Hii ni kamba Kwa watu wajinga wasiopenda kushuhurisha bongo zao timamu wapate maarifa mapya,
Hebu subiri project ya
Artificial intelligence (AI)
Ya Elon musk
Ikamilike vizuri halafu uone maajabu yake jinsi Gani unafanya kazi,wewe umekalia ubishi hapa
Wakati watu wanaenda kuunganisha mfumo wa ubongo na computer mtu ukiwa na gari lako la kisasa unaweza kuliwasha Kwa kutoa rock na password Kwa kufikiria tu gari inawaka yenyewe Kwa kusensor kama Bluetooth vile,Hii Dunia wanaume wapo kazini acha sisi tuendelee kubishana hapa nyuma ya keyboard!
[emoji16][emoji16]