PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huku kwetu G55 linaonekana kama kundi la wauza miili yao
 
Nilikuwa na shangaa maboya yatafune pesa za Abdul kirahisi vile
 
mbowe naye alikuwa njiani kwenda, naona amesoma majira na ramani akaona anaenda kuwa kama alivyoishia lyatonga mrema (b).
 
Toka mwanzo tulisema kuwa hilo ni kundi la matapeli wa siasa wakiungwa mkono na ccm ili kujaribu kuchelewesha mabadiliko ya kweli.
Tunawasubiri kwa hamu huku kitaa tuwaaibishe
 
Mie hata sijawahi kuwasikia hivi kwanza ndo wanaishi wapi hao wahuni wa G55? Sikuwahi wala kudhani kwamba J. Mrema anaweza kusimama akajenga hoja ..jamaa ni mtu wa kubebwa siasa za jukwaani ana sifuri
 
We poyoyo nenda kaharishe huo uvundo wako.
 
G55 kama haikuwa project ya CCM, basi wamejidanganya vibaya sana. Wamejipoteza wenyewe kwenye ulimwengu wa kisiasa
Wamejipotezaje wakati wanaanza kukata anga mwezi huu. Nyie ni km mazuzu yamejifungia sehemu yakijidanganya. Hiyo chadomo yenu kwishnet imebaki kujifuta kwenye vitabu vya historia
 
G55 kama haikuwa project ya CCM, basi wamejidanganya vibaya sana. Wamejipoteza wenyewe kwenye ulimwengu wa kisiasa
Kuanzisha chama cha siasa siyo sawa na kuanzisha kikundi cha upatu cha kinamama
 
Hivi kampeni yao ya kujitambulisha nchi nzima imeianza?
 
CHADEMA KAZENI KAMBA NINYI MMEBEBA MATUMAINI MAKUBWA KWA WATANZANIA.
 
Ni dhahiri hawa G55 pengine walikuwa na mpango wa kupata mtu mzito wa calibre ya Freeman Mbowe ili kwa ushawishi wake waweze kuhamasisha "exodus" ya wanachama kuondoka CHADEMA, lakini naamini Mbowe amejitafakari, amesoma upepo wa umma na matarajio, na amepima mustakbali wa legacy yake ameona kwenda huko CHAUMMA ni kujivunjia heshima, amewapotezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…