Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Waganga wa kienyeji wana majibu ya maswali yote duniani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea kinadharia sanaMzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
Kaongea chai huyonimemaanisha ulivyosema wanaproject za kupandikiza cell kwenye miili ya watu ili wawe immortal..
mkuu umemwaga madini ya kutosha, shukran..Kaongea chai huyo
Mwili mzima wa binadamu umeundwa na seli. Kila kitu unachojua wewe kiumeundwa na seli
Damu, ubongo, mifupa, nyama, nywele. Kila kitu kimeundwa na seli ndo maana cell is the central part of a living thing
Sasa unaposema mtu anapandikizwa cell, anapandikizwaje? Ikiwa mwili umeundwa na cell? Ingekuwa hivyo hata wale wanaoongezewa damu wangekuwa wanaishi watu wawili kwenye mwili mmoja.
Mtu anaumwa figo, anatolewa figo yake iliyoharibika inachukuliwa figo ya mtu mwengine anawekewa. Lakini hatuoni watu wawili wakiishi kwenye mwili mmoja eti kisa figo ya huyu (ambayo figo pia imeundwa na cell) kapandikizwa mwengine
Specific cell kwa pamoja zinaunda tissue, specific tissues kwa pamoja zinaunda an organ, different organs zinaunda system, different systems ndo zinaunda organism ambae ni ndo aidha binadamu au kiumbe hai
Mfano wa cell ni bone cell, stem cell, blood cells, musle cells nk
Mfano wa tissues ni epithelial tissue, muscle tissue, nervous tissue, na connective tissue
Mfano wa organs ni moyo, figo, mapafu, nk
Mfano system (mfumo) ni mfumo wa upumuaji, mfumo wa mmeng'enyo wa chakula, nervous system, endocrine system
Alafu organism ndo binadamu sasa
HUU MTIRIRIKO UPO HIVYO HATA KWA VIUMBE WENGINEView attachment 2015628View attachment 2015629
Kuna watu Ngo'mbe ndio Mungu wao.Sasa unadhani BINADAMU na viumbe vyote tuliopo ardhini na mbinguni na baharini na mito na maziwa tupo duniani kwa bahati mbaya?
[emoji2368]55:30
Ng'ombe anaweza akawa mungu kweli?Kuna watu Ngo'mbe ndio Mungu wao.
Huu uzi ni wa kijinga tu. Hii ni kufuru kwa MunguUkweli mchungu! Ngojea wenye waliokufa msalabani na kumuona mola waje watakutoboa.
Ila huu ndiyo ukweli mchachu kuwa wanatuzuga lakini mwisho remote controlled project itabeba watu na kutupia wengine sayari za raha na wengine kutupwa Jupiter au Pluto karibu na jua kaliiiili mjue kuwa tayari mmefika kuzimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji88]
Inawezekana maana harakati za kina Elon ni busy sanaMzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
Punguzeni kula makandeMzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,

Sawa mla biriyani from Arabia,tutapunguza kula kitu Cha wapare bwashee!Punguzeni kula makande
Kwann? Mbona watu wanakaa hewani uko pasipo na oxygen miezi na miezi? Na curiosity ipo kule inapiga picha ina maana kunafikika.sasa hii stori ina akili kubwa ipi mkuu? Yani kusimulia vitu ulivyosikia nayo ni akili kubwa? Hizi fiction tu, maisha Mars hayawezekaniki.
Hallelujah mwerevu karibu katika thread ya wajinga uungane nasiHuu uzi ni wa kijinga tu. Hii ni kufuru kwa Mungu
Kwanini? Kwani wewe ulishakufa ukaufahamu ukweli? Yoyote anayeongelea maisha baada ya kifo ni imani tu. Hakuna ushahidi. Including you.[emoji28] hako kaujanja ka kutishia watu kifo mnakapenda. Kwa taarifa yako kitu chochote ambacho mtu anakawambia utaona baada ya kufa ni uongo mtupu
acha kuwajibu mapimbi Hao akili zao ni visoda Wewe muulize watu waliwezaje kujenga international space station na wanafanya kazi Huko kitu ambacho Babu Yao kinjeketile ngwale hajawahi hata kukifikiria na ukirudi ukamwambie atakuona wazimu watu wataishije nje ya Dunia Huko sehemu ambayo ukikaa unaizoom Dunia Kwa mbali?Kwann? Mbona watu wanakaa hewani uko pasipo na oxygen miezi na miezi? Na curiosity ipo kule inapiga picha ina maana kunafikika.
Kama sio kizazi hiki basi kizazi kijacho ila usihitimishe kuwa haiwezekani. Mwanzoni hata sayari hazikujulikana sasa hivi zinafikika.hayawezekaniki kwa sababu zipi? kwa tech ya sasa ni ngumu kwa binadamu ila micro organism inawezekana hasa baada ya kugundulika viumbe wanaoweza kuishi under extreme conditions km vile radiations pia viumbe wanaotumia aina flani ya iron badala ya oksijen kwe energy production, so kwa micro organism inawezekana maana ht maji yapo underground issue ni kwa advanced organisms km sisi but watu ndo hvyo wanawork out changamoto ingawa binfasi nakubaliana kuwa kwa kuifanya mars irudi kuwa km dunia ni ngumu sana mars is dead hatuwez kuifufua tena labda tu iwe sehem ya kwenda kutalii na kurudi
Kutokujua yanayoendelea mkuu.. hapa watu hawajui kuwa sasa hivi kuna binadamu wanajaribu kupasua mwamba mkubwa huko anga za mbali kama majaribio ikitokea kuna mwamba ukaielekea dunia basi yasitokee yaliyowahi kutokea. HAWAJUI YAFANYIKAYO.acha kuwajibu mapimbi Hao akili zao ni visoda Wewe muulize watu waliwezaje kujenga international space station na wanafanya kazi Huko kitu ambacho Babu Yao kinjeketile ngwale hajawahi hata kukifikiria na ukirudi ukamwambie atakuona wazimu watu wataishije nje ya Dunia Huko sehemu ambayo ukikaa unaizoom Dunia Kwa mbali?
Watu Wana macho lakini hawaoni Wana akili ila hazichaji Wala hawaangalii vitu for future wakila makande na kunywa gongo wanaona maisha ndio haya haya!
Afrika bwana Raha sanaaaa!
😁😁😁😁