PreGE2025 Jinsi Project G55 ilivyofeli: Nguvu ya Umma yainusuru CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Njaa55 hawanabahati nikama PSG na mbape
 
G55 kama haikuwa project ya CCM, basi wamejidanganya vibaya sana. Wamejipoteza wenyewe kwenye ulimwengu wa kisiasa
Hata kama ni project, kwani wewe mmiliki wa kampuni yako akiuguliwa au kuugua huwa mnakuwa na amani kazini?
Fukuto linaloendelea chamani nadhani g55 wana homa ya ini.
 
Ibara ya 18 ya katiba inatoa uhuru wa maoni ilimradi mtu asivunje sheria. Tuna haki ya kuzungumzia siasa kwa namna ambayo kila mtu anaona inafaa
Mwambie kama vile Makala na Wassira wanavyosema CHADEMA imekufa lakini Kila siku Iko mdomoni mwao
 
Sio "No Election No Reforms.."

Wenzako kina John Mrema na Benson Kigaila wanasema walikuwa na maana "YES ELECTION NO REFORMS"

Kwamba hawakuwa na maana wasishiriki uchaguzi bila reforms Bali washiriki na reforms zisubiri baadaye..!
 
Wanafaidi ubwabwa wa mzee sijui nani yule
 
Yaani plus Gwajimanaization ndo kabisaa
Tukiwaambia this time , nothing like bness as usual....

Bado sn ndo kwanza kunakucha
 
Hili kundi lote na Chauma yao litasambaratika vibaya sana na raia hawana interest nao kabisa
Kesho Gwajimanaization na makanisa yake yote ,zaidi ya elf 2 nchi mzima wanaanza mfungo 😂
Nataka nione wapi watatobolea hao wapuuzi na wenzao
 
Wacheni wafu wazike wafu waoo
 
Sio "No Election No Reforms.."

Wenzako kina John Mrema na Benson Kigaila wanasema walikuwa na maana "YES ELECTION NO REFORMS"

Kwamba hawakuwa na maana wasishiriki uchaguzi bila reforms Bali washiriki na reforms zisubiri baadaye..!
🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…