ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Population ya nini?na kumaintain hilo tunaangalia population
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Population ya nini?na kumaintain hilo tunaangalia population
microbesPopulation ya nini?
Kama wakiweza survive reproduction ni swala ni muda tu. Sio ishumicrobes
ikishatekelezeka ndio tutajua kuwa inatekelezeka ila kama bado hatuwez jua km inawezekana ama la ndio maana nkakupa mfano wa kwenda mwezini watu walioishi enzi za yesu wangeweza uliza hivyohivyo kuwa kwenda mwezin inawezekanaje, unajua kabla sifuri haijagundulika hisabati ilikuwa duni sana na haikuwahi fikirika km hisabati ingefikia hivi ilivyo leo but sifuri namba ya mwsho kabisa kugundulika ilibadili everything kwe medani za sayansi na hesabu, katika sayansi tunavyovifahamu ni vichache sana kuliko tusivyovifahamu nduguSio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
Hii time travelling inatimia siyo zaidi ya 2050 angalia pambano la global connectivity kupitia mpango wa 5-6G internet speeds. Hii 5, au 6+G na kuendelea inalenga kupeleka watu mitaa ya duniani yenye yako na mateso, au miji/majiji yenye raha au mtaani kwako penye shida.Sio kila nadharia za kisayansi zinatekelezeka we unaweza kuniambia na kuamini swala la time traveling ni kwajinsi gani linaweza kutekelezeka kwa 100%
possible mkuuIssue ya atmosphere itakuwa ni permanent. Hypothetically speaking, introduction ya microbial life forms kama algae na bacteria itasaidia ardhi ya mars kuretain joto hivyo kupasha atmosphere yake na kuifanya rafiki kwa wanadamu.
Lengo kitakuwa kutengeneza technology itakayo-speed up this process. So nadhani equipment failure kwa terra-forming itasababisha delay rather than fatalities mkuu.
Mimi kinacho nifikirisha ni namna ya ufanyaji kazi wake hapo ndo kuna maswali mengi embu fikiria ikifanikiwa tunaweza ku kuiandika upya history ikiwezekana hata kuiepuka vita ya kwanza na ya pili ya dunia, kuepuka vifo vilivyotokana na ajali mfano titanic, we huoni kama ni mambo ya spiritual na sio science tena.Hii time travelling inatimia siyo zaidi ya 2050 angalia pambano la global connectivity kupitia mpango wa 5-6G internet speeds. Hii 5, au 6+G na kuendelea inalenga kupeleka watu mitaa ya duniani yenye yako na mateso, au miji/majiji yenye raha au mtaani kwako penye shida.
Ndiyo itakuja tube tunnels (barabara za kufanya time travelling kufanikiwa) zenye mitandao ya internet yenye nguvu na kasi za ajabu.
Usidhanie kuwa watafiti wanakutengenezea wewe mwarabu mweusi was Dubai hizo sijui 5-6G+ ili uwasiliane na mchepuko wako hiyo never.
Unajua ufanyaji kazi wa time travelling lakini we unafikir inawezekana kurudi nyuma kuongea na babu wa babu yako aliyefariki mwaka 1960ikishatekelezeka ndio tutajua kuwa inatekelezeka ila kama bado hatuwez jua km inawezekana ama la ndio maana nkakupa mfano wa kwenda mwezini watu walioishi enzi za yesu wangeweza uliza hivyohivyo kuwa kwenda mwezin inawezekanaje, unajua kabla sifuri haijagundulika hisabati ilikuwa duni sana na haikuwahi fikirika km hisabati ingefikia hivi ilivyo leo but sifuri namba ya mwsho kabisa kugundulika ilibadili everything kwe medani za sayansi na hesabu, katika sayansi tunavyovifahamu ni vichache sana kuliko tusivyovifahamu ndugu
taratibu mkuu, kwanza time si constant km unavyofikiri time inaweza ikaathiriwa na gravity pamoja na speed, hapo ndipo shughuli nzima inapoanziaUnajua ufanyaji kazi wa time travelling lakini we unafikir inawezekana kurudi nyuma kuongea na babu wa babu yako aliyefariki mwaka 1960
Kwahiyo jibu lako ni ndiyo au hapana?taratibu mkuu, kwanza time si constant km unavyofikiri time inaweza ikaathiriwa na gravity pamoja na speed, hapo ndipo shughuli nzima inapoanzia
taratibu kaka, jifunze kwanza time ni nn, vitu gani vinaweza kuathiri time na kwa namna gani then unaweza kuielewa issue husika kwa namna nzuri kabisa, kuhusu ndio au hapana niseme tu kulingana na kanuni za physics zinazojulikana mpk sasa time travel to the future possible km tunaweza pata breakthrough kwe issue ya speed kufikia speed ya light au zaidi but back in time kwa sasa inabreak baadhi ya kanuni, so kwa mtazamo wangu ni heri kusema haijulikan/haifahamiki kuliko kusema haiwezekan maana kila siku watu wanagundua mambo mapya, ila tu fahamu time inawezaathirika mkuuKwahiyo jibu lako ni ndiyo au hapana?
Mzuka wanajamvi wa JT na great thinkers natumaini mpo powa na tunaendelea kusurvive chini ya jua,
Husika na kichwa habari hapo juu,
Kwanza nipende kutoa onyo na tahadhari Kwa kundi Fulani Hivi la brain washed wakae Mbali na hii thread sababu itakua nje ya uwezo wao,ili tujadili mahaba ya Dini tuweke pembeni tuwe free kujadili mambo magumu na yenye ukweli mchungu ambao raia wengi hawaupendi
Ila Haina namna!
Nitaagusia kifupi sana hasa Kwa wavivu kusoma!
1.MBINGU MPYA
Wakuu Binadamu na watu wa Civilization hii wanapiga hatua kubwa kimaendeleo sayansi na teknolojia tunaona projects nyingi zinavumbuliwa Kila kukicha yaani tunaenda spidi ya kimbunga kwenye gunduzi kiasi kwamba tumefika level za kuprint watu,
Hapa namaanisha watoto wanafyatuliwa maabara nk,
Sasa Kuna hii project ya kufanya majaribio kwenye sayari ya Mars na kinara wa hiyo kazi ni ndugu Elon Musk na kampuni yake ya space x na tunaona jinsi inavyofanikiwa kwa Kasi ni kama ndoto za alinacha ila ndio hivyo inaenda kua kweli,
Baada ya hapo huko yataenda kujengwa makazi ya kisasa na raia grade one wataanza ishi huko na kuibadilisha sayari ya vumbi jekundu na miamba kua paradise,
Imagine jinsi lile jangwa la Dubai Miaka 20 iliyopita lilivyogeuzwa Jiji kubwa na lenye madhari ya kuvutia kiasi kwamba Leo mlugaluga akifika pale na kumwambia hapa palikua jangwa na eneo baya lisilifaa binadamu mwenye akili timamu kuweka makazi ataeweza akuzibue konzi Kwa ujuha wako unaomwambia maana aonacho ni maghorofa makubwa na mabustani mazuri ya kuvutia.
Sasa basi baada ya raia wa grade one kuhamishia makazi sayari ya Mars na
Kujenga mithili ya masimulizi ya Mbingu watu wa grade la chini Kama sisi huku Afrika tutaenda kutengeneza Hadith ya Mbingu mpya maana tutakua hatuna uwezo wa kufika huko sehemu yenye ustaarabu mkubwa na maisha ya Raha za ajabu pasipo dhiki maana huko Kila kitu kitaendeshwa Kwa ujuzi wa Hali ya juu kutokana na kukua Kwa science and technology Kwa kiwango Juu Cha mno!
Dunia itabaki sehemu ya mkakati maalumu na watakao Baki wale useless hakuna kitu watafanya zaidi ya kuleta shida kubwa na kuanza kufanya maasi wao Kwa wao na hakuna mtu atajali kuhusu hizo vurugu maana Kila kitu kitajiendea hovyo kutakua hakuna uongozi wa kidunia Kama ilivyo Leo UN na mataifa ya kuiongoza Dunia Ili ikalike hapo Kila mjuaji atafanya ajuavyo na Dunia itaharibika kabisa kwa uharibifu mkuu,
Ila kuna maeneo ya kimkakati yatatunzwa vizuri for future use
Baada ya yote hayo itapendekezwa raia wa Duniani wapunguzwe kabisa Kwa mbinu mbadala wabaki guardian wa kuitunza dunia na nature yake na itakua baadae salama na ni sehemu ya kutalii tu Tena Kwa gharama kubwa watu wakitoka mars huko wataona wamechoshwa na kuishi kwenye miji ya ajabu ya huko angani wakivutiwa na hali ya duniani.
2.NCHI MPYA
Baada ya sayari ya mars na wakazi wake kuchoshwa kuishi kwenye artificial Planet watatamani Sasa warudi kuishi duniani baada ya miaka mingi kupita,vuguvugu za Exodus zitaanza na wanaharakatj wengi watajitokeza kupigania kuirudia nchi mpya ya mababu zao na hapo utaandaliwa mpango maalumu wa kurejea wenye masharti magumu maana Dunia itakua Tena Kama bustani nzuri Sana na ya kuvutia na watakao kurudi watatakiwa kukidhi vigezo maalumu maana ni sehemu yenye uasili na Kwa gharama kubwa watakao kidhi vigezo watarudi na kuishi kwenye Asili Yao Kwa Raha Sana maana Dunia itakua pepo milele na hakuna shida Tena Kwa sababu watakua wamefanikiwa kubalance nature.
Yajayo yanafurahisha hii Dunia watu wanakaa Wana program namna ya kuiendesha ila sababu sisi huku tunakula makande na kuwaza ngono
Haya mambo yanakua Kama masimulizi ya Alfu lela ulela,
Ila sishangai maana ukirudi miaka 1500's na umwambie Vasco da Gama kwamba kutoka Portugal to India tunatumia masaa tu kufika anaweza kukushut Kwa revolver yake Kwa porojo zako ila uhalisia tunaujua!
Tuwe tayari Kwa mabadiliko muda wowote Dunia inaenda Kasi Sana!
The Terrible!
That's a fact [emoji109]Watakufa tuu.... Na wote tutaonana kwenye afterlife.
Kitu ninachoweza kukubaliana na wewe kwenye hili swala labda kama uta travel kwenda future basi iwe ni wewe ndo umetangulia kwa mfano uwe na uwezo wa kutoka hapa tz kwenda marekani kwa hiyo spidi ya mwanga kama ulishaangalia series ya flash basi ndo hicho kitu namaanisha lakini sio kwamba utatoka hapa ufike mwaka 2050 ukute jamii nyingine yenye maendeleo tofauti na iliyoyasasa.taratibu kaka, jifunze kwanza time ni nn, vitu gani vinaweza kuathiri time na kwa namna gani then unaweza kuielewa issue husika kwa namna nzuri kabisa, kuhusu ndio au hapana niseme tu kulingana na kanuni za physics zinazojulikana mpk sasa time travel to the future possible km tunaweza pata breakthrough kwe issue ya speed kufikia speed ya light au zaidi but back in time kwa sasa inabreak baadhi ya kanuni, so kwa mtazamo wangu ni heri kusema haijulikan/haifahamiki kuliko kusema haiwezekan maana kila siku watu wanagundua mambo mapya, ila tu fahamu time inawezaathirika mkuu
In Fact in the near future utaweza kuwasiliana na babu wa babu yako ambaye hukuwahi kumuona katika uhai wake. Sio utani kuna research za hatari zinafanyika,yajayo yana furahisha.Hii time travelling inatimia siyo zaidi ya 2050 angalia pambano la global connectivity kupitia mpango wa 5-6G internet speeds. Hii 5, au 6+G na kuendelea inalenga kupeleka watu mitaa ya duniani yenye yako na mateso, au miji/majiji yenye raha au mtaani kwako penye shida.
Ndiyo itakuja tube tunnels (barabara za kufanya time travelling kufanikiwa) zenye mitandao ya internet yenye nguvu na kasi za ajabu.
Usidhanie kuwa watafiti wanakutengenezea wewe mwarabu mweusi was Dubai hizo sijui 5-6G+ ili uwasiliane na mchepuko wako hiyo never.