G55 lionekane kituko mbele ya wananchi.
Maaskofu wanasema yawepo mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi halafu Benson Kigaila, Salum Mwalimu na John Mrema wanasema kuwa hilo siyo priority kabla ya uchaguzi, kwamba waingie kwenye uchaguzi kwanza halafu madai hayo ya sheria yaje baadae. Yaani hawa jamaa badala ya kuhimiza chanjo kabla ya maradhi, wao wanasema subiri mgonjwa aumwe kwanza akishapona ndo apewe chanjo!. Logic ya kiuwendawazimu hii.
Kigaila ni poyoyo sana yule amefeli mtego mdogo sana.Hasa John Mrema limekaa kitapeli sana. Wakamuingiza Mzee wa watu chaka( Kigaila)
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.Waliopanga kuivunja CHADEMA kutokea ndani sasa wanakutana na reality kuwa project yao ya kutumia sellouts wa G55 imebuma. Project hiyo imebuma na imeshindwa kuipigisha CHADEMA magoti, na nitaeleza sababu.
1. G55 imekosa star figure mwenye ufuasi.
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
2. Umma umelipotezea kundi la G55.
Kiufupi, Umma umekataa katakata kukubaliana na hoja za G55. Jinsi G55 wanavyojenga hoja zao za kushiriki uchaguzi chini ya sheria hizihizi za kimagumashi umetafsiriwa na umma kama namna ya kuhalalisha wizi wa kura na kuipa legitimacy CCM kupitia uchaguzi feki. Kiufupi Umma umeitafsiri G55 kama watu walionunuliwa, watu ambao ni losers, ambao wako bitter baada ya kushindwa uchaguzi, na watu ambao wamezoea siasa za dili. Kwa hiyo hili kundi linaonekana kundi la kitapeli kupitia siasa
3. Kampeni ya no reforms no election ya kanda kwa kanda, mkoa kwa mkoa imeusogeza umma karibu na CHADEMA kama ilivyokuwa operesheni Sangara.
Umma umeonyesha kuunga mkono mno uongozi wa Lissu na Heche na umeonekana kuielewa na kuikubali mno ajenda ya no reforms no election. Kila mzungumzaji kwenye hii mikutano ya CHADEMA ana kitu unique chenye kuclick na wananachi. Ajenda za kiuchumi za Heche, Mifano ya tume isiyo fair ya Lema, Energy ya kijana Mahinyila, Wito wa mama Susan Lyimo na Mama Sharifa, Nondo za John Mnyika vimeufanya umma uelewe sana hii ajenda ya no reforms no election. Na matokeo yake pia CHADEMA imeendelea kukubalika sana mbele ya wananchi. Wananchi wanayaona madai ya CHADEMA kuwa ni madai ya haki.
4. Kazi nzuri ya Makamu mwenyekiti Heche.
CCM walidhani wakimpiga mchungaji (Lissu) basi CHADEMA itasambaratika, wakasahau kuwa "Wanamtengenezea Lissu huruma na sympathy ya umma". Kiufupi mtaji wa kisiasa wa Lissu leo ni mkubwa zaidi kuliko kabla hawajamkamata. Yaani wamemuongezea CV. Pamoja na hayo, hili lijamaa li John Heche linapiga mzigo aisee. Tena linaongea mambo ambayo yanagusa mtu wa chini moja kwa moja. Lissu huwa anaongea kwa ushawishi, lakini huwa anaongelea zaidi mambo ya sheria, haki za binadamu, historia ya utawala ambayo wasomi ndo huyaelewa zaidi. Hili lijamaa li John Heche linaongelea habari za rasilimali za nchi zinavyotapanywa, umasikini wa watu, ukosefu wa ajira kwa vijana, ukosefu wa dawa mahospitalini, Yaani kiufupi hili li John Heche linawapiga kwenye mshono panapouma zaidi. Halafu uzuri wake ni kuwa limeanzia chini kabisa kwenye chama likapanda ranks, kwa hiyo linaaminika mno na wanaCHADEMA na wananchi.
5. Uungaji mkono wa taasisi za kiraia ziikiwemo za kidini wa kutaka mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi ili kuufanya uwe huru na haki umelifanya kundi la G55 lionekane kituko mbele ya wananchi.
Maaskofu wanasema yawepo mabadiliko kwenye sheria za uchaguzi kabla ya uchaguzi halafu Benson Kigaila, Salum Mwalimu na John Mrema wanasema kuwa hilo siyo priority kabla ya uchaguzi, kwamba waingie kwenye uchaguzi kwanza halafu madai hayo ya sheria yaje baadae. Yaani hawa jamaa badala ya kuhimiza chanjo kabla ya maradhi, wao wanasema subiri mgonjwa aumwe kwanza akishapona ndo apewe chanjo!. Logic ya kiuwendawazimu hii.
Wanadhani Helcopter ndiyo seraHivi kampeni yao ya kujitambulisha nchi nzima imeianza?
Wewe ndo John Mrema nini ?We poyoyo nenda kaharishe huo uvundo wako.
Hata mimi inanimate haki ya kutoa mawazo yangu.Ibara ya 18 ya katiba inatoa uhuru wa maoni ilimradi mtu asivunje sheria. Tuna haki ya kuzungumzia siasa kwa namna ambayo kila mtu anaona inafaa